Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Hata kiwanda cha kutengeneza kibiriti tusitegemeeSerikali ya magufuli inalinda wafoji vyeti na inateua teua tuuu na kutengua tengua. Tanzania ya viwanda ndoto kwa staili ya magufuli
Hata kiwanda cha kutengeneza kibiriti tusitegemeeSerikali ya magufuli inalinda wafoji vyeti na inateua teua tuuu na kutengua tengua. Tanzania ya viwanda ndoto kwa staili ya magufuli
Naisi wee unaongea bila kushirikisha akili. Ni bora ukakaa kimya kulko kuzungumza pumba. Tatzo bangi za kuvutia chooni izoUmetumia viroba alfajiri wewe si bure!!!
Nihatari sana kuwa akili programmedNgosha anayo mapungufu kibao kama mwanadam.....hata hivyo bado ni dharau kubwa kumfananisha na luwassa!.
luwassa ni mpigaji wakati ngosha ni mnyooshaji!!
leo hii ukiwauliza waliompigia kura Dr. Pombe Magufuli kama wana majuto yoyote ya kufanya jibu lake ni HAPANA kubwa!
Lowasa asingekuwa na jipya tofauti na kupongezana kwa kazi kubwa ya kuchakachua kura na kugawana wizara na mipango ya kwenda kujitambulisha nchi za nje, fisadi hana huruma, na Lowasa hakuwahi kuwa na huruma na hakuna siku atakuwa na huruma kwa watz, na ndo maana kura zake hazikutosha, ss wameanza siasa kwa kutumia kifo cha Mawazo. Watz wameshachoka na UKAWA kwa sasa, kwani wamepata Raisi bora na si bora Raisi.
Wewe kwenu Msumbiji. Mambo yetu unatuingiliaWatanzania hatudanganyiki
Ata ningekuwa mkenya ila hamna sera pia mwenyewe ni mwana chadema ila kwa sasa ninasura ya kijani jamani ata hatuoni mtuanakwambia hii ni Mia wakati nanani buku hahahahWewe kwenu Msumbiji. Mambo yetu unatuingilia
Siwezi kukuingiliaWewe kwenu Msumbiji. Mambo yetu unatuingilia
Ikuru?Kwanza ikuru ingehamia Arusha.bandali ingebinafsishwa.ukabira ungepamba moto.wangeshiba wao ndo tu fuata sisi. Endelea kutunyosha mkuu wa kaya hadi tukae sawa.
Ikuru?Kwanza ikuru ingehamia Arusha.bandali ingebinafsishwa.ukabira ungepamba moto.wangeshiba wao ndo tu fuata sisi. Endelea kutunyosha mkuu wa kaya hadi tukae sawa.
Bandali?Kwanza ikuru ingehamia Arusha.bandali ingebinafsishwa.ukabira ungepamba moto.wangeshiba wao ndo tu fuata sisi. Endelea kutunyosha mkuu wa kaya hadi tukae sawa.