carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 404
- 1,034
Mmalaka za soka nchini Zimbabwe zimepiga hatua muhimu kuelekea kuanza kutumia teknolojia ya usaidizi wa marejeo ya video (VAR), kufuatia mkutano wa siku mbili ulioongozwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), ulioanza Septemba 21 jijini Harare, ukiungwa mkono na ufadhili wa kampuni ya Sakunda Holdings.
Mkutano huo uliwakutanisha wawakilishi wa Shirikisho la Soka Zimbabwe (ZIFA), Ligi Kuu ya Soka nchini humo, klabu, serikali pamoja na mamlaka za manispaa. Mkufunzi wa FIFA, Felix Tangawarima, anayeongoza mradi huo nchini Zimbabwe, alishiriki pamoja na wataalamu wengine wa shirikisho hilo.
Rais wa ZIFA, Nqobile Magwizi, amesema mpango huo ni sehemu ya mkakati mpana wa mageuzi ndani ya shirikisho hilo, akisisitiza kuwa matumizi ya teknolojia ya VAR yatahitaji maandalizi ya kutosha kabla ya kuanza rasmi.
"Hii haimaanishi kwamba VAR itatumika katika mchezo unaofuata," alisema Magwizi.
Kwa upande wake, kampuni ya Sakunda Holdings imeahidi kutoa msaada kwa ajili ya kuwezesha matumizi ya teknolojia hiyo katika viwanja vya Rufaro, Barbourfields na National Sports Stadium, huku ikiwa na nafasi ya kusaidia viwanja vingine vitakavyopendekezwa na ZIFA.
=====================
Zimbabwean football has taken an important step towards introducing Video Assistant Referee technology, with a two-day FIFA-led kick-off meeting beginning in Harare on 21 September, supported by a funding commitment from Sakunda Holdings.
The meeting brought together ZIFA, the Premier Soccer League, clubs, government and municipal representatives. FIFA instructor Felix Tangawarima, who heads the Zimbabwe project, joined fellow FIFA experts for the programme.
ZIFA President Nqobile Magwizi placed the initiative within the Association’s wider reform agenda, while stressing that implementation would require preparation.
“It does not mean VAR will be at the next game,” Magwizi said.Sakunda’s support covers Rufaro, Barbourfields and the National Sports Stadium, with scope to assist at additional venues recommended by ZIFA.