Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

Walivyoibia tu M4C nikasema hawa ni vilaza now time prove i was right
 
Nilichogundua vijana wengi hapa hasa kwenye mjadala huu, hawaujui utendaji kazi wa Lowassa, inawezekana alipokuwa wazir mkuu wengi walikua secondary tu, ni hivi.........Lowassa ni master plan, kama hamjui ulizeni wakubwa wenu wanaogatilia siasa na utendaji ndo watawaambia who is Lowassa! Anachofanya huyu sijui kutumbua ni kuigiza tu, but wakati Lowassa ni waziri mkuu, ilikuwa ni rahisi zaidi kukutana na Kikwete ukamuelezea ujinga akakuvumilia lakini sio Lowassa hata kukanyaga ofisini kwake tu ilikuwa shughuli...... sio muongeaji ila ni mtendaji, ambao hamumjui siwashangai kuachama hapa ila tunaomjua........tunafahamu kuwa hana uvumilivu na upumbavu wa mtu!!!!!! Kwa miaka miwili tu akiwa waziri mkuu....alibuni course fupi za ualimu kwa form six leavers na kutoa ajira, project ya shule za kata imepunguza gharama kwa wazazi kupeleka watoto shule za mbali,.....hapo akiwa waziri mkuu tu, nini anhefanya angekuwa rais??? Huyu wenu kafanya nini cha maana hadi sasa? Kwa Lowassa tusingesikia kauli za mimi sipangiwi, sishauriwi, sijaribiwi, najiamini, tungeona hayo kwa vitendo kwasababu huwa si muongeaji.......kama hamfahamu, serikali ya JK ilianza kukosolewa na kupuuzwa, kusemwa na kuitwa dhaifu baada ya Lowassa kujiudhuru.....before that watu waliisifia.......may be kosa Lowassa ni kujaribu kuwa popular kuliko boss!!!!!!
 
Ni kweli ulichokiandika kwa 100% ila mm mwenyewe uwa natamani lowasa achukue nchi ila ilo jambo ni gumu sana kwa hapa Tanzania
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nikisikia tu jina lowasa akili yangu inaenda mbali hadi kwenye Richmond hadi nashindwa kuandika comment maana uchungu mno ninao
 
Kama tungemchagua Lowassa kuwa Raisi wa wa 5 wa JMTZ unafikiri mpaka sasa hivi ni nini kingekuwa kimetokea? Unafikri wagonjwa Muhimbili wangetoka sakafuni na kuhamia kitandani? Unafikiri Lowassa, Mbowe Lisu &Co. wangeacha kutumia milioni 250 na badala yake kuzipeleka Hospitali kusaidia Watanzania? Rejea Tundu Lissu kutetea milioni karibia 300 walizokuwa walipwe kama Wabunge, je angeziacha hizi za juzi kama angekuwa na madaraka?
!
Angekuwa rais angefanya yafuatayo
Angekupa ajira ili uachane na utumwa wa buku7
 
Nilichogundua vijana wengi hapa hasa kwenye mjadala huu, hawaujui utendaji kazi wa Lowassa, inawezekana alipokuwa wazir mkuu wengi walikua secondary tu, ni hivi.........Lowassa ni master plan, kama hamjui ulizeni wakubwa wenu wanaogatilia siasa na utendaji ndo watawaambia who is Lowassa! Anachofanya huyu sijui kutumbua ni kuigiza tu, but wakati Lowassa ni waziri mkuu, ilikuwa ni rahisi zaidi kukutana na Kikwete ukamuelezea ujinga akakuvumilia lakini sio Lowassa hata kukanyaga ofisini kwake tu ilikuwa shughuli...... sio muongeaji ila ni mtendaji, ambao hamumjui siwashangai kuachama hapa ila tunaomjua........tunafahamu kuwa hana uvumilivu na upumbavu wa mtu!!!!!! Kwa miaka miwili tu akiwa waziri mkuu....alibuni course fupi za ualimu kwa form six leavers na kutoa ajira, project ya shule za kata imepunguza gharama kwa wazazi kupeleka watoto shule za mbali,.....hapo akiwa waziri mkuu tu, nini anhefanya angekuwa rais??? Huyu wenu kafanya nini cha maana hadi sasa? Kwa Lowassa tusingesikia kauli za mimi sipangiwi, sishauriwi, sijaribiwi, najiamini, tungeona hayo kwa vitendo kwasababu huwa si muongeaji.......kama hamfahamu, serikali ya JK ilianza kukosolewa na kupuuzwa, kusemwa na kuitwa dhaifu baada ya Lowassa kujiudhuru.....before that watu waliisifia.......may be kosa Lowassa ni kujaribu kuwa popular kuliko boss!!!!!!
uko sahihi mkuu [emoji817] [emoji818]
 
Nikisikia tu jina lowasa akili yangu inaenda mbali hadi kwenye Richmond hadi nashindwa kuandika comment maana uchungu mno ninao
Umenena kweli na hii ndio alama kuu ya luwasa hapa bongo, mbaya zaidi ukawa yakampokea huku yeye mwenyewe akishindwa kuwa clear kuhusu kadhia hiyo.
nakumbuka press yake ya kwanza kabisa baada ya kuingia chadema akaulizwa kuhusu richmond akamjibu ripota "kama huna uhakika, shut up!"
kuanzia pale nikaanza kuona chama nilichokipenda kwa miaka mingi kimebugi, walipaswa wajiridhishe huko kamati kuu uhusika wake richmond kwanza kabla ya kumkubalia kupeperusha bendera ya chadema kwenye uchaguzi mkuu
wengine ndio maana hadi kesho tunamkubali dr slaa aliyehoji faida/hasara kwa siku za mbeleni ikiwa chadema wangempokea edo....ingawa propaganda ikapikwa kwamba slaa kanunuliwa
 
Huyu kuna nini anakifanya hicho cha kuomba umeme Ethiopia na kufukuza ovyo watalaam na kubaki na kina Bashite Nchi itaendelea wapi...
 
Inauma sana kuo watu waliotuaminisha kua watatuletea mabadiliko ya kweli kuliko yale yaliyohubiriwa na kina Lowassa wa UKAWA, badala yake wanatuletea viongizi wanaotumia vyeti vya watu na kuwalinda kwa kuwapa ulinzi. Hili halikubaliki na hatutakubali kamwe na watanzania hatutadanganyika.

Mtu anasimama bila kuficha aibu anatumbia vyeti vya wateule wa mukulu vinakaguliwa na TAMISEMI badala ya NECTA?NECTA kazi yao nini?TAMISEMI tangu lini wafanye kazi za NECTA? Tusidanganyane hapa! Huu ni usaliti wa ajabu sana. Watanzania sasa wameshajua waliahidiwa nini,wamevuna nini na sasa hawatakua tayari tena.

Yaani inatengwa bajeti ya maendeleo trillion 11 zinatolewa trillion 3.9? Kwanin tusiseme ni bora ya Lowassa Mara 1000 na zaidi kuliko walioshindwa kutekeleza ahadi zao?Mini maaana ya TRA kukusanya trillion 1.3 kwa mwezi? Makusanyo hayo yanakwenda wapi?

Kwenye serikali ya Lowassa sitegemei kama wangeweza kufanya vioja vya kuajiri na kumlinda mtu aliyefeli akatumia vyeti vya mtu, Sidhani kama serikali ya kina LISSU wangelea mtu anayevamia ofisi za watu.

Nasema hivi watumishi wa serikali wanafanya kazi ilimradi tu liende,hawana morali ya kazi yaani wapo wapo tu. Hawapandishwi madaraja,hakuna anual increments huku gharama za maisha zikipaa.

Mpaka sasa hakuna sababu ya kutompa nchi Lowassa,hakuna anayejutia kumpa Lowassa kura yake zaidi ya wale walioipigia kura CCM 2015. Ninaomba tena na tena Lowassa akamatie kijiti kupitia UKAWA kwa maisha haya tuone kweli watanzania wanaweza kufanya kitu gani.
Mbina lowassa amesema alishinda uchaguzi bali aliibiwa kura tu? Sasa unawaimba wampe kura gani tena?
 
Ni vigumu sana upinzani kushinda kwa katiba iliyopo, katiba ambayo mwenyekiti wa NEC anateuliwa na m/kiti wa CCM, wakurugenzi wa wilaya ambao ndio wenye jukumu la kutangaza matokeo ngazi ya jimbo na watendaji wa kata ni wateuli wa m/kiti wa CCM! Katiba ambao jaji mkuu, mwanasheria mkuu wa serikali, wakuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, wote hao ni wateuli wa m/kiti wa CCM!
Pia tusisahau makada wa CCM waliowekwa kuhakikisha CCM haitoki madarakani ambao ni wakuu wa mikoa na wilaya.
Ni vigumu sana CCM kutoka madarakani hata kama watashindwa kwenye sanduku la kura kwa katiba iliyopo.
Kama kweli wapinzani wanataka kushika dola basi waachane na siasa za kina BASHITE na wapiganie hata ikiwezekana kwa damu katiba ya WARIOBA, zaidi ya hayo tutakaa kwenye benchi mpaka vizazi kumi vipite nadhani watakuwa na akili na ujasiri kuliko kizazi hiki.
Uko sahihi kabisa na bila katiba mpya wasisimamishe wagombea. Japo upinzani au siasa za uchaguzi haziaminiki kwa sab kenya ambako kuna katiba bora afrika lkn odinga haitaki tume ya uchaguzi haiamini.
 
Mkuu leo umegeuka pweza paul kutabiri angefanyaje!!!! Mkuu jaribu kufanya utafiti uone serikali yetu...... Wanafunzi wa ngap hawana mikopo? Wasomi wangapi wana vyeti lakini havina kazi... Wafanyakazi wangapi wame***vyeti na ni wakuu serikalini.. Tanzania ndio leo tuseme ni ya haki??? ..... Niwasilishe
 
Tuseme tu ukweli,maisha yasingekuwa hivi.Magu kuna vitu amefanya vzr ndio lakn uchumi ambao ndio roho ya taifa amefanya fyoooongo
 
post za Jf bana! povu limekutokaje, eti bora lowasaa? ha ha ha ha ha ha watanzania sio wajinga kihivyo, tutampigia kura lowassa endapo tu siku mtatuambia kwa nn mlimuweka kwenye list of shame
Lowasa aliwajibika/wajibishwa sio kama lowasa bali kama kiongozi.kama alitajwa alitajwa kama kiongoz .that means ama serkali na clue yake walifanya kosa basi wasingetajwa viongoz wote lazima mtu awajibike..huo ndio uongozi...look

Leo askari akiua bila utaratibu maalum wazir wamambo ya ndani anaweza kutakiwa kujiuzulu,je huyo wazir ndie alieua?

Embu acheni kuwa na mawazo membamba!
 
Back
Top Bottom