Finally, nimeweza kuvuka kipindi kigumu

Finally, nimeweza kuvuka kipindi kigumu

Ila, am sure pia mafundisho ya kiroho yanafundisha kwamba ni budi kabisa kumuomba binadamu uliyemkosea msamaha sambamba na kumuomba Mungu msamaha. Ndio maana inashahuriwa unapomkosea mtu ni vyema na ni busara ukaomba msamaha mara unapogundua kuwa umekosea ili usije ukakosa chance ya kumuomba msamaha pindi yule mtu anafika mwisho wa safari yake ya hapa duniani.
Kama una nia ya dhati, kwa dunia ya sasa ukiamua kumtafuta uliyemkosea ili muombane msamaha kwa asilimia kubwa uwezo wa kumpata upo.

Dhana ya kumuomba bianadamu uliyemkosea msamaha ili Mungu naye akusamehe inatokana, kwa mfano, lile jambo ulilomtendea yule mtu ni baya na ovu kiasi kwamba bado linaendelea kumuumiza na kumuaribia yule mtu mfumo wake wa maisha. Hapa kumuomba Mungu msamaha ni budi kuende sambamba na juhudi za dhati za yule anayeomba msamaha kuonyesha kwamba anatambua alilolifanya na ametubu. Tuseme kwamfano mtu kamdhulumu mwenzake kiasi kwamba ile dhuluma imeharibu kabisa utaratibu wa maisha wa yule mtu, hapo nafikiri kama kuna uwezekano wa kurudisha kilichodhulumiwa ni budi kufanya hivyo kwanza kabla ya kuomba msamaha kwa Mungu. Na pia kama haiwezekani kurudisha ni budi mkosaji aka-aknowledge kwamba ni yeye aliyesababisha ile dhuluma na kwamba anatubu. Na hii pekee itampa faraja yule aliyedhulumiwa. Maana mtu hawezi kuomba msamaha kwa Mungu at the same time anaendelea ku-enjoy matunda ya ile dhuluma aliyoifanya wakati yule mwingine anaendelea kuumia.
Na pia kumbuka unapokwenda kumuomba binadamu uliyemkosea masamaha, unampa na yeye chance ya kuondoa hasira, chuki na machungu aliyonayo moyoni mwake.

Lakini ni kweli pia unavyosema, kama unamejaribu kumuomba mtu msamaha na yeye hataki, hapo wewe utakuwa umeshatimiza wajibu wako mbele za Mungu na kazi itabaki kwa yule aliyekosewa ku-make peace na Mungu wake na kujaribu kusamehe aliyemkosea otherwise anaendelea kujiumiza yeye mwenyewe.
Na ni kweli pia kama kuna dhambi ambazo umetenda bila kujijua ukimuomba Mungu atakusamehe.
Uuuh ubarikiwe my dear
 
Kwanini upoteze muda wako pasipo sababu za msingi???

Wakati mwingine unaweza kufanya kitu ukahisi unamkomoa mtu kumbe wajikomoa mwenyewe.
 
What is next, God doesn't know, cause God is Love! It's you and the devil that know!
nimesema kwa maana ni siri yangu,ila hauwez kuficha siri kwa Mungu he usually knows
 
Umeongea mambo mengi ya msingi sana, ila hilo la mkosaji kutubu kwa Mungu na kufanya naye amani, nafikiri linaenda sambamba na kumuomba msamaha na kufanya amani na yule binadamu uliyemkosea pia. Kama yule binadamu uliyemtendea ubaya bado anateseka kutokana na jambo baya ulilomfanyia, sioni ni jinsi gani utafanya amani tu na Mungu bila kuomba msamaha pia na kufanya amani na yule binadamu uliyemkosea... Sijui, labda inategemea na aina ya kosa...
i will come to that,subirin nimkomoe kwanza
 
Kwanini upoteze muda wako pasipo sababu za msingi???

Wakati mwingine unaweza kufanya kitu ukahisi unamkomoa mtu kumbe wajikomoa mwenyewe.
kuhusu kupoteza muda nimeshaeleza,,,m naendelea vzr kabisaa na ratiba yangu and everything is in place
 
Back
Top Bottom