Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,308
- 3,419
nimekuwa nikifuatilia sana additional features za haya magame mawili kwa muda kidogo ila stil bado naendelea kuamini kwamba pes hana chake mbele ya fifa,hasa ukizingatia ujio wa ps 4 na x box one ambapo fifa watatoa matoleo ya kipekee kwa hayo maagame mawili,(unique feature)ambazo hatutozipata kwenye pc wala ps 3,kwa bahati mbaya sana pes hawajatoa game maalum kwa ajili ya x box one au ps 4,nahisi wantafuta muda wa kukaa na kujiuliza nini waongeze tofauti na fifa au fifa alichokisahau ili watoe something unique and better(msimu ujao labda wanaweza kutoa).yote kwa yote kwa sisi ambaao ni game addicted we cant wait for them anymore regardless ni mpenzi wa fifa au pes,
kuna wale ambao wanaogopa ps 4 itakuwa ghali sana la hasha,mpya inajulikana itauzwa us dollar 400 around tsh 650,000 na cd zake zitaanzia kuuzwa kuanzia a dollar 60,so kama unaweza kuafford ps 3 im sure unaweza pia kuafford ps 4 as ps 3 mpya mlimani city 650,000){not to mention maujanja ya torrents,downloading game na system jailbraking kupata free games}
angalia screen shot na game trailer za hayo magame mawili ujione utofauti na uone watu walivyokuwa serious na kazi zao,karibuni kwa michango

Last edited by a moderator: