>mapato yangekuwa chini ya bilioni 900 kila mwezi maana wale rafiki zake wanajua kula na kipofu. Ndo maana shuleni ukifika wakati wa uchaguzi wa viongozi, wanafunzi hupenda kuchagua kiongozi wanaejua namna ya kumtumia kwa maslahi yao.
>mfumuko wa uchumi ungekuwa umefiki 3.0 maana
>dollar ingekuwa imefika tsh elfu tatu kwa dollar moja.
>elimu bure hadi chuo kikuu wananchi ungekuta wameshageuziwa kibao kwamba "kama huwezi kusomesha acha kuzaa" nakumbuka mwaka 2006 alisemaga kwamba "ni aibu kwa mwanaume kuoa halafu unaenda kuomba chakula cha kulisha familia, bora usioe".
>kwakuwa angeshindwa kutoa elimu bure hadi chuo kikuu, safari za nje ya nchi za kwenda kujificha, zingekuwa nyingi kama za baba anayedamka saa 9 alfajiri na kurudi saa 5 usiku ili asionane na watoto.
>utendaji katika ofc za umma ungekuwa wa ovyo sana maana ungekuta ma DC na ma DAS ni wale mama ntilie walioahidiwa madaraka ya juu pamoja na vinyozi.
Afadhali Mungu alituepusha nae hakika sala zetu zilipokelewa. Sifa na Utukufu ni kwako Baba wa Mbinguni.