Fina Mango: Ujio mpya Redioni

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
Fina Mango Mtangazaji wa Redio aliye Jipatia umaarufu mkubwa katika utangazaji kwa kupitia Kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Fm Miaka Miwili Iliyopita sasa arudi tena hewani baada ya kuacha utangazaji kwa muda , sasa utamsikia kupitia Redio ya Magic Fm ,Atakuwa akirusha kipindi Kitakacho itwa Makutano kuanzia Mwezi wa nane mwaka huu-Stay Tuned

MAKUTANO-Fina.jpg
 
kwani ni nini kilimuondoa kule aliokuwa akiitwa First Lady? je kuna ugomvi wowote kati yake na Meneja?
 
Back
Top Bottom