BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,247
Kuchomekana na kusagana ni utamaduni wa weupe ndiyo maana unaona wanajaribu kuipenyeza tamaduni hiyo kwa wengine kupitia vile vitu pendwa walivyovigundua.
Ipo siku itatangazwa kuundwa league ya ******* na kombe kabisa litakuwepo,tungoje tuone.
Ukisema weupe means wahindi, waarabu, wazungu, wachina n.k, huoni kama unakosea kusema hivyo! Hata wazungu sio wote wanajihusisha na ushoga.