Finally: Hongereni Wana-CCM Online!!

Status
Not open for further replies.
Mkuu Malecela, kwa akili yako , umetafakari na kugundua kuwa ukipiga picha na mademu wewe ni KIONGOZI Mzuri wa kitaifa amabaye sio shoga! kweli CCM ni funga kazi! tutajuaje kama hao ni mashosti zako!
 
Haya maneno yamenifanya niamini kumbe kweli kaka ni umbo la mwili tu, ubongo haupo, nadhani ulichelewa kulia ulipozaliwa, no wonder kila unapogombea unapigwa chini.

Mkuu unafuatilia habari za kile chama makini CCM? Fuatilia chaguzi zetu utaona Le Mutuz amechaguliwa kwa kishindo; sisi tunafanya uchaguzi hatufanyiwi maamuzi na baba mkwe!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kijana tulia ongeza familia mali ya uridhi،unayo ya kutosha.Vijana watakutisha mwishowe ulie kama mama yako mdogo bungen.Kwa afya hiyo mda si mrefu shemeji utakuwa unamwekea mkono tuu
 
Mkuu unafuatilia habari za kile chama makini CCM? Fuatilia chaguzi zetu utaona Le Mutuz amechaguliwa kwa kishindo; sisi tunafanya uchaguzi hatufanyiwi maamuzi na baba mkwe!

Chama
Gongo la mboto DSM
Ndio maana Salama kikwete, Riziwani kikwete, chama kinana, Nape Nnauye n.k. wataendelea kupita bila kupingwa, kweli mnafanya uchaguzi lakini ndani ya bedroom ya mkulu.
 
hadi hapa hakuna hata mmoja aliyekuunga mkono Wiliam, ona jinsi chama chako kilivyodhaifu sana kwenye mitandao
hoja yako haijatetewa kabisa sanasana naona imepingwa hadi na mwanaccm mwenzako.
Kwa kifupi nawashauri vijana wenzangu wengine tuachane na ccm kijifie chenyewe na wazee wake kama akina Wiliam J Malecela ambao bado wanakimbizana na umri eti wanajiita vijana, siasa bwana, but ccm natamani ife hata kesho. We William heri ungeendelea kupiga ubaharia wako huko USA
 
Hivi swala la pembe za Ndovu mmeshalitolea ufafanuzi? Au ndio liko mahakamani?
Na swala la Twiga wetu?

Sio kwamba wana ccmweli hawapo on line,wapo wengi hila ni kwamba wanaona aibu kutetea maovu, ili kuitetea ccmweli lazima kichwa kigeuke kwanza!

Yani unataka watu watetee utoroshwaji wa pembe za ndovu na Twiga? Unataka watu washangilie utoroshwaji wa pesa na kujificha uswisi?

Wewe hauna aibu ila wenzio wanayo!

John Samuel Malecela kauletea kituko duniani.....ivi huyu babu hana mtoto mwingine wa kumchomeka kwny politics ili kuficha hii aibu
 
Daaa huyu lemutuz alichaguliwa kimakosa kabisa nadhani wana juta kumchagua! Huyu alitakiwa kuwa mwana mitindo au mcheza filamu!

Mkuu unafuatilia habari za kile chama makini CCM? Fuatilia chaguzi zetu utaona Le Mutuz amechaguliwa kwa kishindo; sisi tunafanya uchaguzi hatufanyiwi maamuzi na baba mkwe!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Unajua umri wake wa miaka 50 unamzidi uzito kwa hiyo ana dhani kila anaye mpinga ni cdm!

Kijana tulia ongeza familia mali ya uridhi،unayo ya kutosha.Vijana watakutisha mwishowe ulie kama mama yako mdogo bungen.Kwa afya hiyo mda si mrefu shemeji utakuwa unamwekea mkono tuu

Watu wa rika la William Malecela sio vijana. Wanalazimisha kuitwa vijana wakati umri ushawatupa.
 
Daaa huyu lemutuz alichaguliwa kimakosa kabisa nadhani wana juta kumchagua! Huyu alitakiwa kuwa mwana mitindo au mcheza filamu!

Hoja yako imekosa mshiko Le Mutuz hakuteuliwa kacahagulia na wajumbe wa mkutano upo hapooo!!!!!!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Ndio maana Salama kikwete, Riziwani kikwete, chama kinana, Nape Nnauye n.k. wataendelea kupita bila kupingwa, kweli mnafanya uchaguzi lakini ndani ya bedroom ya mkulu.

Kuna tofauti ya kupita bila kupingwa na kulazimisha wanachama wenye uwezo wa kugombea wasigombee muulize mh. Zitto atakupa ufafanuzi wa hili; hivi mmeahirisha chaguzi kwa sababu zipi kama sio kujenga mitandao?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Watu wa rika la William Malecela sio vijana. Wanalazimisha kuitwa vijana wakati umri ushawatupa.

Unategemea unaishi dunia gani USA miaka 50 bado kijana sana sasa kama wewe miaka 35 umeanza kujiona mzee hizo ni njaa zako!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…