Filamu ya 'The Interview' imenipa sura mpya kwa US

Filamu ya 'The Interview' imenipa sura mpya kwa US

1. Huyo dicteta wa North Korea ndio alikuwa mjinga baada ya kupata hint kuhusiana na hiyo filamu akaanza kupiga mkwara kampuni iliyo nchi nyingine na hapo ndipo Obama alipoingilia......Asingefanya hivyo hiyo movie ingeonyeshwa na wala usingesikia chochote kutoka kwa Obama. Baada ya wananchi wake kutishiwa na watu wa nchi nyingine kwa kitu ambacho hakivunji sheria za nchi wala za kimataifa ulitaka Obama akae kimya ?

2.Hapo nilipoweka red naomba link ya hiyo habari kama kweli kuna kitu kama hicho kilitokea !. Ninafuatilia sana habari za Marekani na kwa kweli nitashangaa sana kitu kama hicho kikubwa kilinipitia pembeni....

3. Wamerekani wametengeneza movies nyingi tu zinazomuhusu marais wao.....Katika movies nyingine Rais wao amekuwa akidhalilishwa na hata kupigwa !. Ni madicteta tu ndio wanajiona kama wao ni miungu na hivyo wasiguswe !.

Wana JF,
Ile filamu ya the interview iliyo zua kasheshe takribani wiki hii yote kati ya serikali ya jamhuri ya watu wa north korea na kampuni ya utayarishaji filamu ya columbia pictures ya kimarekani ipo rasmi mtandaoni baada ya vuta nikuvute.

ikumbukwe kwamba filamu hii imeachiwa huru ionwe na kadamnasi baada ya kuungwa mkono au kupewa baraka zote na Barak Obama rais wa US.

maudhui ya filamu hii ambayo bila chenga yalilenga kumdharirisha kiongozi wa north korea Kim Jong Un na watu wa north korea kwa ujumla naweza kusema kwamba ni mwendelezo wa siasa chafu za Washington kwa wale wanaonekana kuwa maadui zake walioshindikana

ukiacha tu udharirishaji wa kuingozi mkuu huyo wa north korea pia filamu hii naiona ni mwendelezo wa kusambaza tabia chafu na za kishenzi za ushoga kwa kua filamu hii ina maudhui mengi ya kishoga (kiliberal) wote tunajua US ni mshirika namba moja wa tabia hizi za kishetani

kauli ya rais Obama wakati akibariki filamu hii itolewe alisema kuwa kuzuia filamu hii ni sawa na kukandamiza uhuru wa kujielezea watu (freedom of speech and expression)

ndugu wana JF hivi kwann US dont do what they preach?
miezi kadhaa iliyopita Obama alikuwa mhanga wa maneno makali kutoka kwa kijana mmoja kwenye mtandao wa twitter
kijana huyo alitafutwa hadi akapatikana lord knows walichomfanya

sasa leo matusi ya wazi wazi kwa kiuongozi wa north korea anayaita uhuru wa kujieleza
kweli akutukanaye hakuchagulii tusi

kwnye filamu hii tumeona jinsi shirika la kijasusi la US CIA linavopanga njama za mauaji kwa viongozi mbali mballi duniani then kuleta machafuko nchini mwao kwa kisingizio cha mapinduzi eti wanafungua macho raia waamke kutoka tawala za kibeberu

pilipili iliyo shambani inawawashia nini?

najua humu kuna watu wataniambia nmepanic , nmeover react nme exxagerate kwakua its just a movie

think about it huu ni ochokozi na fyokofyoko kwa north korea ili apanic and afanye kitu cha kijinga ili US apate nafasi ya kuwadhoofisha

tutegemee filamu nyingi kama hizi sijui nani atafata maybe Vladmir Putin who knows!

merry x-mass
 
Wajinga hao....wameipa publicity hiyo filamu na kusababisha watu wengi ambao hata wasingehangaika kuingalie waingalie ! Hata mimi nitaitafuta niingalie kitu ambacho nadhani nisingekifanya kama wasingeonyesha upuuzi wao !

Ni kama ile movie iliomsema mtume mohamad vibaya, reaction kubwa kutoka kwa waislam ndio ilifanya watu (including me) waitafute na kuiangalia

Mbona Yesu wali act movie yake tena akiwa na mke na familia kitu ambacho sio kweli kwa mujibu wa imani ya kikristo na wakristo waliignore tu na ikaishia hewani !?

maudhui ya filamu ndio tatizo

unaweza usinielewe kama filamu yenyewe hujaiona

American tunawajua hajawahi na hawatawahi igiza filamu yenye maudhui ya kumdhalilisha kiuongozi wao
 
Mimi nashusha mzigo kwa torrent hapa ili niweze kuitazama

theinterview torrent.jpg

Torrent download links: KICKASS TORRENTS
 
Iko megashare u can stream
 
Attachments

  • 1419532470814.jpg
    1419532470814.jpg
    73.2 KB · Views: 362
sioni ajabu hapo maana hawa marekani picha zao ni kudhalilisha waarabu na warusi ila atakayefumwa nayo korea idd amin cha mtoto dogo atamtafuna mbichi
 
Mleta mada mimi nna mawazo tofauti...... kuna movies nyingi sana zinazo onyesha raisi wa marekani anauwawa na kupigana mbaya.... sijaona the interview lakini ni ngumu sana kuzuia suala hili kama north Korea wanavo taka fanya especially kwa sababu hii imefanyika USA. ... Marekani kuandaa cartoon za kuncheka au kumhusu raisi ni kitu cha kawaida.... if possible nao north waandae same kumuua raisi wa marekani waone kama kutakuwa na zuio. ... North udictator wao ndo unaleta shida na kwa kukasirika na kureact kama walivo fanya kunawapa actors wengine, next time sio marekani bali South Korea, Sweden, South africa hataTanzania kucheza picha zinazo fanana na hizo maana kufanya hivo ki katoon katoon sio kuvunja sheria za kimataifa. ...

Sawa kabisa nakubaliana nawewe
 
ushoga gaukuletwa na wamerekani
sodoma na gomora haikuwepo US

ushogo upo toka enzi, US ni wawazi kusema ukweli juu ya maswala ya kishoga, SISI NI WASIRI KUSEMA JUU YA USHOGA ila mwisho wa siku ufiche au uweke wazi kuingiliwa ni kuingiliwa tu na ni tabia binafsi si ya nchi....mfano hapa ARUSHA tunaamini kila mwarabu analiwa

oh kumbe mawazo na fikra zinatofautiana sometimes mm nlikua naamini warabu ndo wanawala wa ARUSHA
 
Wameleta skendo ya hiyo filamu ili kupotezea ile kashfa ya CIA ya kutesa watu
 
Kama maudhui ya filamu ni ovu sitafanya juhudi zozote kuiangalia
 
Production Companies

Columbia Pictures
LStar Capital (in association with)
Point Grey Pictures

Distributors

Columbia Pictures (2014) (USA) (theatrical)
Big Picture 2 Films (2014) (Portugal) (theatrical)
Columbia Pictures (2015) (Germany) (theatrical)
Secret Cinema (2014) (UK) (theatrical)
Sony Pictures Releasing Canada (2014) (Canada) (theatrical)
Sony Pictures Releasing (2014) (Australia) (theatrical)
Sony Pictures Releasing (2014) (Italy) (theatrical) (through Warner Bros. Entertainment Italia S.p.A.)
Sony Pictures Releasing (2014) (Netherlands) (theatrical) (through Universal Pictures International)
Sony Pictures Releasing (2014) (USA) (theatrical)
United International Pictures (UIP) (2014) (Argentina) (theatrical)
Universal Pictures International (UPI) (2014) (Netherlands) (theatrical) (through)
Warner Bros. Entertainment (2014) (Italy) (theatrical) (through)
Sony Pictures Home Entertainment (2015) (Japan) (DVD)

Special Effects

Mammal Studios (visual effects)
Prime Focus World
Prime Focus World (visual effects)
Shade VFX
Sony Pictures Imageworks (SPI)
Spin VFX (visual effects)

Other Companies

Canada Film Capital (tax incentive consulting services)
Chapman/Leonard Studio Equipment (camera dollies) (uncredited)
Coulson Aircrane (aircraft)
Laundry Design (animated logo design)
Laundry Design (main & end titles)
Madison Gate Records (soundtrack)

Mkuu Columbia Pictures ni kampuni iliyo chini ya Sony
 
Acheni kubishana wote hamjui.
Columbia Pictures Industries, Inc. (CPII) is an American film production and distribution studio of the Columbia TriStar Motion Picture Group, a division of Sony Pictures Entertainment
Columbia pictures Industries ni kampuni tanzu ya Sony Pictures Entertainment. Ni kama Radio One na ITV kwa IPP media.

Columbia ndio wasambazaji
Quote By andybird314 View Post
Tutaiangalia
Afu mtoa mada ile movie ni ya Sony na sio Columbia pictures
 
1. Huyo dicteta wa North Korea ndio alikuwa mjinga baada ya kupata hint kuhusiana na hiyo filamu akaanza kupiga mkwara kampuni iliyo nchi nyingine na hapo ndipo Obama alipoingilia......Asingefanya hivyo hiyo movie ingeonyeshwa na wala usingesikia chochote kutoka kwa Obama. Baada ya wananchi wake kutishiwa na watu wa nchi nyingine kwa kitu ambacho hakivunji sheria za nchi wala za kimataifa ulitaka Obama akae kimya ?

2.Hapo nilipoweka red naomba link ya hiyo habari kama kweli kuna kitu kama hicho kilitokea !. Ninafuatilia sana habari za Marekani na kwa kweli nitashangaa sana kitu kama hicho kikubwa kilinipitia pembeni....

3. Wamerekani wametengeneza movies nyingi tu zinazomuhusu marais wao.....Katika movies nyingine Rais wao amekuwa akidhalilishwa na hata kupigwa !. Ni madicteta tu ndio wanajiona kama wao ni miungu na hivyo wasiguswe !.

Mfano movie gani??
 
acha kujifanya clueless
majuzi tu serikali ya Washington ilikuwa inashinikiza serikali ya Uganda ifute muswada wa sheria kuzuia ushoga

why???

kma ni tabia yao ya kua wakweli kwenye sexuality yao kwann walazimishe wengine?

homosexuality tangu enzi izo ilikuwepo nakubali
ila has been a taboo ever since

kupitia filamu na miziki wao subconsciously utaanza kuona ushoga ni jambo la kawaida
hujaona picha kibao zilizotengenezwa marekani rais wa amerika akidhalilishwa???
kwa wamarekani hiyo picha haina ubaya kama wanaigiza picha za kumdhalilisha rais wa marekani sembuse huyo fat boy wa korea???

korea inaipiga mikwara kampuni ya kimarekani iliyo ndani ya marekani , amboyo haijavunja sheria za marekani ulitaka OBAMA akae kimya?????KOSA LA SONY KWA WAMAREKANI NI LIPI KUHUSIANA NA HII PICHA YA fat boy wa KOREA???

Rais wa nchi lazma atete makampuni ya nchi yake yafanyayo kazi halali bila kuvunja sheria za nchi zake.
 
Wana JF,
Ile filamu ya the interview iliyo zua kasheshe takribani wiki hii yote kati ya serikali ya jamhuri ya watu wa north korea na kampuni ya utayarishaji filamu ya columbia pictures ya kimarekani ipo rasmi mtandaoni baada ya vuta nikuvute.

ikumbukwe kwamba filamu hii imeachiwa huru ionwe na kadamnasi baada ya kuungwa mkono au kupewa baraka zote na Barak Obama rais wa US.

maudhui ya filamu hii ambayo bila chenga yalilenga kumdharirisha kiongozi wa north korea Kim Jong Un na watu wa north korea kwa ujumla naweza kusema kwamba ni mwendelezo wa siasa chafu za Washington kwa wale wanaonekana kuwa maadui zake walioshindikana

ukiacha tu udharirishaji wa kuingozi mkuu huyo wa north korea pia filamu hii naiona ni mwendelezo wa kusambaza tabia chafu na za kishenzi za ushoga kwa kua filamu hii ina maudhui mengi ya kishoga (kiliberal) wote tunajua US ni mshirika namba moja wa tabia hizi za kishetani

kauli ya rais Obama wakati akibariki filamu hii itolewe alisema kuwa kuzuia filamu hii ni sawa na kukandamiza uhuru wa kujielezea watu (freedom of speech and expression)

ndugu wana JF hivi kwann US dont do what they preach?
miezi kadhaa iliyopita Obama alikuwa mhanga wa maneno makali kutoka kwa kijana mmoja kwenye mtandao wa twitter
kijana huyo alitafutwa hadi akapatikana lord knows walichomfanya

sasa leo matusi ya wazi wazi kwa kiuongozi wa north korea anayaita uhuru wa kujieleza
kweli akutukanaye hakuchagulii tusi

kwnye filamu hii tumeona jinsi shirika la kijasusi la US CIA linavopanga njama za mauaji kwa viongozi mbali mballi duniani then kuleta machafuko nchini mwao kwa kisingizio cha mapinduzi eti wanafungua macho raia waamke kutoka tawala za kibeberu

pilipili iliyo shambani inawawashia nini?

najua humu kuna watu wataniambia nmepanic , nmeover react nme exxagerate kwakua its just a movie

think about it huu ni ochokozi na fyokofyoko kwa north korea ili apanic and afanye kitu cha kijinga ili US apate nafasi ya kuwadhoofisha

tutegemee filamu nyingi kama hizi sijui nani atafata maybe Vladmir Putin who knows!

merry x-mass

Marekani Obama huwa anakatishwa hotuba na wananchi na kuzodolewa, anachofanya ni kjsema waaachieni waseme kwani wana uhuru wa kikatiba, watu wanaachiwa kusema na rais anaendelea na hotuba.

Huyo aliyefuatiliwa kwa habari za twitter tupe ddtails tuchunguze.

Mnyamwezi huwezi kusema hana utamaduni wa Freedom of expression, labda kama mvivu wa kufanya research.
 
Movi nzuri, nasubiria kitu ESCROW kutoka "Bolywood" aka bongo movie!
 
Unabishana tu ili uonekane umebisha

Filamu nmeiona kupitia mega share na Mimi Niko Tanzania

Unaleta porojo za IP address

Na kuhusu Columbia kwenye filamu kokote sijaona neno Sony nilichoona Mimi ni Columbia pictures presents
ni kama sony wanamiliki columbia pictures.
 
Back
Top Bottom