Fimbo uliyoulia nyoka ni dawa ya umarufu usitupe fimbo hiyo

Jamaa kanichosha ujue lakin nishamwambia mimi simo
Wewe jamaa utakuwa na kampeni ya kutokomeza nyoka. Hebu jiulize WaTanzania 100,000 pekee wakitaka kuua nyoka ili kupata umaruufu kutabaki kitu kweli....

Nacheka kimoyomoyo...hivi hawa nyoka wamekukosea nini mkuu?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom