FiFA wafuta red card baada ya Simu ya Trump

FiFA wafuta red card baada ya Simu ya Trump

Trump hataki watolewe...😹😹
FB_IMG_1783346059509.jpg
 
Nafikiri pamoja na FIFA kuboronga, Trump amejiingiza katika mambo yasiyomhusu, ila FIFA inaogopa kwa vile serikali ya sasa Marekani ni ya kidikteta inaweza kuwavurugia michezo hiyo
Je vipi kama Kila nchi itatumia hyo veto
 
Lakini FIFA wametumia kifungu cha sheria na wamequote kwenye taarifa yao, ila Trump mbabe sana, eti hakujua kama redcard inamfanya mchezaji asicheze mechi inayofata....jamaa comedian sana
 
Lakini FIFA wametumia kifungu cha sheria na wamequote kwenye taarifa yao, ila Trump mbabe sana, eti hakujua kama redcard inamfanya mchezaji asicheze mechi inayofata....jamaa comedian sana
Lkn Kwann fifa afanye Kwa intimidation ya USA
 
Maelezo hayajitoshelezi! Kwa nini ameruhusiwa kucheza hiyo match licha ya kuwa na kadi nyekundu? Je hili jambo linamhusu mchezaji huyo pekee au mashindano yote? Aliyeelewa ufafanuzi tafadhari.
 
Hizo dollar zao za misaada zinabadilishwa kuwa shillingi ndio mnazogaiwa hapo lumumba buku 7,7 za uchawa.
Msaada!?.. hawawezi toa bila kupata kitu, labda huo unaoita msaada ni kijisehem kidogo cha faida wanazopata kwa kutunyonya
 
Back
Top Bottom