Field practicals imenifungua macho. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Field practicals imenifungua macho.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Perry, Sep 22, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Dah!!wakubwa tangu nije kupga fild huku kwenye maofisi ya wa2 nimegundua kwamba chuo unachosoma hakina ishu ktk kutafuta job..juzi kati c kukawa na job interview ya position mbalimbali hapa ofisin,bac washkaj kibao frm udsm,sua,mzumbe,iaa,muccobs,saut,ifm,tumaini nk wakawa wamekua short listed.hamuwezi amin wajamen,pamoja na hii taasisi ninayopgia fild kuwa kubwa na nyeti ktk uchumi wa tanzania bt imechukua graduates kutoka vyuo ambavyo havina hata majina...nimeanza kuamini sasa kwamba,kitakacho kubeba ktk job ni uelewa wako wa mambo na co jina la chuo,u cnt beleive,hakuna graduate wa udsm,mzumbe wala ifm aliyepita kwenye ile interview...
   
 2. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Unajua leo.. Ila bado kuna washamba wa elimu wanapoteza muda mwingi kusifia vyuo vyao lakini wao hawana lolote wakidhani kusoma chuo flan ndo mwisho, fungukeni jiandae personally.
   
 3. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Kaka kinachofanyika ni kwamba hao magraduate wa vyuo vingine wanatumika kama cheap labour it doesn't matter na job position once ukiqualify basi watakubana kwenye salary cuz hivi vyuo visivyo na majina wao chochote utakacho wapa ni poa tu cuz degree zao wamezipatapata hazina viwango vinavyokubalika kitaifa na hata kimataifa....na unaweza kunipa sababu ya vyuo vyao kutokuwa na majina???
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  mwanangu mwenyewe nlikua na mentality ka hyo,nlikuaga najiona mim ndo mim kisa nko udsm,kumbe soko la ajira ni k2 kingne kabsa.
   
 5. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,371
  Trophy Points: 280
  kweli, hamna haja ya kusifia jina la chuo...
   
 6. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #6
  Sep 22, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  duh!naomba kupewa mfano wa vyuo hivyo visivyokuwa na jina??????i
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  mkuu ifke wakati wana udsm 2kubali kwamba elimu ya tz iko sawa 2,hata kama tofaut ipo ni ndogo sana,hapa kwa ofc niko na jamaa wa HR nae ni frm udsm,alikua ananiambia mchzi we2 m1 aliambiwa aelezee wat caused global economic crisis in 2008,akachemka na ni mtu from pale udbs..
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  mkuu ninaposema havina majina namaansha co maarufu..cwez nkavtaja hapa ila uktaka nkupm ntafanya hvo.over
   
 9. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  umeona eenh! Hyo mentality ilikuganda kwel kwel, hongera mkuu kwa kupevuka kifikra.
   
 10. gwino

  gwino JF-Expert Member

  #10
  Sep 22, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yote sawa tu
   
 11. S

  Stany JF-Expert Member

  #11
  Sep 22, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  nafikiri sasa ndio wakat muafaka wa watu kusoma badala ya kushabikia kuwa yeye ametokea chuo kinachojulikana! Huu ndio uvivu wa kufikiri haswa...competence ya mtu inatokana na yeye binafsi na sio kujulikana kwa chuo.
   
 12. S

  Stany JF-Expert Member

  #12
  Sep 22, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  leta uthibitisho kama msomi acha kuwa biased kiasi hicho
   
 13. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  umeona eeh mi nilikuwa na qualification nzuri hata kuliko jamaa zangu walienda udsm na huko nako nikapata lakin npo udom sasa i hate wajinga wanavochukulia kile chuo..bt im hapy umeelewa
   
 14. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  hey nyie mmeenda coz gani maana nahofu isije ikawa zile za cut-off point 3 halafu na wewe unajitutumua kuwa hupo udom wakati wanao wameenda ud sema point zako hapa kwanza tuthibitishe kuwa umeamua tu......
   
 15. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  we utakua 1st yr nadhan.
   
 16. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #16
  Sep 22, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Duh kumbe nimegundua kwann mitazamo yako imechange ghafla..yani leo nimesoma comments zako nkahisi sio wewe kabisa kweli zishukuriwe field/internships!
   
 17. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #17
  Sep 22, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  so what???.....funguka kaka acha uoga first year sio kwamba wanaenda watu fresh from 4m6 kaka kuna watu wameshakaa makazini nyundo nyingi tu wako first year so acha kuwa na mawazo mgando.
   
 18. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #18
  Sep 22, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  hahaha siwezi kukupa coz points zangu ni zaidi ya zako wewe unaehangaika kusifia chuo chako wakati hata kazi huna ila we are the best.
   
 19. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #19
  Sep 22, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hii thread ya watoto wanashindania vyuo wanavyosoma!
  Ngoja nipite tu
   
 20. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #20
  Sep 22, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wewe kumbe ulikuwa unajivunia jina bila kitu kichwani!!?? kama wewe unafikiri udsm ni jina tu pole sana, ila UDSM MAANAKE CONTENT kichwani ni jambo la maana zaidi!!!
   
Loading...