Finally, nimeweza kuvuka kipindi kigumu

Finally, nimeweza kuvuka kipindi kigumu

Hii ishu hata mim nishawahi mfanyia mwanamke flani hiv hakuamin aseee!
 
hahaha hongera kwa kumtia adabu,,,,sometimes unamtia adabu for the sake of others
Tangu nimempiga hilo tukio alibaki na mawenge karibia mwaka 1 mzima ananitafuta, tatizo alishachelewa [emoji23] [emoji23] namm tangu hapo nilikua makin saana siwez penda ki.b.o.ya
 
hahahaha nashkuru mkuu kumbe it works ee,,,nam saiz kupenda kiboya watasubir sana,,,ntakua nawafumua tu hisia ntakutana nazo miaka ya mbele uko,,hawana shukrani hawa viumbe
 
Ningekuwa mimi ningeachana naye, nisingewekeza muda wangu mwingi kulipiza kisasi kwa mwanamke.
Unachokusudia kukifanya kinaweza kisimuumize kama unavyofikiria, badala yake ukaumia wewe, halafu ujue muwinda uwindwa huwezijua yeye anafikiria kukufanyia nini, anaweza akakuwahi ukapigwa fataki la maana.

Mwanaume wa ukweli usamehe na kuendelea na mambo yake.
 
Yan hii ni njia bora kabisa mkuu niamin ww mjengee tu imani ya kua unampenda saana na umesahau kila baya alilokutendea... ikiwezekana ad ndug zake wakujue ila mwisho wa siku unajikataa zaid ya Yuda iskaliot
 
Huwa nafeli sana kufanya mazuri kwa anayenifanyia mabaya but mapenzi ni suala lingine...tell her the truth,leave her for better.you never know atafanya nini tena inawezekana hata yeye anataka muachane, ikiwa hivyo utakuwa umepoteza muda na kujipumbaza...TAKE CARE
 
unawaza kama mm ila nimezid mbele kidoogo
 
Yan hii ni njia bora kabisa mkuu niamin ww mjengee tu imani ya kua unampenda saana na umesahau kila baya alilokutendea... ikiwezekana ad ndug zake wakujue ila mwisho wa siku unajikataa zaid ya Yuda iskaliot
hahahah umeniongezea madini mkuu
 
Huwa nafeli sana kufanya mazuri kwa anayenifanyia mabaya but mapenzi ni suala lingine...tell her the truth,leave her for better.you never know atafanya nini tena inawezekana hata yeye anataka muachane, ikiwa hivyo utakuwa umepoteza muda na kujipumbaza...TAKE CARE
when i said i have done risk analysis i meant it,,i dd
 
Ni muda sasa wa kuwafundisha wanawake kwa vitendo, go ahead and good luck, isitoshe wanawake wenyewe ndio hawa waliotumika mpaka nyapu zimekuwa ngumu kama ngozi ya chui. Mbaya zaidi hadi Tigo wanatoa.
 
Back
Top Bottom