Fikra za Magufuli kwenye TTCL hazina tija

Nimesikitika sana leo kumuona Raisi Magufuli akiongelea TTCL kijamaa. Mawazo yake ambayo anafikiri ni mazuri kwa nchi si mazuri na ni mabaya sana kwa uchumi wa mtaji. Simshangai maana watu wengi sana Tanzania bado wanajua uchumi kwa kujifurahisha na kushabiki lakini uchumi wa mtaji una utaalamu wake ambao usikoufuta utapata shida kama nchi.

1. Ni kujua kwanini TTCL iko nyuma mpaka leo pamoja na kuwa na yote. Ni kwasababu simu ni technology na huwezi kubaki tu Tanzania ukafikiri utafaniliwa hivyo hata tutoe pesa hatuwezi kutoa pesa kwa TTCL kiweza kushindana na Voda phone kwenye technology.

2. Kampuni ambayo inahitaji mgao haitakiwi kutoa dividends kama TTCL kwa serikali. Kampuni ambayo inakuwa inabakiza mtaji kukuza kampuni au kitaalaumu wanaita retained earnings. Yaani kampuni ikishapata net profit inaamua igawe au ibakie na faida ili iwekeze kwenye kampuni. Cha kushangaza wakati huohuo TTCL inaomba mtaji😂 yaani ni kichekesho.

3. Ukichukulia kodi za wote waajiriwa, kodi za kampuni na maendeleo kampuni za simu zina faida kubwa sana nchini lakini cha ajabu serikali imeanza kuwapa shida wakurugenzi na kesi za bandia ili tu kusaidia TTCL. Serikali mjue hakuna kampuni itafanikiwa Tanzania kijamaa na ni vizuri mruhusu ushindani zaidi badala ya kukumbatia kampuni ambayo itakuwa hasara kwa taifa. Yaani tupewa ths billion 2 halafu wanaomba billioni 60 kama mtaji.

Wasiwasi wangu mkubwa ni fikra ambazo si za kweli na hazijawahi kufanikiwa kwamba kampuni za serikali ni nzuri kwa jamii hasa kwa nchi ambayo hatuna uwekezaji wa kutosha. Haya ndiyo yaleyale ya korosho.

Wala hujui unapotosha tu. Kampuni inayohitaji mtaji kutoka kwa wenye kampuni haizui kutoa gawio kwa mwenye au wenye kampuni. Ni uamuzi wa wakurugenzi na inategemea mtaji unaohitajika ni kiasi gani na lengo lake ni kufanya nini.
Halafu hujui ujamaa ila umedhurika na propaganda tu. Kampuni za umma kwa ajili ya kutekeleza majukumu maalum hata katika nchi za kibepari zipo. Tatizo hapa kampuni shindani binafsi zinaweza kuhujumu kirahisi kampuni za serikal ili ziweze kuhodhi soko kutokana na ufisadi miongoni mwa watumishi wa umma. Awamu hii imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupambana na ufisadi.
 
unayosema sio kwa mfumo huu wa mtaji ndugu yangu. Haya ni mawazo ya wanasayansi lakini sio kweli. Hamna logic ya kutoa gaio wakati huo huo unaomba pesa! ina make sense kwenu tu
 
Na ndiyo maana nilisema tuko kwenye danger maana wanaotoa maamuzi kwenye nchi hii sehemu nyingine hawajui wanachofanya ingawa wanajifanya wanajua. Haya maamuzi yangefanywa na watu wenye ujuzi wa uchumi na Finance na sio Magu kufanya maamuzi ya biashara bila tija. Magu hajawahi kuwa mkurugenzi wa kampuni yeyote, wakurugenzi wa hizi kampuni nao hawana uzoefu wa kuendesha kampuni yeyoye !
 
Baada ya hapo usishangae TRA na TBS kutoa magawio. Ni kawaida sana kwa huu utawala usio na formula.
 
Wala hujui unapotosha tu. Kampuni inayohitaji mtaji kutoka kwa wenye kampuni haizui kutoa gawio kwa mwenye au wenye kampuni. Ni uamuzi wa wakurugenzi na inategemea mtaji unaohitajika ni kiasi gani na lengo lake ni kufanya nini.
Halafu hujui ujamaa ila umedhurika na propaganda tu. Kampuni za umma kwa ajili ya kutekeleza majukumu maalum hata katika nchi za kibepari zipo. Tatizo hapa kampuni shindani binafsi zinaweza kuhujumu kirahisi kampuni za serikal ili ziweze kuhodhi soko kutokana na ufisadi miongoni mwa watumishi wa umma. Awamu hii imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupambana na ufisadi.

Mantiki ya walichokifanya TTCL ni ipi hasa?
 
pombe anaamini mashirika yote na taasisi zote binafsi na kibiashara zikifa ni faida kwa taasisi za serikali maana zitakosa mpinzani..
kkkk
bado serikali inahitaji wawekezaji na kodi !
TANESCO lini kutoa dividend ?

Precisely. Nasubiri dividend toka ATCL ili wadanganye kuwa kampuni yenye mtaji hasi inatengeneza faida.
 
Utakuwa ni mzee lazima. Ni nadra kumkuta mtu aliye below 40 anatumia Line ya TTCL. Voucher zenyewe zinapatikana sehemu chache kama dawa za kulevya.
wewe ndo mzee kiasi kwamba hujui kwamba unaweza nunua vocha kupitia sim banking au hata tigo pesa na mpesa
 
Mkuu Kamundu, I'd like to differ, rais Magufuli hajazungumzia ujamaa, amezungumzia uzalendo. Hii inaitwa affirmative action, hiki ndicho nchi zote zinazotaka maendeleo ya kweli zilianza, unajenga chako, unapenda chako, unatumia chako. Huo ndio uzalendo wa kweli wa nchi yako.

Kwa hili hongera sana Rais Magufuli.
P
Pascali "I'd like to differ" hata hizo Kampuni zingine ni za kwetu pia na zimeajiri maelefu ya watanzania na kutoa hajira zisizo za moja kwa moja kwa mamilioni ya watanzania.

Uzowefu unaonesha kwamba Kampuni ama mashirika mengi yanayoendeshwa na serikali huwa si mali ya watanzania wote bali za wakubwa walioko serikalini!!
 
wewe ndo mzee kiasi kwamba hujui kwamba unaweza nunua vocha kupitia sim banking au hata tigo pesa na mpesa

Peleka ujinga mbali, ununue voucher ya TTCL kwa kupitia tigo pesa au mpesa halafu ukutane na makato. Kwanini upate huo usumbufu badala ya kubaki huko huko voda na tigo? Ukitaka kujua hiyo TTCL haina lolote, hata wale wanasiasa wapigania tumbo waliojifanya wanaenda kumuunga mkono Magufuli hawataki hiyo line ya TTCL.
 
hakuna makato mkuu...inaonekana upo kijijini sogea mjini kidogo, hapo chini ni tigo pesa..
IMG_20190522_200959.JPG
 
Mkuu Kamundu, I'd like to differ, rais Magufuli hajazungumzia ujamaa, amezungumzia uzalendo. Hii inaitwa affirmative action, hiki ndicho nchi zote zinazotaka maendeleo ya kweli zilianza, unajenga chako, unapenda chako, unatumia chako. Huo ndio uzalendo wa kweli wa nchi yako.

Kwa hili hongera sana Rais Magufuli.
P
Paschal, mnaendelea kutulisha matango pori uzalendo bila adequate au utegemezi wa technologia ya kisasa ni uongo, uongo ukiniambia uzalendo bila mtu wa serikali kuchukua rushwz nakubali, lakini hii ya huku unataka na huku unataka , utakosa vyote, watu wote waliofuatia theme ya uzalendo walikataa hiyo technologia na kuunda ya kwao, acha uwongo
 
Kama lengo si faida mbona hatuoni hiyo plan ya kusaidia nchi. Mfano tungeona plan ya kuweka mitandao mashuleni tungesema wanafanya kitu kwa faida ya nchi. Tungeona wanaenda vijijini tungeaema wanafanya vitu kwa uma lakini tunachoona ni kuomba pesa tu kwa mgongo wa walipa kodi bila kufanya lolote. Na ndiyo maana nilisema wangefanya vitu vingine kama kukuza mitandao vijijini. Mashuleni, kuweka minara ya kukodisha yaani wange miliki infrastructure na sio kushindana. Mashindano ya simu hayana tija kwa nchi. Tatizo kuna Watanzania wanataka tuwe na vitu ambavyo vinaitwa vya serikali ili tu tujisikie tuna kampuni hata kama hakuna faida. Haya ni mawazo ya kimasikini na hayaendani na mfumo wa mtaji. US ni nchi tajiri dunia nzima lakini serikali haina kampuni ya ndege, wala simu kampuni ni binafsi na serikali haina share wala nini. Kinachouma zaidi ni fikra maana maana kama ndiyo jinsi viongozi wetu wanafikiria hatutapiga hatua badala yake tutafukuza wawekezaji. Yaank Magufuli angetakiwa kutembelea hizi kampuni binafsi ambazo zimeleta kazi, technologia na mapato. Angalieni Mpesa imeletwa na nani? TTCL imeleta nini ? Angalia impact ya Mpesa kwenye maisha yetu hii yote ni free market. Angalia uber inaleta kazi kwa vijana hii yote ni private lakink serikali inaona wote kama vile ni washindani badala ya washiriki wa Angalieni tulisema kwenye korosho sasa imekuwaje? Inabidi kama jamii tuwe na mawazo mapana badala ya ushabiki maana hii nchi wanaoumia ni wengi sana kwa maamuzi mabaya. Korosho lilikuwa zao kuu mwaka mmoja tu tusipoangalia litakuwa historia kama kahawa. Serikali iachs biashara na iwekeze kwenye sera za kodi, uwekezaji. Land, banking na elimu kwa vijana pamoja na ujenzi. Serikali ifanye vitu ambavyo watu hawaweI kufanya wenyewe na sio biashara ambazo hazina tija
Well, well put
 
wasitoe gawio kabisa kwa maana hata mtaji hawana wanaomba!! kuna maana gani ya kutoa gawio ikiwa ukishalitoa unarudi kua omba omba, ni sawa na kupangisha nyumba yako yote afu huna pa kuweka hata ubavu.
Kinachonisikitisha mimi ni wanataka pesa, ili waduplicate kitu ambacho already ni efficient na kinafikia market saturation leo hayo makampuni kama vodacom au tigo, wameuza minara kwa helios , ili waconcentrate kwenye core business, hii level waliyofikia , inahitaji utaalamu wa hali ya juu, na ninavyojua ili ku compete, serikali itaanza kuintervene kwenye market forces, kama kwa fastjet, na kuiacha ATC, which in principle iko expensive na only adavantage wanayo ni kuwa wana ndege mpya, kwa mteja he is losing
 
Hizo fikra haziwezi kufanya kazi. Huko Rufiji na Mafia hata vodashop au tigoshop hakuna. Mitandao inayoshika ndio hio.
Ni kuwasumbua tu viongozi wa huko kuwa na line za ttcl.

Na hizo pesa wanazoomba TTCL utakuta 70% ni gharama za upembuzi yakinifu.

Amekataza watu kwenda nje, wameona fursa kutengeneza matukio kama hilo la gawio ili waandike dodoso la posho.

Mfumo wa utendaji wa mashirika haya hauna tija kwa taifa.
Kumbukeni kuwa ukiwapa mtaji TTCL ni opportunity cost unajinyima kwenye mashuleni au hospitali, wakati mtaji wa vodacom ni FDI na nchi inafaidika kwa pesa mpya, huhitaji shule kubwa sana
 
Na unau
Wala hujui unapotosha tu. Kampuni inayohitaji mtaji kutoka kwa wenye kampuni haizui kutoa gawio kwa mwenye au wenye kampuni. Ni uamuzi wa wakurugenzi na inategemea mtaji unaohitajika ni kiasi gani na lengo lake ni kufanya nini.
Halafu hujui ujamaa ila umedhurika na propaganda tu. Kampuni za umma kwa ajili ya kutekeleza majukumu maalum hata katika nchi za kibepari zipo. Tatizo hapa kampuni shindani binafsi zinaweza kuhujumu kirahisi kampuni za serikal ili ziweze kuhodhi soko kutokana na ufisadi miongoni mwa watumishi wa umma. Awamu hii imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupambana na ufisadi.
unauHakika TTCL inaweza kuaatttract technologia faster na efficient than Vodacom, you must be joking
 
pombe anaamini mashirika yote na taasisi zote binafsi na kibiashara zikifa ni faida kwa taasisi za serikali maana zitakosa mpinzani..
kkkk
bado serikali inahitaji wawekezaji na kodi !
TANESCO lini kutoa dividend ?
Tanesco inatakiwa itoe Huduma ikisaidiwa na ruzuku toka serikalini.Tanesco Wakiuza umeme kibiashara atakayeumia ni mwananchi. Nchi nyingi hutoa ruzuku kwenye makampuni ya nishati na maji ya kutumia. Actually km kuna uwezekano, umeme na maji vilitakiwa vigawanywe bure kabisa!
 
uchumi at its best confrats mkuu
voda wanafanya specialization kwa namna nyingine
Kinachonisikitisha mimi ni wanataka pesa, ili waduplicate kitu ambacho already ni efficient na kinafikia market saturation leo hayo makampuni kama vodacom au tigo, wameuza minara kwa helios , ili waconcentrate kwenye core business, hii level waliyofikia , inahitaji utaalamu wa hali ya juu, na ninavyojua ili ku compete, serikali itaanza kuintervene kwenye market forces, kama kwa fastjet, na kuiacha ATC, which in principle iko expensive na only adavantage wanayo ni kuwa wana ndege mpya, kwa mteja he is losing
 
Nimesikitika sana leo kumuona Raisi Magufuli akiongelea TTCL kijamaa. Mawazo yake ambayo anafikiri ni mazuri kwa nchi si mazuri na ni mabaya sana kwa uchumi wa mtaji. Simshangai maana watu wengi sana Tanzania bado wanajua uchumi kwa kujifurahisha na kushabiki lakini uchumi wa mtaji una utaalamu wake ambao usikoufuta utapata shida kama nchi.

1. Ni kujua kwanini TTCL iko nyuma mpaka leo pamoja na kuwa na yote. Ni kwasababu simu ni technology na huwezi kubaki tu Tanzania ukafikiri utafaniliwa hivyo hata tutoe pesa hatuwezi kutoa pesa kwa TTCL kiweza kushindana na Voda phone kwenye technology.

2. Kampuni ambayo inahitaji mgao haitakiwi kutoa dividends kama TTCL kwa serikali. Kampuni ambayo inakuwa inabakiza mtaji kukuza kampuni au kitaalaumu wanaita retained earnings. Yaani kampuni ikishapata net profit inaamua igawe au ibakie na faida ili iwekeze kwenye kampuni. Cha kushangaza wakati huohuo TTCL inaomba mtaji yaani ni kichekesho.

3. Ukichukulia kodi za wote waajiriwa, kodi za kampuni na maendeleo kampuni za simu zina faida kubwa sana nchini lakini cha ajabu serikali imeanza kuwapa shida wakurugenzi na kesi za bandia ili tu kusaidia TTCL. Serikali mjue hakuna kampuni itafanikiwa Tanzania kijamaa na ni vizuri mruhusu ushindani zaidi badala ya kukumbatia kampuni ambayo itakuwa hasara kwa taifa. Yaani tupewa ths billion 2 halafu wanaomba billioni 60 kama mtaji.

Wasiwasi wangu mkubwa ni fikra ambazo si za kweli na hazijawahi kufanikiwa kwamba kampuni za serikali ni nzuri kwa jamii hasa kwa nchi ambayo hatuna uwekezaji wa kutosha. Haya ndiyo yaleyale ya korosho.
Noma sana !

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom