Finally, nimeweza kuvuka kipindi kigumu

Finally, nimeweza kuvuka kipindi kigumu

wala siwez kujisifu, trust me it is the last thing i want to do to her ila i have to
Sikushangai ndivyo ulivyoamua Mishi wa siku wewe ndo mwenye maamuzi ya mwisho
 
hahaha kusema kuhakikisha ananipenda mpk anakua vulnearable in other words ndo kuhakikisha baada yakumuacha anaumia,,,miongoni mwa kaz zangu zamaana this month imekua nipamoja na iyo
Let her go, unaweza kumfanyia kitu kibaya afu kikamuaffect vibaya kuliko ulivyowish. Utaishi na guilt for the rest of your life. Afu mwisho wa visasi ni nini? Mpotezee tu uendelee na maisha yako, Mungu atakupa mwanamke wa maisha yako, hutoamini. Hiyo energy unayoitumia kutaka kumuumiza, ihamishie kwenye kitu positive. Samehe hata bila kuombwa msamaha.
# Don't become who hurt you#
 
Let her be, unaweza kumfanyia kitu kibaya afu kikamuaffect vibaya kuliko ulivyowish. Utaishi na guilt for the rest of your life. Afu mwisho wa visasi ni nini? Mpotezee tu uendelee na maisha yako, Mungu atakupa mwanamke wa maisha yako, hutoamini. Hiyo energy unayoitumia kutaka kumuumiza, ihamishie kwenye kitu positive. Samehe hata bila kuombwa msamaha.
# Don't become who hurt you#
so encouraging but still plan has to go...
 
Utamuumiza, ila in the process unajiumiza wewe mwenyewe. Utaprove hilp
kwa mm tayari nimejiandalia mazingira so it wont hurt me ata iweje ingawa kwa kitendo alichonifanyia aliniumiza sana mpk nikapungua kilo,,ingawa kuna kitu naweza kujifunza kutoka kwenye comments zako,,may be naweza kulegeza mashart
 
Una uchungu moyoni, ndo unaokufanya ufanye hayo unayotaka kuyafanya. Unachokifanya ni sawa na kunywa sumu huku ukitegemea huyo msichana ndo atakayefariki. Do you get my point? Achana na huyo msichana, hamishia energy yako yote kwenye vitu positive. Huko ulipo unadestruct tu focus ya maisha yako
 
Well said miss! Kwanza hayo mambo ya revenge ni ya kizamani, wenzake tumefanya kitaaambo tukiwa sekondari
 
Una uchungu moyoni, ndo unaokufanya ufanye hayo unayotaka kuyafanya. Unachokifanya ni sawa na kunywa sumu huku ukitegemea huyo msichana ndo atakayefariki. Do you get my point? Achana na huyo msichana, hamishia energy yako yote kwenye vitu positive. Huko ulipo unadestruct tu focus ya maisha yako
owky,i wil think abt it uzuri ntaleta mrejesho ata baada ya mwaka bt i will
 
Back
Top Bottom