Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,808
- 6,500
Mkuu na wewe lini CHADEMA?
Mimi siyo CHADEMA. Mimi ni CCM,lakini siyo active member.
Hajatenda dhambi bado Andrew Nyerere. Andrew uko chama gani?
Mimi ni CCM,Chama kinachosema binadamu wote ni ngugu zangu na Afrika ni moja.
Unaamini kweli bado inasema hivyo na kutenda hivyo au unaamini bado inasema hivyo hata kama haitendi hivyo?
Mimi,pamoja na Watanzania wengi bado hatujaona kwamba CCM ina matatizo,ndiyo maana bado ipo madarakani.
hujaqualify katika kipimo nilichikosema
Labda kuna watu hawakwenda kupiga kura kwa kuogopa fujo za Chadema. Lakini sijafuatilia hiyo stori ya watu kutojitokeza kupiga kura.Mkuu Watanzania wengi wangapi? Mwaka 2010 Watanzania tulikuwa wangapi kwa makadirio? na ni Watanzania wangapi tulipiga kura? Je ni Watanzania wangapi waliopia kura CCM? Mwisho ni Watanzania wangapi ambao wahakupiga kura? Na unadhani ni kwa nini hawakupiga kura
Babako hakuwa mchumia tumbo, wewe unaanza kuwa mchumia tumbo uzeeni utaweza?...Sitaki jibu lako ila ninauhakika dhamira inakusuta sana...wee endelea kutoza ada kwa waokuja kuhiji kaburi la baba...
'Dhamira inakusuta'.ndivyo alivysema mama mmoja katika uchaguzi uliopita alipohojiwa on TV;'nikitaka kuwapigia kura wapinzani,moyo wangu unanisuta' Yule mama amewafanya wengi kuipigia kura CCM kuliko kampeni yote aliyofanya JK.
Nimejaribu sana kufuatilia michango yako humu, kitu nilichogundua ni ukosefu mkubwa Wa hekima ndani yako. Ndiyo maana hufahamiki kwani inaonyesha ni mtu uliyejaa majivuno, kiburi na dharau za kitoto kabisa. Yaani Vicent amekuacha mbali sana kwa hekima na akili.
Naandika maneno haya kwa uchungu na masikitiko makubwa huku nikishibdwa kabisa kuamini kuwa wewe ni mzaliwa wa kwanza Wa Mwalimu. Shame on you brother.
Okay,nimeelewa unavyosema. Lakini kumbuka wapo wafuasi wengi wa Chadema magerazi kwa ajili ya hekima za Vincent na viongozi wenzake wa Chadema.
ANGALIZO
Demokrasia kamili ni pale jamii au familia inapokubali kutokubaliana hata katika itikadi bila kuathiri mzizi au msingi wa mahusiano.