Finally nimepata Iphone 12 pro max!


Mkuu aramex na Fedex kwa dar wapo wapi?
 
Chief hawa FedEx na Aramex wapo Dodoma kweli, nataka nijaribu kuwatumia na mimi.
Bei zao za kuship ni shida juzi tu nimeship kimzigo kina gram kama 400 kwenda U.K lakini nimekilipia 135,000
 
Bei zao za kuship ni shida juzi tu nimeship kimzigo kina gram kama 400 kwenda U.K lakini nimekilipia 135,000
Wana service inaitwa ship and shop $15 kwa kitu cha chini ya nusu kilo.
 
Sina uhakika Ofisi za fedex kwa sasa ila aramex wapo pembeni ya ocean Road mjini.
Shukrani mkuu, ila nahitaji ofisi au sehemu wanapotoa elimu ya manunuzi mtandaoni, maana Kuna vitu vingi nataka kuagiza ila nashindwa process zake
 
Wakuu hatimaye leo nimeipata iPhone 12 pro max 512GB!

Ni simu nzuri mno tofauti na nilivyoikandia hapa maana niliapa nitabaki kwenye 11 pro max!!

Display is much better than expected!!

Let's enjoy the world

Cheers!!
Ka picha mkuu, nakupongeza sana nami naitamani mno
 
Amazon hawatumi bongo mara nyingi
 
Amazon hawatumi bongo mara nyingi
Wanatuma siku nyingi tu, sema wanatumia dhl na premium shipping nyengine, kitu cha 50,000 gharama ya usafiri inaweza kuwa 200,000.

Ndio maana nimeshauri hizo service mbadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…