Habari wakuu
Kwanza kabisa nikiri for last 2 month my life has been a living a hell,nimeendelea kua na bad luck kwenye mahusiano kiasi chakunifanya nikate tamaa yakumpata mwenza ingawa najipa moyo bado naweza kufanikiwa maana hakuna namna nyingne(soon or later i should have someone)
I was in relationship with a girl of whom i thought we had the same intention,unfortnately i came to realize we were not,nilimpenda sana nikapata matumain mapya yakua na msichana ambae anajielewa kumbe she was worse,amenifanyia kitu ambacho sikutegemea and kumuadhibu nimeamua kumsamehe ili nipate muda mzuri wakumuumiza kama ambavyo amenifanyia,kwanza mapenzi nae sina ingawa ukinikuta nae utasema this is it,a lovely couple ever,namjali sana,namdekeza ila deep down nataka anipende unconditional na awe vulnearable alaf what next God and I knows,,,sijaeleza much details coz muhusika anaweza kuwepo umu so mtaniwia radhi
I just wanted to write something and here i dd
jion njema
What is next, God doesn't know, cause God is Love! It's you and the devil that know!Habari wakuu
Kwanza kabisa nikiri for last 2 month my life has been a living a hell,nimeendelea kua na bad luck kwenye mahusiano kiasi chakunifanya nikate tamaa yakumpata mwenza ingawa najipa moyo bado naweza kufanikiwa maana hakuna namna nyingne(soon or later i should have someone)
I was in relationship with a girl of whom i thought we had the same intention,unfortnately i came to realize we were not,nilimpenda sana nikapata matumain mapya yakua na msichana ambae anajielewa kumbe she was worse,amenifanyia kitu ambacho sikutegemea and kumuadhibu nimeamua kumsamehe ili nipate muda mzuri wakumuumiza kama ambavyo amenifanyia,kwanza mapenzi nae sina ingawa ukinikuta nae utasema this is it,a lovely couple ever,namjali sana,namdekeza ila deep down nataka anipende unconditional na awe vulnearable alaf what next God and I knows,,,sijaeleza much details coz muhusika anaweza kuwepo umu so mtaniwia radhi
I just wanted to write something and here i dd
jion njema
Laiti tungejua wanachotuwazia wenzetu sijui dunia ingekuwaje, anyway, lipiza tu maana hamna namna nyingine.amenifanyia kitu ambacho sikutegemea and kumuadhibu nimeamua kumsamehe ili nipate muda mzuri wakumuumiza kama ambavyo amenifanyia
Ushawahi kurevenge? Tbh kuna watu wanaumiza mnoo, unatamani ulipize but ndo hivyo mioyo inatofautiana. Nilichokuja kuamua ni sitoruhusu mtu/kitu kiniharibie amani ya moyo wangu, period. No matter what you do to me, ntakuignore + kukusamehe hata kama hujaniomba msamaha, for my peace of mind of course. Na tukikutana barabarabani ukinisalimia ntakuchangamkia with a pure heart hadi utashangaa mwenyewe. Katika kuumia kwangu nachukua tu lile somo gumu, maisha yanaendelea. No hard feelings, No regrets kabisaaa
Na wala usije ukakaa waiting for someone's downfall kwa sababu alikuumiza. Kuna watu wanaletwa kwenye maisha yetu simply kutufundisha tu vitu fulani teh, wewe shukuru tu kwa hilo somo. Na wakati wewe unasubiri aadhibiwe, unaweza kuta mwenzio alishatubu kwa Mungu na kufanya amani naye. Endelea kusubiri adhabu yake hadi mashavu yachume kunde, mwenzio anazidi tu kuinuliwa mbele za macho yako akhaaa
Umeongea mambo mengi ya msingi sana, ila hilo la mkosaji kutubu kwa Mungu na kufanya naye amani, nafikiri linaenda sambamba na kumuomba msamaha na kufanya amani na yule binadamu uliyemkosea pia. Kama yule binadamu uliyemtendea ubaya bado anateseka kutokana na jambo baya ulilomfanyia, sioni ni jinsi gani utafanya amani tu na Mungu bila kuomba msamaha pia na kufanya amani na yule binadamu uliyemkosea... Sijui, labda inategemea na aina ya kosa...
i am not wasting any time,,,nafanya mambo according to my time tableMjomba achana naye fanya mambo mengine ya maaana ushajua hakufai kumuumiza haitakusaidia kitu zaidi ya yote you are wasting your precious time, how sure are you kama ataumia?! Na asipoumia si utajutia tena huu muda ulioupoteza kumvuta kwenye peak unayoitaka?! Think big mjomba
ningekua nina nia yakufanya ivyo atanisingeleta uzi mmu,,,ningelimaliza kiume ila sina mpango wakumsamehe kirahisiusifanye hivyo kaka yangu kama una hofu ya mungu natumaini utampotezea huyo msichana...usipende kumfanyia mwenzako kitu amabacho hutaki kutendewa ....amini mungu atakupa wa fungu lako ..kuwa jasiri..mwanaume au mwanamke aliyeumizwa anakuwa na roho ya ujasiri...futa delete namaba yake huenda ukiiona ndo inakuumiza zaidi....
hahaha iv navyosema i have calculated the risks hua hamuelewe ee,,,ayo unayoyaongelea tayar nimesha ya asses so dont botherYani kabisa unakuja na mpango wako wakulipiza visasi alafu unajiona mwerevu?!
Believe me, you are still hurting! Na mwisho wa huu mpango wako utaishia kuumia zaidi. Please stop it!
Tuseme tu itokee utakapoaamua kumuacha, asiumie kama unavyotarajia, alafu within days tu za kumuacha umuone anadunda na mpenzi mwingine mpya! What will you do then?
hahaha aya ndo maneno sasaIla fanya kitu roho yako inataka man, my take Angalia usijiumize zaidi ukiamua kuwa katili temana na mambo ya huruma, kuwa katili zaidi ya kauzu
Sent from my SM-A300F using JamiiForums mobile app
Unataka umrekodi afu siku ya harusi yake u-break the internet?Habari wakuu
Kwanza kabisa nikiri for last 2 month my life has been a living a hell,nimeendelea kua na bad luck kwenye mahusiano kiasi chakunifanya nikate tamaa yakumpata mwenza ingawa najipa moyo bado naweza kufanikiwa maana hakuna namna nyingne(soon or later i should have someone)
I was in relationship with a girl of whom i thought we had the same intention,unfortnately i came to realize we were not,nilimpenda sana nikapata matumain mapya yakua na msichana ambae anajielewa kumbe she was worse,amenifanyia kitu ambacho sikutegemea and kumuadhibu nimeamua kumsamehe ili nipate muda mzuri wakumuumiza kama ambavyo amenifanyia,kwanza mapenzi nae sina ingawa ukinikuta nae utasema this is it,a lovely couple ever,namjali sana,namdekeza ila deep down nataka anipende unconditional na awe vulnearable alaf what next God and I knows,,,sijaeleza much details coz muhusika anaweza kuwepo umu so mtaniwia radhi
I just wanted to write something and here i dd
jion njema
Yes you are very right, kama utaweza na kumuomba mtu msamaha muombe tu kwa amani yenu wote pia. Ila inatagemea, sio mara zote unaweza kumpata yule uliyemtendea vibaya na kumuomba msamaha. Na kuna mwingine hata umuombaje msamaha ni hataki kusamehe; na wakati mwingine kuna mtu anaweza akakuumiza na asijue kama amekuumiza au akachukulia kama ni kitu cha kawaida tu. Siku akiamua kumuomba msamaha Mungu kwa dhambi zake zote anazozijua na asizozijua je hatasamehewa?
Cha msingi wewe uliyekosewa usiweke uchungu moyoni, kuna watu wanazuia baraka zao nyingi tu kwa sababu mioyoni mwao wamejaza uchungu. ukiishi pasipo kusamehe, je utavuna nini? unazidi kuifunga nafsi yako kwa wale waliokuumiza. Na mwisho wa siku kisasi ni cha Mungu pekee