Ukimya ni tabia.lakini kwa vile wakimya huongea zaidi kwa vitendo ndo utaona mjumuisho wa tabia nyingine zinajitokeza kama dharau., kiburi tena kile cha uzima hasa.! Kedi ., pozi.,na jeuri iliyokomaa .lakini pia wenye tabia hii huwa wana kisirani cha kuua......na huwa wagumu kubadilisha maamuzi.! Ila ukiwajulia mbona utastarehe...! Kiufupi akili zao huwa bize kutafakari zaidi na hawapendi mpinzani.wala kero.!
Na huwa wepesi kuchukua maamuzi magumu hata kama ni kukutoa roho!!
Mimi sio mkimya na wala si muongeaji sana.
Halafu kuna watu wanachanganya kati ya ukimya na upole.....jua tofauti
Na huwa wepesi kuchukua maamuzi magumu hata kama ni kukutoa roho!!
Yaani sawa nakutofautisha maji ya chumvi na yakawaida yote maji kijana.
Hatimii mtu mkimya bila kuwa mpole na hatimii mtu kuwa mpole bila kuwa mkimya
Mi ni mkimya ila ukinizingua lazima nikupige ngumi na usipoanguka au kuzimia basi ujue we kweli mwanamke.
Mimi ni mkimya, nikila kabia katuwili napata spidi
Khaa!! Mie ujinga huo sina. Ukinizingua ni makavu live on the spot. BTW nasikiaga males wakimya kuku wao hupanda mtungi kwa shida sana. Nimesikia tu
Mm nimepata majaribu sana ktk maisha yangu kwa tabia yangu ya ukimya, unaishi na watu kila m1 anakunyooshea kidole kuwa una dharau, kumbe hata kidogo???
Ilifikia hatua nikajifunza kunywa pombe nilewe ili walau nipate maneno ya kuropoka niwafurahishe walio karibu yangu!
Sio kila mtu mkimya anakuwa na dharau, big #NOO !