Fiesta yafikia tamati leo Mjini Mtwara, Dar es Salaam kulikoni?

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,695
1,470
Fiesta fursa kuanzia sokoni leo inafikia tamati katika viwanja vya CCM mjini Mtwara baada ya matamasha hayo kufanyika katika mikoa yote ya Tanzania bara kasoro Dsm. Msemaji wa wadhamini wenza wa tamasha hilo ambao ni kampuni ya bia TBL amesema tamasha hilo limekuwa na mafanikio makubwa mwaka huu. Source Clouds Tv! My take; fiesta Dsm vepeee?!!!!
 
Msanii mkubwa hakuna maana diamond hashikiki
au surprise
 
0a9b5d126353b59d05cd74291190e210.jpg
acha uongo mkuu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom