Mkuu umemaliza na mfano Zanzibar CCM walishindwa mchana kweupe, lakini CCM wametumia vyombo vya dola kubaki na kuendelea kutawala.Ni vigumu sana upinzani kushinda kwa katiba iliyopo, katiba ambayo mwenyekiti wa NEC anateuliwa na m/kiti wa CCM, wakurugenzi wa wilaya ambao ndio wenye jukumu la kutangaza matokeo ngazi ya jimbo na watendaji wa kata ni wateuli wa m/kiti wa CCM! Katiba ambao jaji mkuu, mwanasheria mkuu wa serikali, wakuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, wote hao ni wateuli wa m/kiti wa CCM!
Pia tusisahau makada wa CCM waliowekwa kuhakikisha CCM haitoki madarakani ambao ni wakuu wa mikoa na wilaya.
Ni vigumu sana CCM kutoka madarakani hata kama watashindwa kwenye sanduku la kura kwa katiba iliyopo.
Kama kweli wapinzani wanataka kushika dola basi waachane na siasa za kina BASHITE na wapiganie hata ikiwezekana kwa damu katiba ya WARIOBA, zaidi ya hayo tutakaa kwenye benchi mpaka vizazi kumi vipite nadhani watakuwa na akili na ujasiri kuliko kizazi hiki.
Serikali ya lowassa inapatikana ulimwengu wa sayari gani we kilazaInauma sana kuo watu waliotuaminisha kua watatuletea mabadiliko ya kweli kuliko yale yaliyohubiriwa na kina Lowassa wa UKAWA, badala yake wanatuletea viongizi wanaotumia vyeti vya watu na kuwalinda kwa kuwapa ulinzi. Hili halikubaliki na hatutakubali kamwe na watanzania hatutadanganyika.
Mtu anasimama bila kuficha aibu anatumbia vyeti vya wateule wa mukulu vinakaguliwa na TAMISEMI badala ya NECTA?NECTA kazi yao nini?TAMISEMI tangu lini wafanye kazi za NECTA? Tusidanganyane hapa! Huu ni usaliti wa ajabu sana. Watanzania sasa wameshajua waliahidiwa nini,wamevuna nini na sasa hawatakua tayari tena.
Yaani inatengwa bajeti ya maendeleo trillion 11 zinatolewa trillion 3.9? Kwanin tusiseme ni bora ya Lowassa Mara 1000 na zaidi kuliko walioshindwa kutekeleza ahadi zao?Mini maaana ya TRA kukusanya trillion 1.3 kwa mwezi? Makusanyo hayo yanakwenda wapi?
Kwenye serikali ya Lowassa sitegemei kama wangeweza kufanya vioja vya kuajiri na kumlinda mtu aliyefeli akatumia vyeti vya mtu, Sidhani kama serikali ya kina LISSU wangelea mtu anayevamia ofisi za watu.
Nasema hivi watumishi wa serikali wanafanya kazi ilimradi tu liende,hawana morali ya kazi yaani wapo wapo tu. Hawapandishwi madaraja,hakuna anual increments huku gharama za maisha zikipaa.
Mpaka sasa hakuna sababu ya kutompa nchi Lowassa,hakuna anayejutia kumpa Lowassa kura yake zaidi ya wale walioipigia kura CCM 2015. Ninaomba tena na tena Lowassa akamatie kijiti kupitia UKAWA kwa maisha haya tuone kweli watanzania wanaweza kufanya kitu gani.
Hiyo ndio sehemu ndogo sana iliyobaki upande wa upinzani, likitoka hilo historia itaandikwa mkuuNi vigumu sana upinzani kushinda kwa katiba iliyopo, katiba ambayo mwenyekiti wa NEC anateuliwa na m/kiti wa CCM, wakurugenzi wa wilaya ambao ndio wenye jukumu la kutangaza matokeo ngazi ya jimbo na watendaji wa kata ni wateuli wa m/kiti wa CCM! Katiba ambao jaji mkuu, mwanasheria mkuu wa serikali, wakuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, wote hao ni wateuli wa m/kiti wa CCM!
Pia tusisahau makada wa CCM waliowekwa kuhakikisha CCM haitoki madarakani ambao ni wakuu wa mikoa na wilaya.
Ni vigumu sana CCM kutoka madarakani hata kama watashindwa kwenye sanduku la kura kwa katiba iliyopo.
Kama kweli wapinzani wanataka kushika dola basi waachane na siasa za kina BASHITE na wapiganie hata ikiwezekana kwa damu katiba ya WARIOBA, zaidi ya hayo tutakaa kwenye benchi mpaka vizazi kumi vipite nadhani watakuwa na akili na ujasiri kuliko kizazi hiki.
Hakuna cha unyooshaji hapo maana hakuna palikonda. Zaidi wananchi wanaongezewa matatizo lukuki.Ngosha anayo mapungufu kibao kama mwanadam.....hata hivyo bado ni dharau kubwa kumfananisha na luwassa!.
luwassa ni mpigaji wakati ngosha ni mnyooshaji!!
CCM inabebwa na dola, haina uti wa mgongo kusimama peke yake.Nimekupa jibu sahihi hakuna liingine, uwe na asubuhi njema mkuupost za Jf bana! povu limekutokaje, eti bora lowasaa? ha ha ha ha ha ha watanzania sio wajinga kihivyo, tutampigia kura lowassa endapo tu siku mtatuambia kwa nn mlimuweka kwenye list of shame
Utapingana na ukweli lakini kumbuka kua mawazo yako hayako huru.Umetumia viroba alfajiri wewe si bure!!!
Utasubiri sana . UKAWA ilishajifia kitamboooInauma sana kuo watu waliotuaminisha kua watatuletea mabadiliko ya kweli kuliko yale yaliyohubiriwa na kina Lowassa wa UKAWA, badala yake wanatuletea viongizi wanaotumia vyeti vya watu na kuwalinda kwa kuwapa ulinzi. Hili halikubaliki na hatutakubali kamwe na watanzania hatutadanganyika.
Mtu anasimama bila kuficha aibu anatumbia vyeti vya wateule wa mukulu vinakaguliwa na TAMISEMI badala ya NECTA?NECTA kazi yao nini?TAMISEMI tangu lini wafanye kazi za NECTA? Tusidanganyane hapa! Huu ni usaliti wa ajabu sana. Watanzania sasa wameshajua waliahidiwa nini,wamevuna nini na sasa hawatakua tayari tena.
Yaani inatengwa bajeti ya maendeleo trillion 11 zinatolewa trillion 3.9? Kwanin tusiseme ni bora ya Lowassa Mara 1000 na zaidi kuliko walioshindwa kutekeleza ahadi zao?Mini maaana ya TRA kukusanya trillion 1.3 kwa mwezi? Makusanyo hayo yanakwenda wapi?
Kwenye serikali ya Lowassa sitegemei kama wangeweza kufanya vioja vya kuajiri na kumlinda mtu aliyefeli akatumia vyeti vya mtu, Sidhani kama serikali ya kina LISSU wangelea mtu anayevamia ofisi za watu.
Nasema hivi watumishi wa serikali wanafanya kazi ilimradi tu liende,hawana morali ya kazi yaani wapo wapo tu. Hawapandishwi madaraja,hakuna anual increments huku gharama za maisha zikipaa.
Mpaka sasa hakuna sababu ya kutompa nchi Lowassa,hakuna anayejutia kumpa Lowassa kura yake zaidi ya wale walioipigia kura CCM 2015. Ninaomba tena na tena Lowassa akamatie kijiti kupitia UKAWA kwa maisha haya tuone kweli watanzania wanaweza kufanya kitu gani.
Elimu elimu elimu unahitaji sana ww bashiteeepost za Jf bana! povu limekutokaje, eti bora lowasaa? ha ha ha ha ha ha watanzania sio wajinga kihivyo, tutampigia kura lowassa endapo tu siku mtatuambia kwa nn mlimuweka kwenye list of shame