mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
mzee wa sumuuuuuuuu, tema sumu tema sumu fastaaaaaa. mzee wa jenosaidiiiii tema sumu fasta fastaaaaaaaaa..... Ni sheedah
Ehehehhh Jmali zasiku? Tokea nichukue likizo kwenye hili jukwaa naona misumu umeitapakaza kilakona tena wale uliowaambukiza wameamua kabisa kutoka pangoni , watakuawamekukubali kwa vyovyote, ukizingatia Mchambawima1 kaja na nguvu ya sodakukutoa misumu mwenyewe kamkubari Joka kuu, hongera! Ila kama nilivyo kuambiahuku kwenu (Rwanda) ni kazi tu yani kuchelewa kulala na kuamka mapena ishakuwajadi, hatuna mambo ya kijiweni, ila tukipata wakati tunawawahi kablahamjawamaliza ndugu zetu wabongo kutokana na uchunguzi wangu nimegundua kumbewengi unaowaloga hawajui hata computer, unakuta mtu aanakuuliza eti zile sumuzako wanazidownload vp? Yani nimekufa na cheko uwezi kuamini.
Ila kwa harakaharaka wacha nijaribu kuokoa wale wenyevijisumu na wewe ntarudi kwako baadae maana naona ushaharibu kabisa.
Kwanza ningependanianze na yule mama wa BBC! Hv hamumkumbuki kuwa ndiye yulena mwenzakewakimarekani ndio waliomfanya Bush na Tony blair waingieIraq au mambo huwa hamyawafitilii? Mwishowake mnayadandia kwa mbele, yule mamandiye aliyetuuzia sumu za Iraq eti wana Weapon of mass destruction, Wazee kuingiawakakuta patupu sema ndio hivyo maji hayazoleki, ila tena anabahati waingelezahawajali lakini yule wa kimarekani walimtia ndani kwa kuwauzia sumu ila huyukwa sababu hakuwekwa hospital kutemeshwa sumu zake sasa naona kaja na mpya yaRwanda! Kinachonishangaza huyu mama hamna kipya alicholeta Zaidi ya zile sumuambazo Jmali alikuwa anaziuza kupitia hapa Jamii Forum, tofauti ni kwamba yulemama ni fahari kwa kuuza sumu ndio maana Jmali na washirikina wenzako mmeona mumtumie.
Jinsi mamboyanavyoendelea inanikumbusha kipindi nilikuwa bado naishi bongo, vijana wengiwaliuwawa kwa kusingiziwa wizi, kipindi fulani kulikuwa na mchezo wa kukimbizawezi lakini ukifika mbele wakaona wenzako wameishiwa pumzi(kama kina Kayumba,Rudasingwa, Karegeya na wengineo wengi) ukabaki pekeyako au wachache basiwanakugeuzia ubao na kukuitia mwizi na hiyo ndio inakuwa siku yako ya mwishokupumua, haya nnayo yasema wabongo wakweli watanielewa namaanisha nini, au wale wazazi waliopoteza watoto wao kwakuuwawa njiani wakitoka Disco, mkae mkijua mwizi akipata upenyo anakugeuziaubao eti wewe ndio mwizi, kama kinaJmali na wenzake Kagame kawaandama wee akaona kilichobaki wacha nimuachie mungunijali maendeleo ya wananchi wangu waliosalia basi kinaJmali nao ndio hao nyumayake na visingizio kibao na kumpakazia walivyoacha wamefanya ila kagamemwanaume kadindisha achomwi mtu moto na mwizi atakimbilia mwenyewe Policekujiripoti.
Kama mnatakakujua ni watutsi wangapi waliouwawa kwenye Genocide basi msimuulize Jmali (Jokakuu) njooni huku kwetu kilasehemu ya ukumbusho kuna majina na picha za wilzo uwawa,kuhusu ndege hatujali ila aliyeitungua mungu ambaliki sana kwani Habyarimatulikuwa tunamuhesabu kwenye upande wa adui ambaye alitufanya tuwe wakimbizimiaka zaidi ya 30na kifo chake hakiwezi kujustify mauaji ya raia wasio na hatia,hivi Rwanda ni ya wanyarwanda wote kama utakubali kutemeshwa sumu kama hizo zaJmali na BBC basi karibu sana hutaki hiyo ni hiyari yako naubaki hukohuko
Sie huku kwetu movietushaiona na tunawasubiri kwa hamu sema muwaambie hao washirikina wenzenuwawape risasi za kutosha
Salamu za kinafiki hazipendi hata kidogo! Eti we mngoni? Kwa hiyo Dareslaam we ni wakuja? Kwa hiyo sumu za Jmali zikiwakolea wazalamu wakakutimua bongo, utaongaeza tena kwenda Cinema au Disco za kuelewa au Songea siku hizi mambo safi? Nyie mnamchezea huyo Jmali majanga yake hamuyajui!kijana upo? PaKa wako hajambo? Salamu kwake
You are barely true! Actually, he does to any one who wants to harm Rwanda and Rwandans. He added that he will never be apologetic for that!PaKa ni mashine ya kutoa roho za wahutu na wapinzani wake
Sikujua hili!
Ss km wote wakimkomalia atavunja balozi ngapi? Nawaza kwa sauti!
ni kweli kabisa, ametoa roho nyingi sana za wacongo, wamefikia zaidi ya milion tano....si mchezo.You are barely true! Actually, he does to any one who wants to harm Rwanda and Rwandans. He added that he will never be apologetic for that!
Kagame ana matatizo Binafsi... na huyachanganya na kwenye Serikali yake pia akikuchukia basi nchi nzima nayo itakuchukia...
baada ya kutumika na mataifa ya magharibi, kinachofuata ni dumping..
Mama Igambire si mtu wa visasi halafu unajua jeshi la Rwanda linamilikiwa na watutsi sidhani kama watakubali kumwachia nchi nasikia harufu ya vita nyingine.
Mchambawima1 unajitahidi lakini, safi.
Would just to like to add something on that! Lets say weall know that he shot the plane, does it justify the killing of innocent peoplebecause of their ethnic background?Aminiusiamini: I choose not to believe. Frankly I hate people who come up with outlandish claims but do not provide any evdidence. What do you think we are? Children? " Tanzanians knew about Kagame's plans to shoot...." Well, I am Tanzanian and I did not know. You either provide a source, audio, photo or.....it never happened.
I think the only person who is confused here is you.
....Rwanda is moving ahead for better wewe keep enjoying your stupid wishful thinking huku mkigongeana likes na revisionist/interahamwe wenzako,we have ICTR,courts all over the world,interpol etc to arrest and prosecute unaowatetea na wengi are guilty saving life... why not vice versa as you wish?hiyo documentary video full of stupid opinions wont change a thing so acha waste time yako na hizo nonsense video hata idioots like jmali can make one ,kama mna ujanja anzisheni mahakama to prosecute kina Kagame/RPF...mna comedy sana nyie.naamini pia kuwa hawa kina koba wana haki ya kulalamika na kuandamana kwasababu documntary imemvua nguo kabisa kagame. hadi hoja zimewaishia wanashindwa kujibu, bahati mbaya ni kwamba dunia imekuwa kijiji hivyo ulimwngu wote umeshaelewa na documentary imeshakuwa downloaded iko majumbani mwa watu, hata bbc wakiitoa tutaiweka tena.
Would just to like to add something on that! Let's say weall know that he shot the plane, does it justify the killing of innocent peoplebecause of their ethnic background?
Mkuu,
wamechanganyikiwa. Yaani silaha yao sasa hivi ni moja tu. Ukiongea
wanasema wewe ni interahamwe, FDRL......
Ni kama mwanajeshi aliye vitani hajui adui yuko wapi, akisikia mlio wa
bunduki naye anapiga ovyo ovyo tu.
Not at all, but he has hands on the RPF Revenge Killings against the Hutu, and the life of 5 Million Congolese Killed by his intervention in Congo and through his proxies
No doubt with the size of your IQ! Call it revenge, defenseor whatever you like, what I know is; we passed it behind during the time ofwar, bear in mind whether you like or not RPF is the most disciplined army inworld
Defeating evil always cost us a lot as a matter of fact youshould start writing to The Hague because right now we are doing the same inCentral Republic of Africa! We never do anything to please anyone; evil is eviland should be treated as such! May be you should ask Congolese what happenedafter series of warning from Rwanda; Mobutu seemed to not care I guess now heis answering those victims in heaven or hell.