INAUZWA PC games fifa 14 na pes 17 patche to 23

Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
8,844
27,553
PATA FIFA 14 PATCH 23 🔥 🔥 🔥

IMG_20230103_205111.jpg

PES 17 PATCH 23🔥🔥🔥
IMG_20230115_210023.jpg

KWA BEI POA KABISA UNAZIPATA GAMES HIZO KAMA MASHINE YAKO INA 4GB RAM ANGALAU CORE 3i ILA BEST ZAIDI IWE i5.

Pia
TUNAWEKA GAMES PS4 PS3 PS2 PC PSP 0710701361 🔥🔥🔥
TUNAFIKA ULIPO KWA DAR NA PWANI 0710701361📞🔥🔥🔥

KWA PS4 NI 15000 KWA GAME KWA MASHINE ZILIZOCHIPIWA TU.

KWA PS3 NI 5000 KWA GAME, GAMES KUANZIA TANO KUNA OFA.

KWA PS2 NI 2000 KWA GAME KUANZIA TANO KUNA OFA PIA.

KWA GAMES ZA PC NI 5000 TU.

TUNACHIP PS3 NA PS4 PAMOJA NA KUWEKA GAMES NDANI KWA BEI POA KABISA

KWA GAMES ZA PS2 KWENYE PC NI 3000 UWE NA PAD LAKINI

KWA GAMES ZA PSP KUWEKEWA KWENYE SIMU NI 1500 TU.

PIA UTAPATA FLASH MPYA NA KUCHAGUA GAMES ZA PS2 UTAKAZOHITAJI KUWEKEWA HADI IJAE.

PIA TUNAFANYA WINDOWS INSTALLATION KWA BEI POA KABISA NA KUWEKA MOVIES NA SERIES KALI.

TUNAFIKA POPOTE ULIPO HASA KWA DAR.

Kwa mawasiliano zaidi
WHATSAPP 0710701361.
 
Boss nataka kununua PS nzuri ya kisasa ambayo inaweza kuwachiped je ni ipi hiyo na bei ni gani?
 
Chukua ps3 au ps4
Ps3 dukani ni 320k hadi 350k complete
Ps4 kati ya 650k hadi 850k complete fat, slim au pro
 
Chukua ps3 au ps4
Ps3 dukani ni 320k hadi 350k complete
Ps4 kati ya 650k hadi 850k complete fat, slim au pro
Sina uzoefu na hivi vitu Mzee,ila nina mpango wa kununua,PS3 sio imepitwa na wakati? vipi experience yake? una enjoy vizuri?
 
IKO POA MKUU USISIKILIZE MANENO YA WATU, KWANZA GAMES ZAKE NI CHEAP SANA KUPATA, ZOTE ZINAWEZA KUWA CHIPPED NA KIZURI ZAIDI PADS ZAKE BEI POA SANA HAIZIDI 15K.

ANZA NA PS3 BADAE UTAFANYA UPGADE KWENDA PS4

clinician
 
Ny
Mkuu hizi bei ni mpya au Used? nimepita Mwanza leo nimekuta wanauza zaidi ya Milioni PS 4

Mkuu hizi ni used toka dubai uk na.n.k
Hata hizo za mwanza nying ni used, mpya kwa huku sio nyingi sana. Mara nying box wanauza mtu ananunua box anawek refurbished ps4 yake anakuuzia kama mpya
 
Chukua ps3 au ps4
Ps3 dukani ni 320k hadi 350k complete
Ps4 kati ya 650k hadi 850k complete fat, slim au pro
Ps3 ni 350 mkuu? Na wewe kuichip na kutumia games kama 10 unaweza ukafanya kwa kiasi gani?
 
Ps3 ni 350 mkuu? Na wewe kuichip na kutumia games kama 10 unaweza ukafanya kwa kiasi gani?
Nakupa PS3 320GB PAD MPYA MBILI GAMES HADI IJAE KWA 350K.
UKIFIKA WEWE NI KUCHEZA TU MKUU
KARIBU SANA
0710701361
 
PS4 SLIM 500GB🔥🔥🔥
IMECHIPIWA TAYARI
INA FIFA 23 YA WORLD CUP PAMOJA NA GAMES ZINGINE KIBAO KALI.
PAD MBILI
WAYA ZOTE
MASHINE IKO SEALED KABISA HAIMJUI FUNDI
MTEJA SERIOUS NICHEKI HAPA 0710701361

PIA

TUNAWEKA GAMES KALI NA ZA KIJANJA KWA BEI POA KABISA KWENYE PS4 PS3 PS2 PC PSP 0710701361 🔥🔥🔥
BEI YETU NI RAFIKI KWA MTEJA WETU. HUDUMA ZETU NI BORA NA ZA UHAKIKA KABISA.

UAMINIFU NA KUJALI WATEJA WETU NI MSINGI WA HUDUMA ZETU.

TUNAFIKA ULIKO KWA DAR NA PWANI.

TUNACHIP PS3 NA PS4 PAMOJA NA KUWEKA GAMES NDANI
KWA PS4 NI 15000 KWA GAME KWA MASHINE ZILIZOCHIPIWA TU.
KWA PS3 NI 5000 KWA GAME, GAMES KUANZIA TANO KUNA OFA.
KWA PS2 NI 2000 KWA GAME KUANZIA TANO KUNA OFA PIA.
KWA GAMES ZA PC NI 5000 TU.
KWA GAMES ZA PS2 KWENYE PC NI 3000 UWE NA PAD LAKINI
KWA GAMES ZA PSP KUWEKEWA KWENYE SIMU NI 1500 TU.
PIA UTAPATA FLASH MPYA NA KUCHAGUA GAMES ZA PS2 UTAKAZOHITAJI KUWEKEWA HADI IJAE.
PIA TUNAFANYA WINDOWS INSTALLATION KWA BEI POA KABISA NA KUWEKA MOVIES NA SERIES KALI.

TUNAFIKA POPOTE ULIPO HASA KWA DAR NA PWANI

Kwa mawasiliano zaidi
WHATSAPP In WhatsApp teilen

IMG_20230320_104952.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom