Filikunjombe: Serikali ya CCM imevaa miwani ya mbao

Filikunjombe: Serikali ya CCM imevaa miwani ya mbao

Wakimpiga chini, unajua
atakwenda wapi....nafikiri atatangaza kuwa anajiunga na CDM na
kuendeleza kazi za ubunge.

Mtikila, Kihauli, Kolimba, Kitine na sasa Filikunjombe. Watu wa Ludewa hawajawahi kuwa wanafiki
 
Karibia wabunge wote (kama si wote) wa CCM wanakubaliana na hayo anayosema Deo Filikunjombe. Tatizo ni unafiki na uwoga kwa kusema hadharani yale wanayosema huku uraini. Nje ya Bunge, wabunge wa CCM wanaongoza kwa kuilalamikia serikali, lakini wakiwa ndani ya bunge kumbukumbu zinawatoka!

Ni mbunge yupi anaweza kusimama na kusema jimboni kwake hakuna shida ya maji, huduma nzuri ya afya, madawati, barabara?
 
Huyu lazima leo wamkalie kikao.
Huwezi kuleta utukutu kwenye Chama. Chama ndiyo mwisho wa yote. lazima ushughulikiwe ipasavyo.
 
Awataka wabunge CCM waache kufanya kazi za NAPE na wawajibike badala ya kufanya SIASA BUNGENI. WASIPOPATA meli katika jimbo lake wataandamana muda wowote na mahala popote, amekataa kuunga mkono hoja ya waziri mkuu hadi mambo ayatakayo yatimizwe.

Njano5.

,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Hivi kumbe ukiwa sifuri unazaa zero.....january makamba like father like son
 
Karibu kujiunga na makamanda Deo tunahitaji spirit kama hii kukomboa nchi,..
Nakweli kabisa i can see this right guy is in the wrong place,sijui atachukua lini uamuzi mgumu.....
 
Yule jamaa ni jembe sio siri. CCM lazima watampiga chini awamu ijayo

Ludewa ni yako comrade Deo, kwa chama chochote wanaludewa watakupa ubunge! nilimsikia Lugola naye akiipinga hii bajeti ya Pinda. Angalau hawa wawili wameonesha uzalendo!
 
Yale makofi machache yalitoka upinzani. Hebu angalia hili Li Kigola limeunga mkono mia kwa mia halafu malalamiko kibao.
Deo ni mbunge anaejitambua.Lugola nae aliahidi kutoiunga mkono bajeti ya w.mkuu kama hatopata majibu ya kuridhisha.
 
Deo kiboko bwana siyo sawa na hawa walanguzi wa CCM akina nkamia na wengine.HUYU Mh.DEO anaongea anachokiamini na siyo vinginevyo.
 
Hahahahahah! Maneno haya nitayarudia tena, baada ya kesi ya ugaidi.Ngoja nimpelekee nakala rafiki yangu Mwigulu Nchemba
Ukishaona unaelekeza akili zako kwa Nchemba inabdi ujihoji vizuri sana. Nchemba ameshakuwa labeled kama mpumbavu sasa ww unategemea mtu mpumbavu atakueleza nn???Huyo ndo kundi lako?? Kuna watu wanabahati sana ya kuabudiwa despite upumbav wao.
 
Huyu lazima leo wamkalie kikao.
Huwezi kuleta utukutu kwenye Chama. Chama ndiyo mwisho wa yote. lazima ushughulikiwe ipasavyo.
Hawawezi kumfanya lolote unafikiria hawajui wakimtibua ni hasara kwao na furaha ya wapinzani wao.....
 
Mnataka aje kuwa kama Zitto?
Deo sio wa kaskazini na ni CCM damu,
Mageuzi/maendeleo ya kweli yatatokea ndani ya CCM na sio kwingineko.

Pole sana myawe! I can understand you really well. Jamaa wamekushika vibaya sana; nakuona kabisa unavyofanya yote haya kinyume kabisa na matakwa ya nafsi yako, lakini utafanyeje sasa!! Najua unatamani kukaa kimya kabisa uendelee na mambo yako lakini makubaliano hayaruhusu. What a shame, you've got to go out there regularly and make yourself heard loud, much as your heart would refuse! Vakwiyibete fivi muno muyawe veve!
 
.......Kamanda...umekosa kombati tu!!!!

......."waliotutuma kwanza
.... lumumba... HAITUHUSU"......
 
Ukishaona unaelekeza akili zako kwa Nchemba inabdi ujihoji vizuri sana. Nchemba ameshakuwa labeled kama mpumbavu sasa ww unategemea mtu mpumbavu atakueleza nn???Huyo ndo kundi lako?? Kuna watu wanabahati sana ya kuabudiwa despite upumbav wao.
Adui mpende.ndiyo maana sisahau kumpelekea nakala muhimu kama hizi.
 
Safi sana, huko ndiyo kufanyakazi kwa masilahi ya Taifa na Wananchi na sio kuwa MNAFIKI na MTUMWA wa chama na watawala'

jamaa sio mbumbumbu kavukavu anapiga havai hata groves,bado ule msimamo wa kutokuwa na imani na waziri naona upo bado,lakini pia mawimbi ya bahari si shwari na hilo kaliona.
 
Huyu jamaa tangu amesaini ile karatasi ya kutokuwa na imani na waziri mkuu namkuibali sana. Kwnza hoja zake zinaiumbua serikali, cha kushangaza ccm ili upendwe uwe unaitukana CHADEMA. Hongera sana kamanda usirudi nyuma
 
Kwetu ni msosi

Kasema kama hivi vitu havitatekelezwa, wataandamana. Kasema wabunge wa CCM wabadilike, si kupinga kila kinachosemwa na upinzani, wachukuwe hoja zao na kuzifanyia kazi.


Hawa wanaotukana ni kuwa wanafanya kazi ya Nape, sasa mnataka nape afanye kazi gani??
 
Wasiwas wangu ni kwama anaweza asidum na kucha,meno etc,maana magamb hawatak ukwel
 
Hata yy analijua hilo;CCM mtu wao ni Mama Pinda Chana(MB-Viti maalum)na tayari hata kaisha anza kuzunguka Ludewa!

Deo Haule HAWEZI SHINDA KURA ZA MAONI CCM-LUDEWA 2015 lkn ANAWEZA SHINDA UBUNGE HATA AKISIMAMA KAMA MGOMBEA BINAFSI!

Je yupo tayari kuiacha CCM ili arudi tena bungeni kama MBUNGE bila kupitia CCM?

Mjumbe naona hapo kalamu imeteleza hilo jina la mwanzo sina shida nalo(mama)yeye ni Pindi sio pinda.nyongeza ni kwamba kama ccm wanataka kupoteza jimbo la Ludewa basi wamuondoe Deo kwenye kula za maoni.
 
Back
Top Bottom