Hapo ndio nimekuelewa una uwezo wa kufikiria kiasi gani? Nimekusamehe kaka furahia jmos yakowe naona umechelewa kuona siku zako so umewengeka,,,watu wangekua hawajaelewa kungekua na comments um!
Ooh haya,Nimewahi, it was cool... felt great na nikawa na amani kabisa. You hurt my feelings, I do you and move on, just can't let you get off scot-free.
Wastage of time, unge invaste muda huo kutafuta mtu aliye sahihi kwako kuliko hilo unalotaka kufanya. Na una uhakika gani kama na yeye hafikili unachofikili juu yake. Ikiwa alidiliki kukutenda hapo mwanzo, usitegemee kuwa hiyo kuwa suprise kwake.nataka nimuache kipindi ambacho atakua yuko kwenye peak yakunipenda,,,by doin that ntakua nimempa funzo kwamba nxt time akisema anampenda mtu maanishe
both can be done at nce so usihofu kuhus kupoteza mudaWastage of time, unge invaste muda huo kutafuta mtu aliye sahihi kwako kuliko hilo unalotaka kufanya. Na una uhakika gani kama na yeye hafikili unachofikili juu yake. Ikiwa alidiliki kukutenda hapo mwanzo, usitegemee kuwa hiyo kuwa suprise kwake.
Nayaelewa maneno yako... fanya kitu roho inapenda ufanye...... hii situation uko nayo nilishaipitia na ilinipa matokeo mazuri sooo go SPSS goo.... the best is yet to come.hahaha ndo ivo mana mkiambiwa na maneno hamuelew
sometime the hard ways inakua ndo the only way wacha nimkomeshe then will come to read you comment againkaka msamehe huree...mbona mie nilishaumizwa lakini nikawachukia yeye pamojja na marafiki zake nikalia sana nilipoteza muda wangu kwake lakini nikajiambia let me move on...nikatubu na nikatangaza msamaha kwao ...hadi leo naishi maisha yangu na nilishamsahau maana sikutaka kulipiza,,,nasali namwomba mungu anipe wa ubavu wangu...achana nae huyo..jipe muda kama wengine tunavyojipa muda mungu sio kiziwi atakupa wa fungu lako...
sometime the hard ways inakua ndo the only way wacha nimkomeshe then will come to read you comment again
Duh. Inaonekana umeumizwa naye sana. Achana Na habari za kutaka kumuumiza, achana naye tu Na tafuta mwingine utakayetulia naye.nataka nimuache kipindi ambacho atakua yuko kwenye peak yakunipenda,,,by doin that ntakua nimempa funzo kwamba nxt time akisema anampenda mtu maanishe