Fiesta ya mwisho kufanyika Leaders Club

Fiesta ya mwisho kufanyika Leaders Club

Nakfa

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
11,343
Reaction score
15,097
Mtangazaji wa kipindi cha xxl cha clouds fm amesema hii ndio itakuwa fiesta ya mwisho kufanyika leaders club njooni tufunge NANUKUU; "mwakani tutatafuta pakwenda njoo tufunge leaders" je wanataka kushindana na sheria au maamuzi ya kiongozi wa usalama wa mkoa
 
Mabalozi wanashindwa kulala na wake zao kelele. Leadres club imeuzwa
 
Sasa hili tamasha la fiesta cilitangazwa mpaka saa saba Mara paaaaa nkackia mpa asubui ni kwl
 
Back
Top Bottom