Nashukuru kwa taarifa mkuu. Nipo nje ya Dar ila nitajaribu kuzitafuta. Una fununu yoyote kuhusu bei?Zimeanza kurudi mkuu, naziona sana kwa wamachinga fileni za mwenge na ubalozi
Usijali mkuu nikipata picha nitaweka hapa.Kwa sisi tuliozaliwa miaka ya 90 tunaomba muongozo wa picha.....
... umeshaambiwa zinapatikana kwa machinga hilo swali lako ni irrelevant!Nashukuru kwa taarifa mkuu. Nipo nje ya Dar ila nitajaribu kuzitafuta. Una fununu yoyote kuhusu bei?
Moja 500 mi nimenunua jana mara ya mwisho... umeshaambiwa zinapatikana kwa machinga hilo swali lako ni irrelevant!
Mi nilikuwa napiga sana hizo sijawahi ona ya tundu 8 mi nimeona ya tundu 6 .Habari wakuu.
Kwa wale ambao wamesoma elimu ya msingi miaka ya 80 watakuwa wanakumbuka tulikuwa na bendi za gwaride la shule na tulikuwa tukitumia ngoma na zile filimbi zenye matundu manane. Hizi filimbi nakumbuka zilikuwa zinatolewa na serikali kwa ajili ya mashule na pia zilikuwa zinauzwa kwenye maduka mitaani.
Tulikuwa tunafundishwa namna ya kutumia ala hii ya muziki. Ni miaka mingi sijawahi tena kuiona ala hii ya muziki ikiuzwa mahali popote. Kwa mwenye kujua kama bado zinapatikana anijulishe ni wapi. Nakumbuka zilikuwa bei rahisi sana maana zilitengenezwa kwa mrija (pipe) ya bati na kipande cha mti kwenye sehemu ya kupulizia upepo. Miaka ile nadhani bei ilikuwa kama shilingi kumi hivi!
Habari wakuu.

... ukishaambiwa kitu kinapatikana kwa machinga bei utaipata na ku-negotiate huko huko; kitu cha laki bei ya kuanzia unaweza kununua elfu 4.Moja 500 mi nimenunua jana mara ya mwisho
... ndio ubunifu wa juu zaidi wa kihandisi tuliowahi kufikia kama taifa katika tasnia ya muziki! Globalization ilikuja kuuwa vipaji vyote vile.Zile zilizokua zikitengenezwa na ma metal covers za mabetri ya National ha ha ha
Umenikumbusha mbali sana, nimezitumia miaka ya 80 mwanzoni, kule kwetu alikuwepo muhindi mmoja akiitwa Mr Khan alikuwa anazitengeneza maridadi. Siku hizi zipo za plastic na zinauzwa madukani hapa bongo, sina uhakika lakini pale mlimani city huwezi kuzikosa. Niliwahi kuzinunua 12 niliposafiri nchi fulani na ninaendelea kukumbuka enzi.Habari wakuu.