Fikra za January Makamba Kuhusu katiba Mpya

Dear Msenshe naomba kasome vizuri kuhusu the UK constitution please! Umesema: "UK wanayo katiba ila tu haijaandikwa (unwritten constitution)esema: "
This is not true at all. UK has written Constitution, but it does not appear in a single document. It is contained in various documents like Petition of Rights, Bill of rights, Magna Charta, Act of settlement, Articles of union .
 
Je katiba mpya ndo itakuwa mwarobaini wa matatizo yetu ya kimaendeleo?
Ndio
SABABU
1. Upatikanaji wa viongozi halali kutoka kwa wananchi ambao watakuwa wanatambua mahitaji ya nchi na wananchi.
2. Kutazama upya muundo wa ngazi za utawala nchini na kuondoa ngazi ambazo zinafuja rasilimali pasipo tija kama vile Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na Afisa Tarafa.
3. Kuweka taratibu za kuwa na vyombo huru visivyokandamizwa na chama tawala kama vile Tume ya Uchaguzi, Taasisi ya kupambana na rushwa n.k
4. Kuondoa ulimbikizwaji wa madaraka kwa mtu mmoja kama vile Mbunge kuwa waziri, Mbunge kuwa Mkuu wa Mkoa n.k

Haya yote na mengine yana nafasi kubwa katika kuchochea maendeleo ya taifa na wanataifa
 
Good try! Time will reveal.
 
Nitakuja kesho kuja kuanza kutoa maoni yangu mh January.
Lakini initial post iko FB ambako mleta hoja kai copy sasa haya ya huku JF yatakufikia kweli pia?
Ningependa wandugu hapa tujibu hoja tujaribu sana kujiepusha na personal attack dhidi yake.
 
Alichofanya January ni kuchokoza mjadala. Sasa badala ya wadau kubaki ndani ya mstari na kujadili maswali ya January wameanza mashambulizi binafsi...maya yeye ni layman kwenye sheria mara mtoto wa fisadi...things not pertinent to the argument.
 
Ndio sababu nimeshauri busara itumike na badala ya kumjadili yeye ijadiliwe mada maana ndicho cha maana. Ni issue hot na watawala wanafahamu ni hot issue. Pinda amekiri wazi.
 
Ndio
SABABU
1. Upatikanaji wa viongozi halali kutoka kwa wananchi ambao watakuwa wanatambua mahitaji ya nchi na wananchi.
2. Kutazama upya muundo wa ngazi za utawala nchini na kuondoa ngazi ambazo zinafuja rasilimali pasipo tija kama vile Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na Afisa Tarafa.
3. Kuweka taratibu za kuwa na vyombo huru visivyokandamizwa na chama tawala kama vile Tume ya Uchaguzi, Taasisi ya kupambana na rushwa n.k
4. Kuondoa ulimbikizwaji wa madaraka kwa mtu mmoja kama vile Mbunge kuwa waziri, Mbunge kuwa Mkuu wa Mkoa n.k

Haya yote na mengine yana nafasi kubwa katika kuchochea maendeleo ya taifa na wanataifa

Kutupa muundo wa serikali unaoeleweka na ulioridhiwa na wananchi wote, sio huu wa sasa ambao unaubeba kama si kupendelea kwa waziwazi upande mmoja wa muungano
 
Why is the current one inadequate? Why do we need an entirely new one instead of amending problematic provisions? [/COLOR]

Personally, the above phrase read as " amending problematic provisions" is very contradicting and unable to elaborate the true doctrine.... JM must have something he needs to address but he is missing authentic and professional expression on his view to oppose the motion for a need to have a new draft constitutional

i would rather give a hint to JM that the current constitution is Obsolete.... have too much amendments and revisions... so the constitution is not washable and the new changes needs absolutely a clean background
 
If English language is obstacle to you, then use whatever language is understood by majority of your readers. I detest people who use language that they are not comfortable with and as a result they do not convey the right message to their target reader
'If two people are thinking alike then one of them is not thinking at all'
January does not know what he is speaking about but he speaks to please a certain portifolio. Such philosophy is never permanent.:angry:
 
Kwani ni wapi January kakataa katiba mpya?

Unajua hata mimi nilikuwa nashangaa mbona anashambuliwa wakati kwenye hii post hakuna alipopinga ila alitoa tu maoni yake mambo ya kuzungumzia kwa kina. Ameanza na "Tuzungumzie katiba mpya" ndipo kikafuata kimombo.

Labda iwe aliyemnukuu kachukua nusu ya alichokuwa ameandika January. Tunamuomba atuwekee document yoote.

Hii ni topic muhimu sana na namuunga mkono January pamoja na kuwa kisiasa yuko upande tofauti na mimi. Tunatakiwa kutaja mapungufu yaliyopo kwenye katiba ya sasa na kuyataja na sii kumshambulia makamba. Pia tuongelee nini kifanyike. Kama kuna baadhi yetu wakati wa kamati ya White paper ikipita watu wengi hawakutoa maoni au walitoa maoni ambayo ni tofauti na kilichokuwa kinaulizwa kwenye white paper.
 
kitendo tu cha kusema ya kuwa UK hawana katiba kimenifanya nijiulize hata kama huyu mtu anajua katiba nini. Ndio viongozi wetu hawa mnaosema machachari na wengine mlitaka apewe hu-waziri.

kazi kweli kweli.
 
[ Why is the current one inadequate? Why do we need an entirely new one instead of amending problematic provisions? Are "patches" (amendments) sufficient reason to rewrite the constitution? (USA constitution has 27 amendments). Is the constitution really that critical for development (UK does not have one). What process do we use to determine the contents of new constitution?[/B]

Mkuu.... hauoni JM ana oppose directly the need for for a new draft constitution..... to me he ask all these questions because he see no reasons

  1. Why do we need an entirely new one instead of amending problematic provisions?
  2. Are "patches" (amendments) sufficient reason to rewrite the constitution? .
  3. Is the constitution really that critical for development
kweli haya maswali.... JM hajui majibu yake..... or he is the best pretender ...... it is not good to take your wife for window shopping.... because someone else can take your wife direct to the shopkeeper.... and you will loose all..... JM wants to loose his political ambitions and directions ....lets be careful wazee wangu
 
kitendo tu cha kusema ya kuwa UK hawana katiba kimenifanya nijiulize hata kama huyu mtu anajua katiba nini. Ndio viongozi wetu hawa mnaosema machachari na wengine mlitaka apewe hu-waziri.

kazi kweli kweli.
Labda aliposema UK anaongelea katika context of written and codified.

Niliposoma hiyo UK ilinifanya nifikirie Yusuph Makamba aliposema "najua Uhamiaji wamesema Bashe ni raia lakini mimi nina sema siyo raia" sasa kama mtu anazikana sheria za Uhamiaji mchana kweupe. Je, tungekuwa tuna de facto constitution kama UK, jinsi miafrika tulivyo tusingechelewa kuwa na utawala wa kifalme Tanzania.
 
  • January Makamba
    Tuzungumze Katiba mpya. Why is the current one inadequate? Why do we need an entirely new one instead of amending problematic provisions? Are "patches" (amendments) sufficient reason to rewrite the constitution? (USA constitution has 27 amendments). Is the constitution really that critical for development (UK does not have one). What process do we use to determine the contents of new constitution?

Hapo kwenye red: UK hawana written constitution sawa, lakini kwenye Taifa kama hili letu lenye mafisadi na wezi kama.........ambapo hawaeshimu hata sheria zilizoandikwa kwakuwa wanadhani wako juu zaidi, Januari kaa kimya, usitutake tutapike. Sasa naelewa kwanini speech za mkwere zilikuwa ni vituko vitupu, kumbe mwandishi ndio wewe?
 
  • January Makamba
    Tuzungumze Katiba mpya. Why is the current one inadequate? Why do we need an entirely new one instead of amending problematic provisions? Are "patches" (amendments) sufficient reason to rewrite the constitution? (USA constitution has 27 amendments). Is the constitution really that critical for development (UK does not have one). What process do we use to determine the contents of new constitution?

Najisikia kichefuchefu kila nikirudia hii post ya JM, ebana, kama watu wa bumbuli wanakuona wewe unaakili sana usifikiri unaweza kuwadanganya watanzania wote kwa huo upupu wako.........Watanzania wanataka kuondokana na Mafisadi sasa, tumechoka na umaskini, na yeyote anayepinga harakati zetu ni adui yetu. (Plz, January kama huna la kuongea bora ukae kimya)
 
Hata katiba mpya iandikwe leo, kwa kuwa katiba si msahafu, itaenda ikibadilika tu, daima milele. Sioni sababu ya kupoteza wakati kuzungumzia au kubishana kitu ambacho kimeshaelezewa na waziri mkuu kuwa kitafanyiwa kazi na watakusanywa watu wa nyannja mbali mbali ili watazame mapungufu na watoe mapendekezo ya nini kifanyike.

Sasa sijui kama hilo nalo halijaeleweka? Iwe mpya leo. Kesho itakuwa ya jana, baada ya muda itakuwa ya zamani, its an on going process, tusiumize vichwa kwa mambo ya kupita.
 
If English language is obstacle to you, then use whatever language is understood by a majority of your readers. I detest people who use language that they are not comfortable with and as a result they do not convey the right message to their target readers

Ni sawa na kumtusi dokta raisi Kikwete kwani huyi alikuwa MSHAHURI wake katika mambo ya MAANDISHI( kusoma na kuandika) hicho KILUGHA!
 
Back
Top Bottom