Finally, nimeweza kuvuka kipindi kigumu

Finally, nimeweza kuvuka kipindi kigumu

..wakati mwingine revenge ni zawadi na funzo zuri, I understand this guy.
Ushawahi kurevenge? Tbh kuna watu wanaumiza mnoo, unatamani ulipize but ndo hivyo mioyo inatofautiana. Nilichokuja kuamua ni sitoruhusu mtu/kitu kiniharibie amani ya moyo wangu, period. No matter what you do to me, ntakuignore + kukusamehe hata kama hujaniomba msamaha, for my peace of mind of course. Na tukikutana barabarabani ukinisalimia ntakuchangamkia with a pure heart hadi utashangaa mwenyewe. Katika kuumia kwangu nachukua tu lile somo gumu, maisha yanaendelea. No hard feelings, No regrets kabisaaa

Na wala usije ukakaa waiting for someone's downfall kwa sababu alikuumiza. Kuna watu wanaletwa kwenye maisha yetu simply kutufundisha tu vitu fulani teh, wewe shukuru tu kwa hilo somo. Na wakati wewe unasubiri aadhibiwe, unaweza kuta mwenzio alishatubu kwa Mungu na kufanya amani naye. Endelea kusubiri adhabu yake hadi mashavu yachume kunde, mwenzio anazidi tu kuinuliwa mbele za macho yako akhaaa
 
Ni muda sasa wa kuwafundisha wanawake kwa vitendo, go ahead and good luck, isitoshe wanawake wenyewe ndio hawa waliotumika mpaka nyapu zimekuwa ngumu kama ngozi ya chui. Mbaya zaidi hadi Tigo wanatoa.
hahhhahaha you made my day mkuu
 
Ushawahi kurevenge? Tbh kuna watu wanaumiza mnoo, unatamani ulipize but ndo hivyo mioyo inatofautiana. Nilichokuja kuamua ni sitoruhusu mtu/kitu kiniharibie amani ya moyo wangu, period. No matter what you do to me, ntakuignore + kukusamehe hata kama hujaniomba msamaha, for my peace of mind of course. Na tukikutana barabarabani ukinisalimia ntakuchangamkia with a pure heart hadi utashangaa mwenyewe. Katika kuumia kwangu nachukua tu lile somo gumu, maisha yanaendelea. No hard feelings, No regrets kabisaaa

Na wala usije ukakaa waiting for someone's downfall kwa sababu alikuumiza. Kuna watu wanaletwa kwenye maisha yetu simply kutufundisha tu vitu fulani teh, wewe shukuru tu kwa hilo somo. Na wakati wewe unasubiri aadhibiwe, unaweza kuta mwenzio alishatubu kwa Mungu na kufanya amani naye. Endelea kusubiri adhabu yake hadi mashavu yachume kunde, mwenzio anazidi tu kuinuliwa mbele za macho yako akhaaa
wauu u are so optimistic,,may be i will come to that ila not now
 
Nimewahi, it was cool... felt great na nikawa na amani kabisa. You hurt my feelings, I do you and move on, just can't let you get off scot-free.
 
All the best unavopanga kichwani na yeye ana plan zake za Ku back up ndo mana aliku cheat wanawake kitu kingine huwa hatuweki kitu moyoni visasi ka wanaume.
hahaha i know ila tayar nshamdaka,,,na ata kama itakuchua a year to live a lie i will afford ila kurudi nyuma mwiko
 
Nimewahi, it was cool... felt great na nikawa na amani kabisa. You hurt my feelings, I do you and move on, just can't let you get off scot-free.
hahaha what a piece mkuu,,well said
 
Habari wakuu

Kwanza kabisa nikiri for last 2 month my life has been a living a hell,nimeendelea kua na bad luck kwenye mahusiano kiasi chakunifanya nikate tamaa yakumpata mwenza ingawa najipa moyo bado naweza kufanikiwa maana hakuna namna nyingne(soon or later i should have someone)

I was in relationship with a girl of whom i thought we had the same intention,unfortnately i came to realize we were not,nilimpenda sana nikapata matumain mapya yakua na msichana ambae anajielewa kumbe she was worse,amenifanyia kitu ambacho sikutegemea and kumuadhibu nimeamua kumsamehe ili nipate muda mzuri wakumuumiza kama ambavyo amenifanyia,kwanza mapenzi nae sina ingawa ukinikuta nae utasema this is it,a lovely couple ever,namjali sana,namdekeza ila deep down nataka anipende unconditional na awe vulnearable alaf what next God and I knows,,,sijaeleza much details coz muhusika anaweza kuwepo umu so mtaniwia radhi

I just wanted to write something and here i dd
jion njema
Jifunze uandishi mzuri usichanganye lugha kingereza na kiswahili jaribu kujifunza ujumbe wako unataka umfikie nani? Mtanzania au mgeni aseyejua lugha ya kiswahili.
 
hahaha i know ila tayar nshamdaka,,,na ata kama itakuchua a year to live a lie i will afford ila kurudi nyuma mwiko
Exactly man! It took me three good yrs to accomplish my sweet-bitter revenge, at the end she got her fair share, yeye akidhani mambo yapo poa..lol, akawekeza kweli kweli huku mimi nimewekeza kwingine. Naamini kabisa aliyekuwa nae baada yangu aliienjoy heshima na adabu yake.
 
Haina haja ya kumpiga, kutoleana nje siri zenu za faragha kama...Yani ww mpige kisaikolojia tu mpaka ashindwe kuamin hiv ni ww kweli? All the best mkuu
 
Exactly man! It took me three good yrs to accomplish my sweet-bitter revenge, at the end she got her fair share, yeye akidhani mambo yapo poa..lol, akawekeza kweli kweli huku mimi nimewekeza kwingine. Naamini kabisa aliyekuwa nae baada yangu aliienjoy heshima na adabu yake.
hahahah mkuu itabd nije inbox niongeze na ujuzi,,,,umenfraisha sana
 
Jifunze uandishi mzuri usichanganye lugha kingereza na kiswahili jaribu kujifunza ujumbe wako unataka umfikie nani? Mtanzania au mgeni aseyejua lugha ya kiswahili.
we naona umechelewa kuona siku zako so umewengeka,,,watu wangekua hawajaelewa kungekua na comments um!
 
Back
Top Bottom