Finally, nimeweza kuvuka kipindi kigumu

Finally, nimeweza kuvuka kipindi kigumu

Yeah unajua ni rahisi sana kama ulipenda sana, unaweza kuacha kupenda katika rate ile ile ila watu hawajui tu!

"To every action there is always an equal and opposite reaction" - Newtons third law of motion
Exactly
 
Sasa mbona ndugu yangu haushauriki unang'ang'ania msimamo wako wa kulipiza kisasi. Kijana smart ni yule anaepokea ushauri anaopewa na kuufanyia kazi.

Mwanamke kuwa kwenye peak ya kukupenda wewe its nothing hata kama umemuoa, kakutambulisha kwao, umempa pesa nyingi au umempa utamu kitandani hajawahi kupewa dunia nzima.

Hatua unayoipitia wenzako wameshaipitia kwa kuona, kujifunza au uzoefu na wamepata hasara (muda, pesa, heshma, kifo, kuathirika kisaikolojia nk).

Kamwe usishindane na mwanamke hata siku 1 katika dunia hii kwenye swala la mapenzi. Mwanaume ndo unaweza kuumia hivyo ukakaa miaka na miaka bado unahasira lakini kwa mwanamke unaweza kumuumiza leo na siku chache akatoa nafasi kwa mwanaume mwengine(hata rafiki/ndugu yako) na akapata utulivu.

Tena mwisho wa siku akakutangazia unamgusagusa kitandani hujui kitu, kimoja tu chali, alifata pesa zako tu, una kibamia au jogoo wako hawiki.

Mwanamke hata umlipizie kisasi kwa matukio 100 na yeye atamke 1 la uongo (mfano aseme huna uwezo wa kumpa haki yake ya tendo la ndoa/ jogoo wako hawiki), jamii yote itamsikiliza mwanamke na atapewa ushirikiano na haki, wewe utabaki na fedheha mtaani
 
Hawa viumbe wanaumiza sana, ila mshukuru Mungu kwa yote. Na yote hutendeka kutufundia
 
hahaha kusema kuhakikisha ananipenda mpk anakua vulnearable in other words ndo kuhakikisha baada yakumuacha anaumia,,,miongoni mwa kaz zangu zamaana this month imekua nipamoja na iyo
...Tuko pamoja mkuu fanya hivyo hivyo,..
 
Utakaposhangazwa ni pale unapommwagia ukweli kuwa wewe na yeye basi halafu anakwambia ooh hivi tulikuwa lovers mie nilijua mie na wewe ni kaka na dada.... ndo utakapojikuta umejipiga mtama mwenyewe kama si ngwala. .....

Get prepared.
CC:SPSS
 
Let her go, unaweza kumfanyia kitu kibaya afu kikamuaffect vibaya kuliko ulivyowish. Utaishi na guilt for the rest of your life. Afu mwisho wa visasi ni nini? Mpotezee tu uendelee na maisha yako, Mungu atakupa mwanamke wa maisha yako, hutoamini. Hiyo energy unayoitumia kutaka kumuumiza, ihamishie kwenye kitu positive. Samehe hata bila kuombwa msamaha.
# Don't become who hurt you#
..wakati mwingine revenge ni zawadi na funzo zuri, I understand this guy.
 
Unaweza kutegemea ataishia kuumia na kupata fundisho kutoka kwako,badala ikawatofauti,mtu akaamua kujiua majuto na fundisho ikabaki kuwa kwako..Take care.
 
I am sorry for what happened to you. It is always painful and heartbreaking to lose the love of your life. But I am glad you have accepted it in your heart, and you are doing that which is necessary to move on.

I believe, that is the way life is. Sometimes we win and be happy. Sometimes we lose and learn. But all in all, getting even is never a solution. Because whatever you do to someone, will always come back to bite you. If you do good, good things will come back to you.

Sometimes, the best way to teach someone a lesson is to be good to them; especially when they least expect it.
Please, don't find a way to repay her for breaking your heart. Forgive, let it go and move on. When you do this, you don't do it for her, you do it for yourself.

You deserve the best. But the best depends on the choices you make today. I wish you good luck and happiness.
 
Kama hakukupenda mara ya kwanza unafikiri sasa kwenye huu mchezo wako wa kuigiza ndio atakupenda? Angalia usije ukajishangaza, angalia sana usije ukajiumiza.
 
Habari wakuu

Kwanza kabisa nikiri for last 2 month my life has been a living a hell,nimeendelea kua na bad luck kwenye mahusiano kiasi chakunifanya nikate tamaa yakumpata mwenza ingawa najipa moyo bado naweza kufanikiwa maana hakuna namna nyingne(soon or later i should have someone)

I was in relationship with a girl of whom i thought we had the same intention,unfortnately i came to realize we were not,nilimpenda sana nikapata matumain mapya yakua na msichana ambae anajielewa kumbe she was worse,amenifanyia kitu ambacho sikutegemea and kumuadhibu nimeamua kumsamehe ili nipate muda mzuri wakumuumiza kama ambavyo amenifanyia,kwanza mapenzi nae sina ingawa ukinikuta nae utasema this is it,a lovely couple ever,namjali sana,namdekeza ila deep down nataka anipende unconditional na awe vulnearable alaf what next God and I knows,,,sijaeleza much details coz muhusika anaweza kuwepo umu so mtaniwia radhi

I just wanted to write something and here i dd
jion njema
Hongera kaka ila you better tell her the truth and leave each other for good... Kulipiza kisasi haitokusaidia chochote...kama kweli kakutenda mwambie na achana nae then move on na maisha yako.
Kuendelea kuwanae wakati deep inside of u unajua unaka kumkomoa...bro it might be even more worse kuliko ungeachana nae .
Good luck bro..
 
Hongera kaka ila you better tell her the truth and leave each other for good... Kulipiza kisasi haitokusaidia chochote...kama kweli kakutenda mwambie na achana nae then move on na maisha yako.
Kuendelea kuwanae wakati deep inside of u unajua unaka kumkomoa...bro it might be even more worse kuliko ungeachana nae .
Good luck bro..
while making my final decisions will consider this
 
Mi nafikiri tumia mda huu kumtafuta mwingine, sio kuwaza kulipa kisasi,
Pia jua wakati unatumia mda huu kutengeneza mazingira ya kumuumiza wa sasa unaweza pishana na mwenye mapenzi ya kweli ktk pita zako, cku ukija mtokea huyo mpya anaweza kua ashakuona nae akawa hakuamini km upo siriaz kwa kujua bado upo na huyo zilipendwa wako.
 
Mi nafikiri tumia mda huu kumtafuta mwingine, sio kuwaza kulipa kisasi,
Pia jua wakati unatumia mda huu kutengeneza mazingira ya kumuumiza wa sasa unaweza pishana na mwenye mapenzi ya kweli ktk pita zako, cku ukija mtokea huyo mpya anaweza kua ashakuona nae akawa hakuamini km upo siriaz kwa kujua bado upo na huyo zilipendwa wako.
nafanya vyote kwa pamoja,,,natafta mpya na naandaa mazingira yakumjutisha aliepo
 
Back
Top Bottom