Ajira za kudeAngekuwa rais angefanya yafuatayo
Angekupa ajira ili uachane na utumwa wa buku7
KWELI TUNGEPATA AJIRA YA KUFAGIA NA KUDEKI BARABARAAngekuwa rais angefanya yafuatayo
Angekupa ajira ili uachane na utumwa wa buku7
RobotiNilichogundua vijana wengi hapa hasa kwenye mjadala huu, hawaujui utendaji kazi wa Lowassa, inawezekana alipokuwa wazir mkuu wengi walikua secondary tu, ni hivi.........Lowassa ni master plan, kama hamjui ulizeni wakubwa wenu wanaogatilia siasa na utendaji ndo watawaambia who is Lowassa! Anachofanya huyu sijui kutumbua ni kuigiza tu, but wakati Lowassa ni waziri mkuu, ilikuwa ni rahisi zaidi kukutana na Kikwete ukamuelezea ujinga akakuvumilia lakini sio Lowassa hata kukanyaga ofisini kwake tu ilikuwa shughuli...... sio muongeaji ila ni mtendaji, ambao hamumjui siwashangai kuachama hapa ila tunaomjua........tunafahamu kuwa hana uvumilivu na upumbavu wa mtu!!!!!! Kwa miaka miwili tu akiwa waziri mkuu....alibuni course fupi za ualimu kwa form six leavers na kutoa ajira, project ya shule za kata imepunguza gharama kwa wazazi kupeleka watoto shule za mbali,.....hapo akiwa waziri mkuu tu, nini anhefanya angekuwa rais??? Huyu wenu kafanya nini cha maana hadi sasa? Kwa Lowassa tusingesikia kauli za mimi sipangiwi, sishauriwi, sijaribiwi, najiamini, tungeona hayo kwa vitendo kwasababu huwa si muongeaji.......kama hamfahamu, serikali ya JK ilianza kukosolewa na kupuuzwa, kusemwa na kuitwa dhaifu baada ya Lowassa kujiudhuru.....before that watu waliisifia.......may be kosa Lowassa ni kujaribu kuwa popular kuliko boss!!!!!!
Hata hiyo angekupa mrembo kama wewe usingekosaUko wapi. Niko Tazara tukutane Italian0A
Ajira za kude
KWELI TUNGEPATA AJIRA YA KUFAGIA NA KUDEKI BARABARA
mkuu Hizo ni nadharia, Rai yangu ni usiweke matarajio makubwa kwenye maisha ya mtu mwingine, hususan viongozi wetuLowassa angekuwa Rais haya yangetokea
1.Bunge lingeendelea kuwa mubashara
2.Watu wasingekuwa wanashtakiwa kila siku kwa uchochezi
3.Mikopo ya elimu ya juu isingekuwa ni tatizo.
4.Mfumo wote wa ufisadi wa CCM ungeng'olewa mara moja
Kwa ufisadiLowasa ni hazina ya Taifa
Kwa kudeki barabaraLowasa angekuwa rais vijana wote wasio na kazi wangelipwa mishahara kila mwezi
Hapana.Nina hakika mambo yangekuwa tofauti.Na ni lazima tuchague viongozi kulingana na mahitaji yetu.mkuu Hizo ni nadharia, Rai yangu ni usiweke matarajio makubwa kwenye maisha ya mtu mwingine, hususan viongozi wetu
Hichi ulichoandika hapa kimetoka ndani ya moyo wako ama ni hisia tu za vidole kuandika utakachopost za Jf bana! povu limekutokaje, eti bora lowasaa? ha ha ha ha ha ha watanzania sio wajinga kihivyo, tutampigia kura lowassa endapo tu siku mtatuambia kwa nn mlimuweka kwenye list of shame
Ni kweli tuna uhitaji mkubwa wa viongozi ktk maisha yetu, lakini ili tufanikiwe lazima tuweke juhudi kubwa sisi wenyewe, viongozi wawe ziada Tu!Hapana.Nina hakika mambo yangekuwa tofauti.Na ni lazima tuchague viongozi kulingana na mahitaji yetu.