Fikiria: Mkeo anafanya usafi, anasogeza kochi, ghafla anakutana na chupi ya kike ambayo haijawahi kuonekana

Moyoni alijua ukweli Ila machoni alishindwa kukiri.. Kuna watu hata uwashikie kisu akisema NO ni NO😂
Kuna hio nyingine ilikuwa hivi...nimesafiri na wife (ex wife kikazi kwenda MKOA mwingine nikaona anipe escort ..sasa ile lodge nafikia ni mara ya pili ....saa 4 asbh siku hio ni weekend hakuna kazi nikatoka nikamwacha wife chumbani anachezea simu me nikaenda kutoa lock jirani ka Hanson choice kamoja na coka sasa narudi lodge chumba before changu naona mdada wa usafi anadeki si kimyakimya nikasema nikampigishe stori kdg kipombe pombe demu haongei kitu nashika mara kalainika si nikapiga cha quick cha ajabu sasa nafungua mlango hivi wife ananisubiri corridon kanuna aisee ilibidi nisingizie nimeingia hiko chumba kuharisha maana ndo kilikuwa karibu yaani nilikataa katakata,,japo ushahidi wote uko wazi aisee mmakonde yule nilimpiga matukio sijui niseme kiburi cha pesa na elimu au ujana tu dah af nampiga matukio mtoto mdg sawa na mdg wangu
 
Kuna hio nyingine ilikuwa hivi...nimesafiri na wife (ex wife kikazi kwenda MKOA mwingine nikaona anipe escort ..sasa ile lodge nafikia ni mara ya pili ....saa 4 asbh siku hio ni weekend hakuna kazi nikataka nikamwqcha wife chumbani me nikaenda kutoa lock jirani ka Hanson choice kamoja na coka sasa narudi lodge chumba before changu naona madada wa usafi anadeki si nikasema nikampigishe stori kdg kipombe pombe demu haongei kitu nashika mara kalainika si nikapiga cha quick cha ajabu sasa nafungua mlango hivi wife ananisubiri corridon kanuna aisee ilibidi nisingizie nimeingia hiko chumba kuharisha maana ndo kilikuwa karibu yaani nilikataa katakata,,japo ushahidi wote uko wazi aisee mmakonde yule nilimpiga matukio sijui niseme kiburi cha pesa na elimu au ujana tu dah af nampiga matukio mtoto mdg sawa na mdg wangu

50728f8c-dac7-47bd-9400-b76af45a317d.jpeg
 
Unajua, maisha ya ndoa au mahusiano ni kama filamu ya action, lakini siku ukikutwa na "ushahidi" usio na maelezo, filamu inageuka kuwa ya mtihani mkubwa! Hebu fikiria, mkeo anafanya usafi, anasogeza kochi, ghafla anakutana na chupi ya kike ambayo haijawahi kuonekana kwenye bajeti ya nyumba hiyo tangu uhuru.
Hapo ndipo akili ya mwanaume inafanya "System Error".

Hill tukio lilimtokea jamaa yangu mmoja sasa ni marehemu (RIP mwamba)

Ilikuwa weekend Moja baada ya mke kurudi safari akawa anafanya usafi huku jamaa kajilaza kwenye kochi la jirani

Mara ghafla Mke akauuliza kwa sauti ya radi: "Baba nani, hii chupi ya nani?"

Jamaa kwa mstuko mkubwa lakini kwa utulivu wa bandia akauliza: "Chupi? Ipi? Ah, mbona kama kitambaa cha kufutia vumbi? Kwani fundi hakuacha hapo alipokuja kutengeneza TV?" (Hapo akijua kabisa fundi alikuja miezi sita iliyopita).

Mke akakaza akiuliza swali lile lile kwa ukali zaidi

Jamaa akaona abadili utetezi
"Mke wangu, unajua leo kulikuwa na upepo mkali sana? Inawezekana jirani alianika kule nje, upepo ukaipuliza, ikapita dirishani, ikazunguka sebuleni, kisha ikajikunja na kujificha chini ya kochi kwa usalama."

Mke akiwa kazidi kufura kwa hasira mpaka anatetemeka jamaa akaendelea na utetezi
"Hivi hujiulizi kwanini nguo zetu zinapotea kila siku? Hapa kuna majini! Leo wameamua kuleta badala ya kuchukua. Hii ni chupi ya majini, tusiiguse tuitie moto!🙌🏿🤣

This time mke akiwa kanyanyua ufagio juu na kumwambia jamaa asiposema ukweli atamcharaza kisawasawa

Jamaa kwa kujifanya kakumbuka sasa akaropoka kindezi
"Ah! Kumbe ni hiyo? Si ndiyo aliyoisahau binamu yako Asha alipokuja wiki iliyopita? Alisema anaitafuta sana, ngoja nimpigie simu..." (Hapo akashika simu huku anatetemeka, akisali Asha asipokee).😂😂😂

Mungu bariki simu ya Asha ikawa haipatikani.. Sass mke katika kuikagua kama kweli ni ya Asha akagundua kitu kingine😂
"Lakini mbona ina jina lako limeandikwa kwa markerpen?".

Hapo sasa, jamaa alitamani ardhi ipasuke au ugeuke kuwa mbu upotee hewani🤣🤣🤣.

Nilitwa kusuluhisha ile kesi na mambo yakaisha salama ila jamaa wakati ananisindikiza nikamshauri ahakikishe anapochepuka mchepuko unavaa nguo zinazofanana na za mkewe😂 au bora zaidi, asichepuke kabisa ili asije kutoa maelezo ya "upepo wa kisulisuli" uliopitisha nguo dirishani!😂😂😂
😅😅😅😅😅
 
Daah et atakua dogo mana ndo nlimpa begi 😂😂
 
Back
Top Bottom