Finally Huawei E303 unlocked

Finally Huawei E303 unlocked

Waungwana mimi nimeweza ku-unlock hiyo modem lakini tatizo ni kwamba haiwezi kurudi ama ku-dial kupitia browser (hilink mode). Maana yake ni kuwa haiwezi kutumika katika mashine nyingine yoyote zaidi ya hii niliyoitumoa ku-unlock.

Any idea;namna ya kuiokoa hii modem?
 
Last edited by a moderator:
Waungwana mimi nimeweza ku-unlock hiyo modem lakini tatizo ni kwamba haiwezi kurudi ama ku-dial kupitia browser (hilink mode). Maana yake ni kuwa haiwezi kutumika katika mashine nyingine yoyote zaidi ya hii niliyoitumoa ku-unlock.

Any idea;namna ya kuiokoa hii modem?

Kama inashindwa kusoma kwenye mashine zingine fanya kuinstall dashboard yake kwenye hiyo mashine. wakati inainstall hiyo dashboard na drivers zake zitakuwa installed hapo hapo itapiga kazi kama kawaida...
 
Hi unaweza kwa urahisi kufungua Modem yako huawei e303 kwa kutumia code kufungua. Kama unahitaji kufungua code unaweza kutembelea tovuti hii Mobile-unlocker.com hapa unaweza kupata kanuni kufungua na kufungua huawei yako Modem e303 kwa urahisi.
 
Wana jamii wenzangu naombeni msaada wa ku unlock modem ya tigo e303...

Hi unaweza kwa urahisi kufungua yako huawei e303 Tigo Modem kwa kutumia code kufungua. Kama unahitaji kufungua code unaweza kutembelea tovuti hii Onlinegsmunlock.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua e303 yako huawei kwa urahisi.
Ili kupata code una zilizotajwa ambayo nchi imefungwa sasa, mtandao wa mtoa na IMEI idadi. Kisha wao kutuma kufungua code kupitia barua pepe.
 
Hey nini ni tatizo lako? Je, unataka kufungua e303 yako huawei Modem? Ndiyo maana unaweza kutembelea tovuti hii Simpleunlocking.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua Modem yako. Baada ya unaweza kuweka yoyote sim card nyingine katika Modem yako.
 
msaada plz wakuu... huawei e303 ya tgo!

Hi unaweza kwa urahisi kufungua e303 yako huawei kwa kutumia code kufungua. Kama unahitaji kufungua code unaweza kutembelea tovuti hii Wickedunlock.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua e303 yako huawei. Ili kupata code una zilizotajwa ambayo nchi imefungwa sasa, mtandao wa mtoa na IMEI idadi. Kisha wao kutuma kufungua code kupitia barua pepe.
 
Nimeitafuta sana Post yangu niliyoomba msaada namna ya Ku-unlock Huawei E303 lakini sikuiona.

Ila hatimae nimefanikiwa kui-unlock. Hii ni Vodacom E303 nimeweka Airtel firmware kisha nikai-unlock
halafu nika-update Dashboard.

Sasa nakula line zote na speed safiiii. Modem hii ina uwezo wa 7.2MB

UPDATES:

Naona PM zimekuwa nyingi ngoja niweke hapa kila mmoja
afaidi uhuru wa Kusurf kwa modem ya nini kujibanabana

Mkuu download kwanza FILE HILI (link ni yangu kwenye 4shared)

Jinsi ya kufanya kwa E303

1. Pata kwanza Unlock Code na Flash Code ya Modem yako E303 kwa kutumia IMEI yako hapa

2. Kisha Install software ya Modem yako kwa software iliyomo sasa hivi ndani ya modem kama bado hujainstall.

3. Update firmware yako kwa kuinstall Airtel Default Firmware (haiko locked ipo ndani ya rar. folder ulilodownload), hapa utahitaji kuingiza Flash Code

4. Baada ya hapo ingiza E303C ku-update dashboard yako kwenda new version

NB: usisahau ku-unlock baada tu ya ku-update firmware kwa sababu itajilock tena.

Dondosha THANKS au Like kama imekubamba

Tafadhali usifanye kwa biashara, its my upload
on 4shared

Kwa wale wenye Modem za Vodacom K3570-Z au K3571-Z tumia njia hii

Kimox
the Instructor

Thanks!!

thanks
 
Shukrani kwa taarifa yako. I got kufungua code kutoka tovuti hii Theunlockarena.com pamoja na kufungua maelekezo na kufungua e303 yangu huawei kwa urahisi.
 
Back
Top Bottom