dah hawa jamaa wako serious sana i cant wait for this anymore,na hiyoo ps 4 itakuwa balaa kuliko hata hii ps 3Fifa ps3 mambo yote
i hope unataka fifa 13,coz fifa 14 bado wala demo yake bado mpk tarehe 27 mwezi huu,fifa 13 idownload hapaNaomba link ya kudownload FIFA tafadhali