Filamu ya 'The Interview' imenipa sura mpya kwa US

kidole007

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
3,094
Reaction score
1,878
Wana JF,
Ile filamu ya the interview iliyo zua kasheshe takribani wiki hii yote kati ya serikali ya jamhuri ya watu wa north korea na kampuni ya utayarishaji filamu ya columbia pictures ya kimarekani ipo rasmi mtandaoni baada ya vuta nikuvute.

ikumbukwe kwamba filamu hii imeachiwa huru ionwe na kadamnasi baada ya kuungwa mkono au kupewa baraka zote na Barak Obama rais wa US.

maudhui ya filamu hii ambayo bila chenga yalilenga kumdharirisha kiongozi wa north korea Kim Jong Un na watu wa north korea kwa ujumla naweza kusema kwamba ni mwendelezo wa siasa chafu za Washington kwa wale wanaonekana kuwa maadui zake walioshindikana

ukiacha tu udharirishaji wa kuingozi mkuu huyo wa north korea pia filamu hii naiona ni mwendelezo wa kusambaza tabia chafu na za kishenzi za ushoga kwa kua filamu hii ina maudhui mengi ya kishoga (kiliberal) wote tunajua US ni mshirika namba moja wa tabia hizi za kishetani

kauli ya rais Obama wakati akibariki filamu hii itolewe alisema kuwa kuzuia filamu hii ni sawa na kukandamiza uhuru wa kujielezea watu (freedom of speech and expression)

ndugu wana JF hivi kwann US dont do what they preach?
miezi kadhaa iliyopita Obama alikuwa mhanga wa maneno makali kutoka kwa kijana mmoja kwenye mtandao wa twitter
kijana huyo alitafutwa hadi akapatikana lord knows walichomfanya

sasa leo matusi ya wazi wazi kwa kiuongozi wa north korea anayaita uhuru wa kujieleza
kweli akutukanaye hakuchagulii tusi

kwnye filamu hii tumeona jinsi shirika la kijasusi la US CIA linavopanga njama za mauaji kwa viongozi mbali mballi duniani then kuleta machafuko nchini mwao kwa kisingizio cha mapinduzi eti wanafungua macho raia waamke kutoka tawala za kibeberu

pilipili iliyo shambani inawawashia nini?

najua humu kuna watu wataniambia nmepanic , nmeover react nme exxagerate kwakua its just a movie

think about it huu ni ochokozi na fyokofyoko kwa north korea ili apanic and afanye kitu cha kijinga ili US apate nafasi ya kuwadhoofisha

tutegemee filamu nyingi kama hizi sijui nani atafata maybe Vladmir Putin who knows!

merry x-mass
 
Natamani niione hii movie sana...
 
Hii ni picha ya riwaya na wala si documentary.
 
ushoga gaukuletwa na wamerekani
sodoma na gomora haikuwepo US

ushogo upo toka enzi, US ni wawazi kusema ukweli juu ya maswala ya kishoga, SISI NI WASIRI KUSEMA JUU YA USHOGA ila mwisho wa siku ufiche au uweke wazi kuingiliwa ni kuingiliwa tu na ni tabia binafsi si ya nchi....mfano hapa ARUSHA tunaamini kila mwarabu analiwa
 
Mleta mada mimi nna mawazo tofauti...... kuna movies nyingi sana zinazo onyesha raisi wa marekani anauwawa na kupigana mbaya.... sijaona the interview lakini ni ngumu sana kuzuia suala hili kama north Korea wanavo taka fanya especially kwa sababu hii imefanyika USA. ... Marekani kuandaa cartoon za kuncheka au kumhusu raisi ni kitu cha kawaida.... if possible nao north waandae same kumuua raisi wa marekani waone kama kutakuwa na zuio. ... North udictator wao ndo unaleta shida na kwa kukasirika na kureact kama walivo fanya kunawapa actors wengine, next time sio marekani bali South Korea, Sweden, South africa hataTanzania kucheza picha zinazo fanana na hizo maana kufanya hivo ki katoon katoon sio kuvunja sheria za kimataifa. ...
 
duuuh aiseeeeee noma sana..
 
maudhui ya filamu ndio tatizo

unaweza usinielewe kama filamu yenyewe hujaiona

American tunawajua hajawahi na hawatawahi igiza filamu yenye maudhui ya kumdhalilisha kiuongozi wao
 
Hollywood ilishafunga ndoa siku nyingi sana na Pentagon. Soma Operation Pentagon a book by former movie director.
 
ushoga gaukuletwa na wamerekani
sodoma na gomora haikuwepo US

ushogo upo toka enzi, US ni wawazi kusema ukweli juu ya maswala ya kishoga, SISI NI WASIRI KUSEMA JUU YA USHOGA ila mwisho wa siku ufiche au uweke wazi kuingiliwa ni kuingiliwa tu na ni tabia binafsi si ya nchi....mfano hapa ARUSHA tunaamini kila mwarabu analiwa

acha kujifanya clueless
majuzi tu serikali ya Washington ilikuwa inashinikiza serikali ya Uganda ifute muswada wa sheria kuzuia ushoga

why???

kma ni tabia yao ya kua wakweli kwenye sexuality yao kwann walazimishe wengine?

homosexuality tangu enzi izo ilikuwepo nakubali
ila has been a taboo ever since

kupitia filamu na miziki wao subconsciously utaanza kuona ushoga ni jambo la kawaida
 
Tutaiangalia
Afu mtoa mada ile movie ni ya Sony na sio Columbia pictures
 
Ni vizuri hatimaye umelijua hili. Lakini lipo kwa siku nyingi. Hollywood imekuwa ikitumika kwa muda mrefu kama an extention of the American foreign policy. Kuna filamu dhidi ya Iran, Cuba nk nchi zilizoamua kufuata siasa nje ya falaki ya Marekani.
Ili mradi Marekani, kama bwana wake Israel, hawajali kabisa international laws. They really don't give a damn. Hivi karibuni kuna suala la torture na watu walioagiza hivyo wajulikana, kama Dick 'the devil' Cheney. Lakini kweli watahukumiwa?
 
By the way USA ushoga kwao ni kama ibada katika karne hii,tunaweza tukaitetea USA sana ila kwa hili binafsi natamani Muumba aishushie nchi hiyo ghadhab u ya kutosha
 
Wana JF,
............. kampuni ya utayarishaji filamu ya columbia pictures ya kimarekani ipo rasmi mtandaoni baada ya vuta nikuvute. ikumbukwe kwamba filamu hii imeachiwa huru ionwe na kadamnasi baada ya kuungwa mkono au kupewa baraka zote na Barak Obama rais wa US.

Napata shaka ya uchambuzi wako, kwanza kabisa tuweke record sawa, ni kampuni ya SONY pictures, na pia haijaachwa huru, inaonekana marekani tu tena kwa kulipia. Unahitaji kuwa na IP address ya marekani na credit card ya kimarekani ili uweze kulipia kuona hiyo movie.

Sasa ikiwa hujui jinsi ya kupata na pia mtayarishaji, unawezaje kuwa umeona hiyo movie?
 
Unabishana tu ili uonekane umebisha

Filamu nmeiona kupitia mega share na Mimi Niko Tanzania

Unaleta porojo za IP address

Na kuhusu Columbia kwenye filamu kokote sijaona neno Sony nilichoona Mimi ni Columbia pictures presents
 
Back
Top Bottom