Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

Du.............!!!!!!!
Pana pointi............!!!!
Ila sijui, pengine Lowassa angebadilika na kuuza mali zake zote na kuwapa masikini!!
 
Watanzania hawakupewa sababu ya kufanya kosa hilo. Walizinduka!

Wewe hopeless kabisa na Slaa wako. Upoupo tu! Hujui uwe upande wa ccm au ws upinzani! Upoupo tu. Umaarufu wako na wafuasi wako wote umewapoteza! Upoupo tu, neutral! Tehteh. Utateseka sana mwaka huu! Leo unaishabikia ccm? Unamshabikia mtu? Sasa Magu akifa leo utabaki ccm au utarudi upinzani. Da siamini leo umekuwa Lumumba buku 7!Badala ya kushabikia mifumo tunashabikia mtu!
 
Tumwache EL apumzike. Uchaguzi umeisha, aliyeshinda kashinda..hizi figisu sio nzuri kwa ustawi wa nchi.
Hata hivyo, asingekuwa EL labda CCM wangekuwa usingizini kwa kutumbua pesa kama kawaida yao..
 
Huyo aliekua anafanya sherehe miaka yote na sherehe zingine za kupongezwa c huyo mwenyekiti wenu wa msoga alikua anarusha hadi ndege za kivita zimpigie saruti uwanja wa Taifa.alikua Lowassa,Mbowe au Lissu?
 
Kwa taarifa yako, hayo unayoyaona na kudhani yanafanywa na Kufuli, basi Lowassa angefanya vizuri mara nyingi zaidi ya uwezo wa akili yako kuweza kutambua.
 
Too bad uchakachuaji umeendeleza mgao wa umeme, foleni kwa kwenda mbele, maisha magumuu! Serikali imekosa hela hata za kusherehekea sikukuu Muhimu ya Uhuru na badala yake wanasingizia kufanya usafi kwa siku moja! ... Lowassa ni Rais wa Watanzania ndiyo Maana hata wale waliokuwa wamenasa mgodini walikataa kufa wakijua kuwa Tanzania yenye Neema ingepatikana baada ya Lowassa kuingia Madarakani .. Itoshe kusema Lowassa ndiyo Rais watanzania ... Magufuli ni Rais wa CCM kama alivyo Dr Shein ...
 
vitu vingine mnavyopost humu mnatakiwa muwe mnatumia akili,naona mnaandika kwa kutumia makalio kufikiria,lowasa ni rais wa mioyo ya watanzania,alichaguliwa kwa asilimia 62,kama haujui,kwahiyo funga mdomo wako kama haujui chochote,na ujifikirie wewe mwenyewe na familia yako

Wewe usietumia akili hujiulizi una wabunge chini ya 30% na hilo huna shida nalo unalikubali halafu huyo mwny 70% ya wabunge awe Rais hujiulizi hiyo serikal angeunda vp, muswada na bajeti zingepitaje bungeni? Inakuaje chadema inashadadia urais wa maalim aliejitangaza kupata 53% inaacha kumpigania aliepata 62%? Inakuaje Lowassa kaulizwa atoe ushahidi mbele ya media kasema ukifika wakati muafaka atautoa ushahidi sasa wewe usietumia makalio kufikiri umepata wapi huo ushahidi? Hata slaa mlisema kaibiwa 2010 miaka mitano baadae mnasema hana ubavu wa kuitoa ccm, kama aliweza kuitoa ccm chadema ikiwa peke yake tena dhidi ya rais anaendelea angeshindwaje kuitoa ccm yenye mpasuko, mgombea mpya na tena wapinzani wakiwa na ukawa? Uwe unajiongeza kidogo usikubali kugeuzwa file la kuhifadhi kila kitu kichwani!
 
Back
Top Bottom