heshima kwenu wanajamvi,yaani tokea nimeanza kuangalia bunge la bajeti wiki iliyopita nimekuwa nikikerwa sana na baadhi ya wabunge ambao wanasimama kuchangia hoja ya bajeti tokea mwanzo wa hoja zaoa mpk mwisho ni wanaiponda bajeti nakuonyesha mapungufu yake katikakuwapelekea maendeleo wanachi alafu mwisho eti mbunge huyoyhuyo anunga mkono hoja tena kwa asilimia mia moja huu ni upuuzi naomba nirudie tena huu ni upuuzi raia yangu kwa wabunge kama unaona bajetii haikusaidii wewe na wanajimbo wako kuwaleteeni maendeleo tafadhali usiounge mkono hoja hata kama wewe ni mwana ccm,naomba mfuate mfano wa deo filikunjombe mbunge wa ludewa(ccm) ingawaje yeye ni ccm lakini hajaunga mkono hoja ya mjadala wa bajeti ya ofisi ya waziri mkuu kwa sababu ya propaganda endelevu za ccm mfano meli,raisi aliahidi lakini kila siku anawapiga kalenda na chenga,naomba kuwasilisha