Filikunjombe: Serikali ya CCM imevaa miwani ya mbao

Filikunjombe: Serikali ya CCM imevaa miwani ya mbao

Angalau ni mbunge pekee anayejaribu kuonyesha utofauti

hivi hakuna radio inayorusha live bunge hilo? maana TBC haipo ktk mtandao kwa sasa
 
Hakuingilia kati, naona walijikaza ila Spika alimwambia afute kauli yake ya miwani ya mbao, akafuta naona hapo pia ili kufunika kombe mwanaharamu apite!! Lakini msg delivered!

Actually angekuwa na uwezo angemsimamisha au kumtoa nje. Hakuamini kile alichokuwa anakisema Deo. Alikùnja uso akajifanya hasikii. Hongera Deo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Yule jamaa ni jembe sio siri. CCM lazima watampiga chini awamu ijayo

Yaani ikitokea wakampiga chini nitaamini asilimia 100 kuwa CCm ni genge la waarifu na si wastaarabu.
 
Angalau ni mbunge pekee anayejaribu kuonyesha utofauti

hivi hakuna radio inayorusha live bunge hilo? maana TBC haipo ktk mtandao kwa sasa

TBC wako hewani tangu asubuhi mkuu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Deo Filikunjombe wewe ni jembe, hakika umewavua nguo na kuwaaibisha vidomidomi akiana Nchemba, Lusinde,Nkamia, Komba, Kigwangala, kuna yule wa Sikonge kwa ujumla wabunge wote wa CCM. Filikunjombe huko CCM hufanani nako, ndege wa rangi moja huruka pamoja, karibu kwenye kambi ya ukombozi.
copy kwa HKigwangalla, Mwigulu Nchemba
 
Last edited by a moderator:
Big up Filiku,hakuna unafiki katika maendeleo.,mbungu makini aliebak ndan ya ccm..
 
Kumbe inajulikana kazi ya Nape ni matusi that why deo kawaambia kina nchemba wanavyokua wanatukana wanaingilia jukumu la nape.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Anasema wanafanya mambo kwa - funika kombe mwanaharamu apite. Anasema Waziri mkuu aliapa kuilinda katiba lakini sasa wnafanya kulindana.

Anasema bungeni kuna mawaziri 30 lakini wanaowajibika ni kama 10 na anaweza kuwataja.

Anasema tusifanye kazi za Nape Nnauye kule bungeni. Anasema tusiwabeze wapinzani kwa kila kitu

Huyu jamaa anaonekana moyo wake hauko tena CCM.

Bungeni leo asubuhi

kwani ukisema ukweli tu ndo unakuwa cdm? kwani wasio hao hawasemi ukweli.? Acha kujifunga kimawazo namna hiyo. kuwa huru utaona faida ya kukomaa na kukua. usikue kwa kujifunga na cdm tu =ukweli uko hata nje ya cdm. Kama wewe ukipewa madaraka itakuwaje? Inabidi tuwaogope watu kama nyie kushika nyadhifa kubwa nchini -utabagua saaaaaana
 
TBC wako hewani tangu asubuhi mkuu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
naelewa wapo hewani kwa ving'amuzi,lakini online hawapo,kuna kipindi tulikuwa tuwaona kupitia TV4AFRICA lakini kwa sasa hawaonekani,na nimejaribu kuwauliza wahusika wanaoendesha kampuni hiyo ya TV4AFRICA wanadai ni TBC pekee ndio hawapo online.
ndio maana naulizia kama kuna radio inarusha live,maana arusha mambo nayo imekufaa
 
Anasema wanafanya mambo kwa - funika kombe mwanaharamu apite. Anasema Waziri mkuu aliapa kuilinda katiba lakini sasa wnafanya kulindana.

Anasema bungeni kuna mawaziri 30 lakini wanaowajibika ni kama 10 na anaweza kuwataja.

Anasema tusifanye kazi za Nape Nnauye kule bungeni. Anasema tusiwabeze wapinzani kwa kila kitu

Huyu jamaa anaonekana moyo wake hauko tena CCM.

Bungeni leo asubuhi
Nakala kwa HKigwangalla, Mwigulu Nchemba
 
Last edited by a moderator:
Hongera Filikunjombe kwa kutokupepesa macho
2015 Rudewa jamaa apite bila kupingwa
na wapinzani msipeleke mgombea JAMAA ANATOSHA
 
Mnataka aje kuwa kama Zitto?
Deo sio wa kaskazini na ni CCM damu,
Mageuzi/maendeleo ya kweli yatatokea ndani ya CCM na sio kwingineko.

Ukaskazini umetoka wapi hapa?
Juzi ulimuandikia Ben Saanane kuwa awe mmoja kati ya vijana wanaopinga dirty politics, sasa wewe ni nini hiki unachokifanya hapa??
Kwani ni lazima mtetezi wa ccm ajivue ufahamu na kujitia aibu kama unavyofanya wewe??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
where r U m 23 Bocho Ritz come n support your fellow party member (Deo) please. I know mnakesha humu as nashindwa kufikiri kwamba pengine mpo bize na majukumu ya kimaisha to the extent mshindwe kuona thread hii isiyo na herufi zinazounda neno SLAA

"To be successful, the first thing to do is fall in love with your work."
 
Mnataka aje kuwa kama Zitto?
Deo sio wa kaskazini na ni CCM damu,
Mageuzi/maendeleo ya kweli yatatokea ndani ya CCM na sio kwingineko.

"In the future it is possible that a second party will grown in Tanganyika,but one sense such a growth would represent a failure by TANU" - Julius K Nyerere 1968
 
Akichangia hotuba ya waziri mkuu amekataa kuunga mkono hoja,huku akisema serikali imevaa miwani ya mbao na kuziba masikio. Akawalaumu Ccm kwa kuwabeza wapinzani na kufanya kazi za Nape bungeni badala ya kupokea hoja za wapinzani na kuzifanyia kazi. Akasema wapo mawaziri ambao walikuwa upinzani na wameelewa wamerudi.

hapo alikuwa anamlenga wasira.namkubali Deo sana.
 
kwani ukisema ukweli tu ndo unakuwa cdm? kwani wasio hao hawasemi ukweli.? Acha kujifunga kimawazo namna hiyo. kuwa huru utaona faida ya kukomaa na kukua. usikue kwa kujifunga na cdm tu =ukweli uko hata nje ya cdm. Kama wewe ukipewa madaraka itakuwaje? Inabidi tuwaogope watu kama nyie kushika nyadhifa kubwa nchini -utabagua saaaaaana

Sijapata point yako! Hebu rudia
 
Ukaskazini umetoka wapi hapa?
Juzi ulimuandikia Ben Saanane kuwa awe mmoja kati ya vijana wanaopinga dirty politics, sasa wewe ni nini hiki unachokifanya hapa??
Kwani ni lazima mtetezi wa ccm ajivue ufahamu na kujitia aibu kama unavyofanya wewe??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Huyo ni mtu aliyefilisika kifikra na kihoja,ndio maana anakimbilia,udini,ukanda na ukabila...aibu kubwa
 
Last edited by a moderator:
waziri mkuu hapo anapata machungu na kukumbuka yale majina ya wabunge waliosaini kutokuwa na imani naye, filikunjombe alikuwa muwazi na si mnafiki kama wengine:rockon:

huyu mbunge sijui anatazamwa kwa jicho lipi na pm
 
Hawezi kuhama CCM labda wamfanyie mizengwe, na sio rahisi sana akaingia CDM.Akitoka CCM akasimama kwa chama chochote kile atapata tena ubunge.na CCM Wameamua kumkomoa kwa kutopeleka maendeleo jimboni kwake.
Kwani hayo yanayoendelea sasa hivi jimboni kwake kwa kutokupeleka fedha kwa miradi ya maendeleo wewe huoni kuwa ni mizengwe???Au unadhan mizengwe ni nini hasa? au unadhan ni kwa nini anatoa povu hapo bungeni? Kwa akili ya haraka kabisa, huwezi ukafkiria chama chochote kile cha upinzani, kabla ya kukifkiria chadema. Nadhan Deo hana tatizo la kufkiri, obvious ideal option kwake itakuwa ni Chama kikuu cha upinzani Tanzania.
 
Back
Top Bottom