Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Watakuwepo ferouz na Hamoraper!!!Msanii mkubwa hakuna maana diamond hashikiki
au surprise
Sawa sawa mkuu kawapiga pini bayaHapa Dar Es Salaam ni hadi waje kutubu. Waungame dhambi zao.
Umemaliza mkuu...acha uongo mkuu
Mpaka magoti yapigwe....otherwise hakunaFiesta dar es salaam ni tarehe 25 mwezi huu(25/11/2017) acha uongo
Mkuu mimi nimenukuu taarifa ya habari ya Clouds nfomana mimeuliza swali au wewe ulikimbia umande!!acha uongo mkuu
Mkuu mimi nimenukuu taarifa ya habari ya Clouds nfomana mimeuliza swali au wewe ulikimbia umande!!acha uongo mkuu
Nasema uwongo kwa kuuliza swali?!!!....... Umekula maharagwe ya wapi wewe!!!Fiesta dar es salaam ni tarehe 25 mwezi huu(25/11/2017) acha uongo