Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Huyu jamaa aliye nyuma ya DULI namjua ila daaah
sikutegemea kama namwenyewe anajipa raha kivile
Huyo mzungu, kwa wadhifa alionao,,kwa uzungu alionao,,kwa wakati ule wa nyomi la watoto wa geti kali na vyuo, ivi huyo demu alikua na hadhi gani ya kua nae???
Mtoto wa kimarangu hakamtiki siku hizi....Huyu demu aliye nae nimemsahau jina kidogo, Namkumbuka enzi hizo nasali pande za mbezi b nilikuwa na muonaga church alikuwa hot sana, siku hizi naona kazeeka kuliko sisi wazee wenyewe!
Kazi ilikuwa kubwa,huyo binti na mzungu naona ilizimika kabisa.