ookay thank youYap, na ili kupunguza gharama unaweza ship vitu vingi vyepesi kwa wakati mmoja, mfano hio lipstick ni gram 100 unaweza agizishia piece 3 zote zikafika kwa gharama ile ile,
Kama huna amazon prime unaweza pia kumuagizishia Mwl rct anaweza yeye akamix vitu tofauti tofauti.
Kiwanja mkuu,huku kwetu kwa hiyo pesa unapata kiwanja kikubwaKiwanja au skwata?
Tumia Amazon ama site za Uhakika za Usa zenye warranty, then tumia forwarding service yenye ofisi Tanzania ambao hata mzigo ukipotea wana refund, inaweza kuwa service za Aramex ama Fedex.
Na sidhani kama 12 mini unaipata kwa $399 unless unamaanisha Se
Hata mimi nimereliaze hilo ama nichukue mini ama niache kabisa tu nakubaliana na wewe otherwise kuchukua SE ni sawa na kujiibia mwenyewe
Personally simu ya mwisho kutumia ilikuwa iPhone 7, then nikarudi samsung kwasababu flani flani, I think nitaenda kwa iPhone 12 mini japo battry lake linanipa mashaka ila nimesoma review inaelekea siyo mbaya simu iko well customizedLabda swala l msingi tuanze na sasa unatumia sim gani?? Yaani kuliko uchukue SE bora uchukue hata iPhone 8 personal SE niliitumia siku nne tu i got tired of it. Hio ni iPhone 8 iliochangamka tuu.
Nilitamani kumuuliza nikaghairi.una marinda?!
Hizi za bongo unaweza kupigwa usipo enda kwenye maduka yao kabisa yaani Apple shop kwenyewe
Personally simu ya mwisho kutumia ilikuwa iPhone 7, then nikarudi samsung kwasababu flani flani, I think nitaenda kwa iPhone 12 mini japo battry lake linanipa mashaka ila nimesoma review inaelekea siyo mbaya simu iko well customized
Nilitamani kumuuliza nikaghairi.
Naitaka 12 mini kwasababu imetoka latest, halafu ni ndogo. Mimi sifanyagi vitu vikubwa kwenye simu... Hata muda wa kuchez game sina sana mkuu, yani matumizi yangu ya simu kwasasa yako limited sana tofauti na zamani. Mambo makubwa yote nafeel comfortable kuyafanyia kwenye computerYes ukubwa wa battery haimaanishi utunzaji wa chaji. Battery optimization na operating system ndo jambo la msingi. Kwenye hili iphone wako vizuri hasa ukizingatia ABionic Chip zao zinawabeba sana. Vipi sim kama X/XS au 11Pro au bado ni kubwa kwako? Mini nahisi ni kadogo sana hasa kwa mtu kama mimi wa Gamings na Media streaming. Ila kama wewe unaona inafaaa best of luck. Ila nashauri kabla hujanunua tafuta mtu mwenye nayo ukaishike kwanza uone physically
Naitaka 12 mini kwasababu imetoka latest, halafu ni ndogo. Mimi sifanyagi vitu vikubwa kwenye simu... Hata muda wa kuchez game sina sana mkuu, yani matumizi yangu ya simu kwasasa yako limited sana tofauti na zamani. Mambo makubwa yote nafeel comfortable kuyafanyia kwenye computer
Mkuu umuhimu ni kujua unachonunua basi. Hata nyanya kama huzijui unapigwa sembuse simu ya milioni tatu? Watanzania wengi tuna muEmko na kuogopa kuuliza (kuonekana hatujui) Mtu amenunua sim yake huko “Car Rear Coo” baada ya siku tatu anakuja anakuambia mbona hawezi download apps? Ukiwasha iphone yake inaandika Android is Started
View attachment 1637328
Ukikutana na mtu anaringishia hii kama iphone 12 wewe unamwambia nini sasa zaidi ya kumwambia Hongera sana????
Naitaka 12 mini kwasababu imetoka latest, halafu ni ndogo. Mimi sifanyagi vitu vikubwa kwenye simu... Hata muda wa kuchez game sina sana mkuu, yani matumizi yangu ya simu kwasasa yako limited sana tofauti na zamani. Mambo makubwa yote nafeel comfortable kuyafanyia kwenye computer
Ngoja nitacheki mkuu, and by the way hata budget ziko limitedkidogo sana,si uchukue hata 12 sio kubwa pia na hazipishani pakibwa pa kutisha.
japo kuchangiana ni njia nzuri ya kugawana umasikini na watanzania wenzetu,lakini sishauri mtu na laki 7 na kuendelea arisk pesa yote hiyo kkoo.wauzaji wa kkoo wengi wao sio waaminifu.
kkoo kuna simu zake mpyainfinix,tecno,venus,itel nk hizi huwezi kuta zina dosari maana zinakuja mpya pyeeeee.
kisanga ni huko premium,mtu anakwambia samsung s7 full box,ukinunua mara inachemka,mara inazima ikifika 40% mara inatoa muungurumo ukiongea na mtu nk.shida sio hiyo,shida ni muuzaji anapokupiga laki 5 yako bila kukuangalia usoni huku akijua kabisa simu aliyokupa ni kimeo.
Turudi pia kwenu wateja wanunuzi. Sim unajua inauzwa laki saba wewe bila aibu wala mshipa wa fedheha unasema una 350,000/- sasa utapewa sim ile ile ila sasa yenye dhamani ya 350,000/-
tatizo hamna hiyo ya laki 7.
ngoja nikupe mfano,kuna siku nimeenda kubadiri betry la samsung kwa fundi,nikamfata fundi kumuuliza akajibu lipo la 19k,25k,40k.
nikauliza tofauti nikajibiwa muonekano na ubora.
nikamwambia niwekee la 40k ila likisumbua sitakuelewa,akajibu ah boss kama unaona huniamini basi ni bora uweke hilo la 25 maana nalo ni zuri tu,nikamwambia kaniletee yote matatu nione yanafananaje,naona alizunguka siku hiyo mpaka akachoka,akarudi na mawili tu.la 40 alilosema hana.
kwahiyo mkuu hiyo haimaanishi ukitoa 700k utapewa bidhaa husika,sana sana utaongezewa charger na earphones za kukuzugia ila mzigo ni ule ule wa laki 3.5.
Picha je?Wakuu hatimaye leo nimeipata iPhone 12 pro max 512GB!
Ni simu nzuri mno tofauti na nilivyoikandia hapa maana niliapa nitabaki kwenye 11 pro max!!
Display is much better than expected!!
Let's enjoy the world
Cheers!!