Fikra na Mtazamo wa Andrew Kambarage Nyerere Kuhusu Itikadi za CHADEMA

Nadhani Andrew Nyerere ana uhuru wa kutoa maoni yake yeye km yeye pasi kushawishiwa na mtu yeyote,na sisi humu jamvini hatuna mamlaka ya kumchagulia ndugu Andrew chochote kile cha kusema aghalabu yale tunayopenda kuyasikia.
 
Last edited by a moderator:
Mtoto wa Nyerere kuikataa CDM ni jambo la ajabu? Kwani kuna wakati gani Nyerere katika utawala wake aliwahi kuwakubali wapinzani? Nyerere hakutaka kabisa kusikia kitu upinzani na ndo maana wakati wa utawala wake kulikuwa hakuna mtu anaruhusiwa kushindana naye kwenye urais, ama unamchagua yeye au unachagua kivuli!!!!!

Ni Nyerere yuleyule alipoona kuna dalili za Mrema kwenda ikulu akatumia udicteta na kutamka wazi kwamba I will not allow "my country" to go to dogs utazani yeye pekee ndo alikuwa na hati miliki ya Tanzania!!!!!

Sasa this Andrew is really like father like son.
 
Msishangae hata Prof huzaa watoto wenye akili ndogo kama huyu kwa hiyo Nyerere is not exceptional azae mabright tu. Huyu anaonekana uwezo wake ni mdogo sana kweli tumbo bahari.
 
Labda Nyerere alipokua anaendelea na juhudi za ukombozi alihisahau,Mzee NGIYAYI Lowasa,akaenda kumwubia mke! Product ilotoka ndo kama hyo sasa.
 
Muwe mnawaonea watu wengine huruma muda wao katika uelewa bado maana hata kwa wale wanaovuta sigara husema stimu zinapanda taratibu muda ukifoka watatufuata na kujiunga,hawajaona mabaya kutokana na uelewa kiinchi, tumetangulia mtatukuta.....?
 
Huyu jamaa kiboko sana namkumbali sana huyu ndiyo mtoto wa Nyerere.

Nyie endeleeni kulalamika lakini yeye anafuata wosia wa baba yake alimuachia mkumbuke baba yake ndiyo muasisi wa CCM.

Hongera sana kwa majibu yako murua.

samahani lakini!naomba unisaidie elimu ya huyu jamaa yako,maana inaonekana unamjua sana,mpaka unajua kuwa baba yake alimuachia wosia duh!
 
Majuha wa magamba ndivyo walivyo. Wamiliki wa JF wasipokuwa makini huu ukumbi utadorora kutokana na kuruhusu majuha wa magamba kuuteka nyara ukumbi wa JF na kuandika -----/utumbo wao.
 
Juha lingine hili eti linamkubali mtu kwa kuwa tu baba yake ni fulani, bila hata kujali uwezo wake katika mambo mbali mbali. Eti anafuata wosia wa Baba yake utadhani ulikuwepo wakati anaachiwa wosia huo. Mnazidi kuharibu JF kwa kuandika ----- wenu.
 
Majuha wa magamba ndivyo walivyo. Wamiliki wa JF wasipokuwa makini huu ukumbi utadorora kutokana na kuruhusu majuha wa magamba kuuteka nyara ukumbi wa JF na kuandika -----/utumbo wao.

Hakuna mtu aliyekusuma na kudumbukia ndani ya maji ya JF. Ukiona maji yameanza kufika shingoni, kuna majukwaa mengi tu ndani ya JF. Kama ni utumbo, kwa nini unajibu utumbo kama siyo na wewe kuleta utumbo.

Offcourse, ukumbi lazima utadorora kwa kuwa na watu kama ninyi mnaofikiria mawazo yenu ni vipusa vya dhamani kumbe a dog's dinner.

If you don't like, just jog on kwenye mada zinazokupendezesha or kick wall and die. This is JF. People Dare To Talk Openly.
 
Juliasi ni baba yake Adrew!!

yaani huyo ENDREW ni mtoto wa Baba wa TAIFA?,Eeeeeh! kweli baba wa TAIFA ni jembe,kumfungia huyu KILAZA Porini mpaka hajulikani....na ujinga wake.Inge kuwa DHAIFU angeshampa cheo CCM bila kujali kichwani kuna tundu hewa inaingia.
 
Yericko ndiyo huwa anawadanganya kuwa yeye ni mtoto wa Julius Kambarage.

Mkuu mbona uliwahi kutuletea list sahihi ya watoto wa Julius Kambarage na mama Maria, mimi katika mazungumzo yangu na Magige tukiwa shuleni tena tulikuwa tunalala bweni moja la Makongoro pale Minaki - sikuwahi kumsikia akizungumza kwamba ana ndugu yake wa ziada anaye julikana kwa jina la "Yericko Nyerere"

Baada ya kuona post zake nikawa najiuliza maswali mengi, hivi huyu ni Nyerere yupi? Kazaliwa na the late Joseph Kazulila, the late Kiboko au Wanzagi? Yaani ukiangalia post zake ukalinganisha na za Andrew inaonekana wazi wazi watu hawa ni poles apart! Posts anazo zi-file Andrew na jinsi navyo jibu hoja hata zenye mitego ndani mtu unaona kabisa kwamba huyu ni mtoto wa Julius Kambarage Nyerere kwa asili mia MIA.
 
Juha lingine hili eti linamkubali mtu kwa kuwa tu baba yake ni fulani, bila hata kujali uwezo wake katika mambo mbali mbali. Eti anafuata wosia wa Baba yake utadhani ulikuwepo wakati anaachiwa wosia huo. Mnazidi kuharibu JF kwa kuandika ----- wenu.

Mkuu haya yasije yakawa mabo ya kuhadithiwa tu - hebu tupe mfano wa kuonyesha kwamba ndugu Andrew hana uwezo wowote katika nyanja mbali mbali, alafu tuthibitishie ukaribu wako naye, maana aipendezi kuanza kufanya analysis za mtu ambaye humjui vizuri i.e ujawahi kukutana/kuishi naye kwa karibu.
 
Mkuu mbona uliwahi kutuletea list sahihi ya watoto wa Julius Kambarage na mama Maria, mimi katika mazungumzo yangu na Magige tukiwa shuleni tena tulikuwa tunalala bweni moja la Makongoro pale Minaki - sikuwahi kumsikia akizungumza kwamba ana ndugu yake wa ziada anaitwa "Yericko Nyerere"

Baada ya kuona post zake nikawa najiuliza maswali mengi, hivi huyu ni Nyerere yupi? Kazaliwa na the late Joseph Kazulila, the late Kiboko au Wanzagi? Yaani ukiangalia post zake ukalinganisha na za Andrew inaonekana wazi wazi watu hawa ni poles apart! Posts anazo zi-file Andrew na jinsi navyo jibu hoja hata zenye mitego ndani mtu unaona kabisa kwamba huyu ni mtoto wa Julius Kambarage Nyerere kwa asili mia MIA.

Umeona eheee!!

Tatizo hukiwa Chadema hata ukiwadanganya nini marufuku kuhoji.

Jamaa anawaingiza mkenge Chadema.
 
samahani lakini!naomba unisaidie elimu ya huyu jamaa yako,maana inaonekana unamjua sana,mpaka unajua kuwa baba yake alimuachia wosia duh!

Elimu yake itakusaidia nini mkuu mbona uhoji elimu ya Mbowe.

Andrew ndiyo mtoto wa kwanza wa Nyerere ilo linatosha.
 
yaani huyo ENDREW ni mtoto wa Baba wa TAIFA?,Eeeeeh! kweli baba wa TAIFA ni jembe,kumfungia huyu KILAZA Porini mpaka hajulikani....na ujinga wake.Inge kuwa DHAIFU angeshampa cheo CCM bila kujali kichwani kuna tundu hewa inaingia.

Kuweni na heshima kwa watu waliohatarisha maisha yao vitani Kagera kwa hii nchi

Wewe umelifanyia nini hili taifa?
 
Back
Top Bottom