Wi-Fi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,091
- 1,378
Kaka kinachofanyika ni kwamba hao magraduate wa vyuo vingine wanatumika kama cheap labour it doesn't matter na job position once ukiqualify basi watakubana kwenye salary cuz hivi vyuo visivyo na majina wao chochote utakacho wapa ni poa tu cuz degree zao wamezipatapata hazina viwango vinavyokubalika kitaifa na hata kimataifa....na unaweza kunipa sababu ya vyuo vyao kutokuwa na majina???
kama iyo ndio sababu ya wao kuchukuliwa kisa ni cheap labour na jamaa apo ameshasema ni ofisi kubwa itakuwaje tena ofisi kubwa iwape post hao graduates ambao sio competent et kisa tuu ni cheap?? mi naomba mtoa thread kama aliweza kufanya research juu ya ilo jambo aligundua ni kwa nn hao graduates wamefanikiwa kupata izo posts??? thanx