Ndo hivyo mkuu....haiunaga democracy 100%FIFA inaendeshwa kisiasa kama ilivyo kwa TFF ya Wallace Karia. Imagine waliifungia Urusi kushiriki mashindano ya shirikisho lao kwa sababu tu iliivamia Ukraine. Israel nayo ilipoivamia Gaza na kuua hovyo maelfu ya wananchi, imeufyata! Ina siasa na double standards nyingi sana.
Mafala sanaFIFA inaendeshwa kisiasa kama ilivyo kwa TFF ya Wallace Karia. Imagine waliifungia Urusi kushiriki mashindano ya shirikisho lao kwa sababu tu iliivamia Ukraine. Israel nayo ilipoivamia Gaza na kuua hovyo maelfu ya wananchi, imeufyata! Ina siasa na double standards nyingi sana.
Hapana,wao walikua na wafalme,sisi watemi..ni kama wafalme tu tofauti jina,wakati huo mashariki ya kati walikua na aina fulani ya demokrasia, wazungu wa magharibi vita vya msalaba karene ya 11 viliwasaidia kujifunza mengi toka mashariki ya katiLakin ndio rol model wetu kwenye administration
Ila pesa zao mnazitaka.Hao wazungu wa magharibi ni nyani wavaao suti
Mi natumia shilling ya Nyerere,mara ya mwisho kutumia dollar ya marekani ni 2004Ila pesa zao mnazitaka.
Hizo dollar zao za misaada zinabadilishwa kuwa shillingi ndio mnazogaiwa hapo lumumba buku 7,7 za uchawa.Mi natumia shilling ya Nyerere,mara ya mwisho kutumia dollar ya marekani ni 2004
Naomba marekani atolewe na ubelgili. Hii rushwa ya wazi kabisaFIFA inaendeshwa kisiasa kama ilivyo kwa TFF ya Wallace Karia. Imagine waliifungia Urusi kushiriki mashindano ya shirikisho lao kwa sababu tu iliivamia Ukraine. Israel nayo ilipoivamia Gaza na kuua hovyo maelfu ya wananchi, imeufyata! Ina siasa na double standards nyingi sana.