Mond anapendwa kwakua analeta swaga za umarekani kwa mwonekano. Na ushamba wetu ndo tunasema ndo msanii mzuri kumbe hakuna kitu. Amini nakuambia siku watu wakiuchoka umarekani wake kama walivyouchoka wa zilla, mtashangaa.
Mond sio mwanamuziki bali ni msanii. Sijui kama emenielewa