Niwe mkweli tu pengine hii ndio show mbaya ya fiesta tangu nianze kuifatilia, show pekee niliyoifurahia ni ile ya Ben Pol hadi sasa, naujutia usingizi wangu. Nawasubiria ROSTAM na ASLAY labda wanaweza nibadilisha mtazamo
Eti sema yayayyaayayayaaa poooh kabisa blue ana pozi za zamani kabisa mweeeh eti sema woyoooooo hahahhaha alafu kamezeeeka au naona vibaya poooh na mm nazeka vibaya labda macho yang mabovu sema yeyeeeyaaaa yayayaaaa poooh blue mxewww
Niwe mkweli tu pengine hii ndio show mbaya ya fiesta tangu nianze kuifatilia, show pekee niliyoifurahia ni ile ya Ben Pol hadi sasa, naujutia usingizi wangu. Nawasubiria ROSTAM na ASLAY labda wanaweza nibadilisha mtazamo
Unaweza kukuta mtu kichaa mnampa Mic anaanza kelele sasa sema yea sema yaya sema yeye haya mambo ya watoto wa Vidudu sio vizuri kuwaimbisha watu wazima