Finally: Hongereni Wana-CCM Online!!

Status
Not open for further replies.
Najua ninyi watu wazima upuuzi wenu tumeusoma humu, nasi ajabu wengine wenu ni viongozi wa kitaifa mmeonesha jinsi mlivyo na uwezo mdogo wa kiuongozi hamkustahili hizo nafasi mlizopewa, ubora wa kiongozi uko ktk matendo na si vinginevyo.

watu wazima wanalumbana kwa hoja na sio kwa viroja kama mnavyofanya ninyi sasa hivi, Mnaharibu kabisa mnakasha katika JF
 
Jeykey
Leo unaikana Chadema? Ushoga kazi unajikana tu kwasababu unaogopa kujibizana na wanaume!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mzee unaoa lini

Maana haya mambo ya kujichubua si mchezo

- Yamekuwa haya tena ya kuoa sio siasa tena wala Chadema, bro tuliza boli unajua wewe unanisaidia sana kuni-promote ingawa unadhani unanichafua so think again, otherwise nawapongeza sana wana CCM online kwa kzzi nzuri sana finally we are being heard ndani ya mitandao sio kama zamani ilikuwa nyinyi tu wenyewe kwa wenyewe!!, NAONA HMANA HOJA HAPA TENA! NGOJA NIENDE!!

KIDUMU CCM!!

lE mUTUZ!
 

- Mwakaboko mtu mwenye akili sana na heshima umekuja kwenye huu mjadala kutafuta nini? ha! ha! ha! hapa ninawapongeza Makamnda wa CCM online wka kazi nzuri sana kwa Chama chetu!!

hoja hasa ni nini na wewe unawapongeza au hutaki?

Le Mutuz!!
 
We mnafiki si ulisema umeondoka jamii forums? Tena ukawa ukiporomosha mitusi kwenye ki blogu chako?
Vipi, mbona unarudia matapishi?
 



Well said

Mimi naishia hapo

Ila nawalika Nnauye Jr, Ritz chama, peri, @Balabanda, Lusinde, @Jmakamba wasome hizi comments
za Mzee kiongozi wa kitaifa

THis is BIG SHAME TO OUR PARTY CCM

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Last edited by a moderator:
Well said

Mimi naishia hapo

Ila nawalika Nnauye Jr, Ritz chama, @@peri, @Balabanda, Lusinde, @Jmakamba wasome hizi comments
za Mzee kiongozi wa kitaifa

THis is BIG SHAME TO OUR PARTY CCM

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Ahaaa haa umekuwa CCM sasa I doubt, you don`t belong to us; you sound like one them so don`t be ashamed of who you are!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
We mnafiki si ulisema umeondoka jamii forums? Tena ukawa ukiporomosha mitusi kwenye ki blogu chako?
Vipi, mbona unarudia matapishi?

- The King Of All Social Bongo Network Media!! ndio maana yake!! lakini muhimu ni Kamanda wa CCM online, the mada ni kuwapongeza makamanda wa CCM online, vipi unakubali au unakataa chagua moja!!

Le Mutuz!!
 
nimemtumia sms Mzee Philip Mangula ..... nimemsihi sana atemmbelee huu uzi hapa jf ajionee jinsi ccm inavyojidhalilisha
 
Hivi hiki chakula cha nani vile


- Huyo ni mchumba wa Kiongozi wenu huko Chadema so kuwa na heshima bro, huu sio mjadala wa wachumba wa viongozi, hapa ni salute kwa makamanda wa CCM online kwa kzi nzuri sana!!, kazi yenu Chadema kuingia bungeni na wachumba wenu!!

Le Mutuz!1
 
nimemtumia sms Mzee Philip Mangula ..... nimemsihi sana atemmbelee huu usingizi hapa jf ajionee jinsi ccm inavyojidhalilisha

- Mangula ni mtambo wa kurekebisha Chama kwa ndaa na sisi tunarekebisha kwa online, inaitwa division of labor katika chama!!

Le Mutuz!!
 
Hivi ni lini @W.J.Malecela ulishandana na kupata sifa ya kuwa "King of all social network'? Au ulijipa mwenyewe hiyo sifa? Kuweka picha za wasichana wakiwa uchi ndio kupiga za uso? Kutukanana kwenye mitandao ndio sera za CCM? Kuushi kwako nje miaka yote hukubahatika kuambulia hata chembe ya ustaarabu na ustahimilivu? Kwamba kurudi bongo ndani ya miezi 6 tu ndo umeshakuwa polluted to that extent? kumbe the difference between You and Livingstone Lusinde is the same? Ni hasara kubwa sana kwa Mzee Tingatinga na Taifa kwa ujumla kuwa na Wazee wa hovyo hovyo kama wewe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…