Hii ndio inaitwa SUGU MOTO CHINI..
Hahaha. Vuta kumbukumbu vizuri. Huenda ilikua yako.Nikiwa binti wa chuo nilienda nyumbani kwa boyfriend wangu niliyempa moyo na figo zangu amiliki,nilikuta chupi ambayo sio yangu,yule mshenzy aling'ang'ania mwanzo mwisho ile ni chupi yangu!limkute lolote huko alipo
Hapana kabisa mtu huwezi sahau kufuli lakoHahaha. Vuta kumbukumbu vizuri. Huenda ilikua yako.
Ha haaa haikuwa yangu kabisaauwenda ni kweli ilikua yako 😂
Hii ndio inaitwa SUGU MOTO CHINI..
SIKILIZA HIYO NGOMA_SUGU MOTO CHINI.☺️😊😁😂😆