Fikra na Mtazamo wa Andrew Kambarage Nyerere Kuhusu Itikadi za CHADEMA

Hivi wanajamii mnamjua andrew vzr? Nimecheka sana coz huyu jamaa hayuko vzr !!!!
 
umesharudi huko mexico?
kwenye familia yenu kuna mtu anatumia hii makitu hapa chini?

Sikusema Mexico,nimesema New Mexico. New Mexico ni jimbo mojawapo la USA.

Kuhusu hilo jembe,ni quite uncessary, Sisi hapa tunaishi kama Royal Family,kwa ruzuku ya Serikali.
 
Sikusema Mexico,nimesema New Mexico. New Mexico ni jimbo mojawapo la USA.

Kuhusu hilo jembe,ni quite uncessary, Sisi hapa tunaishi kama Royal Family,kwa ruzuku ya Serikali.
dah! ila kweli mnastahili kabisa, kuna mwingine anafanya biashara sana asaiv kwa vile tu anatoka Royal Family na babaake akistaafu atakuwa analipwa ruzuku kama kawaida. mna bahati kinoma aisee.
 
Kwani Mkapa ni nani mpaka awafahamu watoto wa Nyerere? si kwamba Chadema tunataka ukoo wa huo bali wanaelewa kuwa chama pekee kilichosmart kwa sasa ni Chadema,wala hatuna sababu ya kutaka mtu aje bali tunahamasisha watu wote wanaoelewa maana ya mapinduzi na kuyataka mapinduzi wajiunge,lakini kama wewe unaona huelewi kuhusu mapinduzi basi achaa wapiganaji waendelee kufanya kazi,mkiwa mnaendelea kudumisha fikra mbovu za mwenyekiti.
 
Wewe acha kulia lia kama mtoto wa kike hapa JF hakuna mbeleko. Ulivyokuwa unawaambia wamiliki wa JF wawe makini JF inatekwa na magamba inapoteza hadhi ulikuwa unamaanisha nini.

Wewe kwako kila mtu juha kwanza wewe nani anakujua humu JF unajaza server tu. Nyie ndiyo mkiambie mchangie JF mnakimbia lakini ndiyo mabingwa wa kukosoa.

Kwa akili yako ilivyokuwa fupi mtu hakiwa Chadema ndiyo ana upeo. Vipi unataka kuwa mod.

Acha ujuha wewe, hata kusoma hujui eti mie nimekuja juzi, juha kweli wewe. Kuchangia haina maana kuwa na ruhusa ya kubandika ujuha wako uliotumwa na magamba. Umod uchukue wewe ili uendeleze vizuri ujuha wako. Kwani huoni ushahidi kwamba magamba wote ni majuha.
 
Why are you crying baby..........This is not the place................hatuna mbeleko ya kukubebea...............Nenda kaombe uwe Mods ili utimize matakwa yako, siyo kuja hapa na mitazamo yako ukitaka kila mmoja aikumbatie...........uliikuta JF na utaiacha..............JF haikuja kwa mtazamo wako na kama mtazamo wako ungekuwa GOLD, basi kwa nini usianzishe mtandao wako.............By the way, Ingia kwenye jukwaa la jokes upate kile unachohitaji........Achana na mimi.

Acha kuandika ujuha wewe fisadi mkubwa.
 
Anafanya bishara gani? Kwa sababu Royal Family nyingi na majambazi sugu wa madawa ya kulevya.
mkuu sitaki uniingize kwenye matatizo, ingekuwa teacher yupo hai nisingesita kutaja biashara zake, lakini asaiv loh! UWT watahamia kwenye ukoo wangu......
BTW most of utajiri wake amerithi toka kwa babu yake msoga.
 
Andrew Nyerere siku nyingine ukiwa nchi za watu jaribu kuvaa vizuri kidogo,kwani hiyo picha uliyopiga na mwanamama wa kizungu katika mnara,utafikiri ulikuwa mashambani kijijini butiama,kumbe mtu mzima umevunja kabati na upo ndani ya U.S new mexico,kweli mwanajeshi hachagui kombati.
 
Andrew Nyerere,ndani ya New mexico(U.S).Mwanajeshi hachagui gwanda,hakuna ubitozi mbele ya mfumo wa ujamaa
 
mkuu sitaki uniingize kwenye matatizo, ingekuwa teacher yupo hai nisingesita kutaja biashara zake, lakini asaiv loh! UWT watahamia kwenye ukoo wangu......
BTW most of utajiri wake amerithi toka kwa babu yake msoga.

Umeona Ridhiwani ametuma post sasa hivi,anasema watu wanafanya utapeli kwa kutumia jina lake na jina la Barak Obama,anatoa tangazo kwa owte,kwamba yeye hahusiki,na watu wametoa hela zao,wametapeliwa. Sasa haijulikani hizi habari amezipata lini,na anazitangaza lini. Kwa hiyo tunaweza kusema hao watu wa Msoga ni safi.
 
haahahahahahahahaa! dah! hii kali,
Royal family wanaonewa sana aisee.
 
Hili ni tatizo hata ukipiga malimba utasikika pia '' haya yalisemwa na mwana muziki 20%''
 
Hii thread ya zamani hata sikumbuki ilikuwa inahusu nini;na mambo niliyoandika naona kwamba yalikuwa rubbish. Lakini,ndiyo,Royal Family nyingi zinajihusisha na ujambazi,nadhani kuishi kwa ruzuku kunawaletea fedheha kubwa; kwa hiyo ajihadhari yule jamaa katika Mjengo aliyekuwa anasema atawararua wauza unga.
 
Sawa ...
 
Style ya majibu ya Andrew kwa watu waliokuwa wanafuatilia sarakasi za Mwalimu Nyerere kisiasa yanapambanua ni jinsi gani yanavyoshabihiana na ya Mwalimu ( simple, sharp and frank)...............siyo ajabu wengine kwa kutokumuelewa wanasema Andrew crazy kumbe wao ndiyo dull.

Nafikiri wewe ulimwelewa vizuri sana Andrew majibu yake mimi ndio leo nimeyaelewa.
 
Back
Top Bottom